Hiyo ni Jitegemee..je zile za Kina sisi....za kata itakuwajeeeWadau matokea ya kidato cha nne kwa mwaka 2012 yametoka tembeleeni website ya 'NECTA' nimejaribu saana naona web ipo bzy ila matokea ya jitegemee ni mabovu sana....
Maana...
Div 1 - 1
Div 2 - 2
Div 3 - 26
Div 4 - 210
Failed - 443
Pamoja ya kwamba hujaajiriwa kwa kazi hiyo, lakini tunaomba tu utusaidie na analysis ya performance rate kati ya shule za akina Kayumba na zile za Private. Na hapo ndo utakapojua ni kwanini serikali inawakejeli walimu wa serikali wakiomba maslahi bora ya kazi. Kwa hakika, hawana shida maana hao 26000 wanaokwenda A level, asilimia 80 wanatoka shule za private ambako watoto wa wakubwa ndiko wanakosoma. Sisi na ujinga wetu tunabaki kuimba kidumu chama cha mapinduzi. Uongo mbaya napata hasira sana, mtu akijaribu kwa namna yoyote kunishawishi nishabikie CCM.kati ya watahiniwa 397,136 waliofanya mtihani, walifaulu ni 126,847 (daraja i-iv)
daraja I- 1,641 (0.4%)
daraja II- 6,453 (1.6%)
daraja III- 15,426
(3.9%)
daraja IV- 103,327
(26.0%)
daraja 0- 240,903
(60.7%)
sasa wanaoweza kwenda form 5 na 6 ambao ni kuanzia daraja la I-III jumla yao ni 23,520 (elfu ishirini na tatu mia tano na ishirini) kati ya wanafunzi 397,136 (laki tatu tisini na saba elfu mia moja thelasini na sita)
hii ni sawa na 5.9224%.
HII NDIO NCHI YETU NA VIJANA WAJAO WA KUJENGA TAIFA, TUNAWAITA TAIFA LA KESHO.
Too bad. yaani mtu asome miaka minne halafu apate sifuri.Hali ni mbaya. Hatupaswi kucheka...tunapaswa kutafakari kama Taifa
Hesabu ni tatizo kwa wengi, hata kuandika namba tunashindwa