Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This stupidity can be hosted in tanzania alone.
Data zina matatizo kidogo maana ukijumlisha haifiki 100% inafika 92.6kati ya watahiniwa 397,136 waliofanya mtihani, walifaulu ni 126,847 (daraja i-iv)
daraja I- 1,641 (0.4%)
daraja II- 6,453 (1.6%)
daraja III- 15,426
(3.9%)
daraja IV- 103,327
(26.0%)
daraja 0- 240,903
(60.7%)
sasa wanaoweza kwenda form 5 na 6 ambao ni kuanzia daraja la I-III jumla yao ni 23,520 (elfu ishirini na tatu mia tano na ishirini) kati ya wanafunzi 397,136 (laki tatu tisini na saba elfu mia moja thelasini na sita)
hii ni sawa na 5.9224%.
HII NDIO NCHI YETU NA VIJANA WAJAO WA KUJENGA TAIFA, TUNAWAITA TAIFA LA KESHO.
Data zina matatizo kidogo maana ukijumlisha haifiki 100% inafika 92.6
zero laki mbili!kwa miaka minne tu nchi imezalisha ZERO laki nane. Hizi zero tunazipeleka wapi?
ukijumulisha na za miaka iliyopita ndugu sio za mwaka huu tu. rejea matokeo ya nyuma utazionazero laki mbili!
Hata mimi nimesikia kupitia Radio One Stereo ya kamba, wanafunzi 420, *** (laki nne na ishirini na......). Waliopata daraja la zero, waliofeli, ni 200, **** (laki mbili na.....). Tunaomba mwenye uchambuzi sahihi atuletee.