Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

nipo mizimuni natambika maana ndio asili yangu,kuhusu mungu yupo ila hapatikani katika vitabu vya kitamaduni vya waarabu na wazungu.nb:kutoa mfano wa jambo kwa kutumia kitu kinachowapaisha kama biblia ni upuuzi wa wazi.
 
Mwz 17:4-5 Mimi Agano langu nimefanya nawe, Nawe nimekufanya Baba wa mataifa wa Mataifa Mengi, Wala Jina lako hutaitwa tena Abramu, Lakini jina lako litakuwa Ibrahimu,kwa maana nimekuweka uwe Baba wa mataifa mengi.. Hivyo ukisoma hayo mafungu utagundua kuwa Mungu hakukusudia wana wa Israel ndo awaokoe pekee yao hapana Bali aliwateua kama Taifa teule LA mfano kwa mataifa mengine ili kupitia kwao kwa Utii wao wa sheria za Mungu na jinsi Mungu ambavyo angewabariki na wao kuwa wa tofauti basi na mataifa mengine wangejifunza kupitia kwao na hatimaye wangebadilika na kuacha matendo mabaya na ibada za sanamu hatimaye Nao Wangeishi maisha matakatifu na kuokolewa pia maana Hata Ibrahim mwenyewe ambaye ndo chimbuko LA Israel hakuwa myahudi alikuwa MTU wa mataifa tena waabudu sanamu, rejea Tera na Nahori, Mungu alimuita kutoka ktk nchi ya Baba zake hadi nchi atakayomuonesha, huo ndo ulikuwa mpango wa Mungu kwa mataifa yote kuokolewa kupitia kujifunza kutoka kwa Israel Lakini wao walivyo wajinga Wakapotoka na kujiona wao ndo watakatifu na wakamilifu kuliko wengine na ya kuwa wao ndo wanastahili kuokolewa pekee yao ktk huo upotofu wakajikuta wakishika matendo ya sheria na matendo ya mwili kama kutahiriwa na kuisahau Sheria ya Mungu ndiyo maana hata Kipindi Masihi anazaliwa hawakujua maana walikuwa ktk Mateka ya muovu Ibilisi waliwa wameiacha sheria ya Mungu huku wakijifariji wao ni Taifa teule LA Mungu, matokeo yake wakamsulubisha mwokozi na kumkataa na Kuapa Damu yake iwe juu ya vichwa vyao na watoto wao na ndivyo ilivyokuja kuwa,, maana Jerusalem iliteketezwa na wayahudi kuchukuliwa tena utumwani rejea Math 24:15-20,Hivyo basi kupitia kifo cha YESU Kristo pale Calvary Hakuna tena taifa teule Bali wote tumekombolewa kwa Damu ya Yesu siyo myahudi wala myunani, cyo Mkenya wala mtanzania, cyo mzungu wala mwarabu,cyo mwamerika wala mwafrika sote tunasimama kama wenye thamani moja mbele za Mungu na hatuokolewi kwa sababu ya rangi ya ngozi zetu kwamba tu weusi au weupe hapana ni kwa wale tu wanaoipokea Neema iliyotolewa pale Calvary kwa kuacha matendo machafu na kujinyenyekesha chini ya mwokozi kwa kukubali kuongozwa na Roho mtakatifu, kuuzika umimi na Kristo kutawala nafsi zetu ndipo tutakapookolewa Lakini hata hao wayahudi fake walioko Israel ya Leo Sinagogi LA shetani wapo wacha Mungu wanaomwabudu Mungu wa kweli nao wataokolewa pia Na hao wengine wote watakapoikubali Na kuitii sauti ya Mungu mlango wa Rehema bado uko wazi, Hivyo ukweli ni mchungu lakini huo ndo ukweli Kuibariki Israel hii na kuitukuza kama Taifa teule ni Upuuzi na upumbavu, kilichobaki cha maana ni hayo magofu na maeneo ya kihistoria ya kwenda kutalii... Maranatha
 
Umesoma bibl yoote umeona inawapaisha?,nani kakwambia biblia/Quruan ni vitabu vya “TAMADUNI”!??,
Kila argument lazima iwe na platforms ya majadiliano mfano
wanasiasa wanashindana kwa hoja kupitia platform moja “Katiba/sheria na taratibu”!
Wakristo/waislam kupitia biblia/Quraan
Wana historia kupitia vitabu vya kihistoria na kumbukumbu za kale
Bila kuwa na platform moja ya mijadala huwezi kuchallage imani/itikadi ya mtu! Mfano wewe unaabudu mizimu na hauamini katika biblia siwezi kubishana na wewe upo katika platform yako pekeyako otherwise na mimi niamini katika mizimu ndio tubishane mzimu upi upo vizuri so hii hoja ya hawa wayahudi wewe haikuhusu sana wewe tafuta zile hoja za mizimu
 
tatizo ni kwamba imani hizi kubwa mbili[tamaduni}uarabu na uzungu kwa mgongo wa uyahudi zinajifanya ndio imani bora kabisa,mfano huu usemi kwamba wayahudi wamebarikiwa kuliko mataifa yote inapoteza maana yote biblia kuwa kitabu cha mungu.zaidi mimi huona kama ni novel tu ya historia ya wayahudi na koo na falme zao.vivyo hivyo kwa waarabu na koo zao.basi
 
Ndiomaana nikakwambia ni sharti uwe unaamini biblia ndio unaweza kuelewa kilichoandikwa hapo juu otherwise ukiona biblia kam novel tu huwezi ukaijua kweli iliyo ndani yake! Swala la wayahudi kujiona wamebarikiwa kuliko wengine ni swala la kiimani sasa nashindwa kukujibu kimaandiko sababu maandiko yenyewe huyaamini unadhani ni novel tu!
 
katafiti 25th dynasty ilikua ya watu weusi walitawala misri hao waarab wamekuja baadae sana

Pia Nani kakuambia wapalestina ni Magaidi?? Huoni wameporwa ardhi yao kimabavu hamna maji wala umeme wakati kabla ya wayahudi kuletwa Hali haikuwa hivyo ulitegemea wawachekee wayahudi?
Laaaa ili somo limenipita ila kwani,utaakapo MISRI,CAIRO,KARTHOUM,SUDAN,NILE,KENYA,NAIROBI yote hayo ni majina ya KI-MAASAI.

Kwa asili misri waliishi watu weusi waitwao Wamasai.

Ukitaka kujua hiyo tazama picha ya kwenye mawe yaliyochorwa na baadae kuja kugundulika yanafanana sana na MUONEKANO wa Maasai wa leo.

Tutaendelea kwa ufafanuz zaid
 
Mwz 17:4-5 Mimi Agano langu nimefanya nawe, Nawe nimekufanya Baba wa mataifa wa Mataifa Mengi, Wala Jina lako hutaitwa tena Abramu, Lakini jina lako litakuwa Ibrahimu,kwa maana nimekuweka uwe Baba wa mataifa mengi.. Hivyo ukisoma hayo mafungu utagundua kuwa Mungu hakukusudia wana wa Israel ndo awaokoe pekee yao hapana Bali aliwateua kama Taifa teule LA mfano kwa mataifa mengine ili kupitia kwao kwa Utii wao wa sheria za Mungu na jinsi Mungu ambavyo angewabariki na wao kuwa wa tofauti basi na mataifa mengine wangejifunza kupitia kwao na hatimaye wangebadilika na kuacha matendo mabaya na ibada za sanamu hatimaye Nao Wangeishi maisha matakatifu na kuokolewa pia maana Hata Ibrahim mwenyewe ambaye ndo chimbuko LA Israel hakuwa myahudi alikuwa MTU wa mataifa tena waabudu sanamu, rejea Tera na Nahori, Mungu alimuita kutoka ktk nchi ya Baba zake hadi nchi atakayomuonesha, huo ndo ulikuwa mpango wa Mungu kwa mataifa yote kuokolewa kupitia kujifunza kutoka kwa Israel Lakini wao walivyo wajinga Wakapotoka na kujiona wao ndo watakatifu na wakamilifu kuliko wengine na ya kuwa wao ndo wanastahili kuokolewa pekee yao ktk huo upotofu wakajikuta wakishika matendo ya sheria na matendo ya mwili kama kutahiriwa na kuisahau Sheria ya Mungu ndiyo maana hata Kipindi Masihi anazaliwa hawakujua maana walikuwa ktk Mateka ya muovu Ibilisi waliwa wameiacha sheria ya Mungu huku wakijifariji wao ni Taifa teule LA Mungu, matokeo yake wakamsulubisha mwokozi na kumkataa na Kuapa Damu yake iwe juu ya vichwa vyao na watoto wao na ndivyo ilivyokuja kuwa,, maana Jerusalem iliteketezwa na wayahudi kuchukuliwa tena utumwani rejea Math 24:15-20,Hivyo basi kupitia kifo cha YESU Kristo pale Calvary Hakuna tena taifa teule Bali wote tumekombolewa kwa Damu ya Yesu siyo myahudi wala myunani, cyo Mkenya wala mtanzania, cyo mzungu wala mwarabu,cyo mwamerika wala mwafrika sote tunasimama kama wenye thamani moja mbele za Mungu na hatuokolewi kwa sababu ya rangi ya ngozi zetu kwamba tu weusi au weupe hapana ni kwa wale tu wanaoipokea Neema iliyotolewa pale Calvary kwa kuacha matendo machafu na kujinyenyekesha chini ya mwokozi kwa kukubali kuongozwa na Roho mtakatifu, kuuzika umimi na Kristo kutawala nafsi zetu ndipo tutakapookolewa Lakini hata hao wayahudi fake walioko Israel ya Leo Sinagogi LA shetani wapo wacha Mungu wanaomwabudu Mungu wa kweli nao wataokolewa pia Na hao wengine wote watakapoikubali Na kuitii sauti ya Mungu mlango wa Rehema bado uko wazi, Hivyo ukweli ni mchungu lakini huo ndo ukweli Kuibariki Israel hii na kuitukuza kama Taifa teule ni Upuuzi na upumbavu, kilichobaki cha maana ni hayo magofu na maeneo ya kihistoria ya kwenda kutalii... Maranatha
well said mkuu
 
Ila hivi Yesu atarudi kweli!??
Coz no miaka mingi sana toka apromiss kurudi
 
Mkuu kwenye evidence za rangu inaleta mantiki ila kuna mahali maezezo yako yanajikanganya.
1. Ktk maandiko kitabu cha kutoka kinasema wayahudi walishatolewa utumwani lakini maelezo yako yanaonesha bado wapo utumwani, tafadhali fafanua hilo.
2. Maandiko hayohayo yanaonesha ktk kutoka kuwa waliowatumikisha walikuwa wamisri ambao ni weusi na pia waliotumikishwa pia ni weusi. Sasa Je, Walitumikishana wayahudi wao kwa wao?
 
majibu yapo hv
1.wayahudi walikuwa wanakwenda utumwani/au walikuwa wanatawaliwa na mataifa mengine mara tu baada ya kumuasi Mungu,so ile ilikuwa kama adhabu kwao kwa kutokumtii Mungu kama ilivyoandikwa kwenye kitabu cha Kumb 28 choote,ndiomaana tangu kitabu cha Kutoka hadi Malaki walikuwa wakiasi hupelekwa utumwani ama huchukuliwa mateka,na ndiomaana alipokuja Yesu walipomkataa na wakamsulubisha aliwaambia hekalu litabomolewa na wao watasambaratika na israeli itakaliwa na mataifa mpaka wakati wa mataifa kukaa hapo israel utakapo timia so wayahudi wapo bado utumwani sasa utumwa unaweza kuwa wa maana nyingi sana tofauti na ule wa kile kipindi cha zamani lakini dhana ya utumwa ni ileile kuwa hawako huru
2.sijasema watu woote weusi ni wayahudi ila nimeonyesha kuwa wayahudi walikuwa watu wenye rangi nyeusi na sio wazungu kama ilivyo leo hii,hata wamisri pia walikuwa weusi
 
Good[emoji736] [emoji736] [emoji736]
 
Pia kwenye swala la kuwaunga mkono uliowataja nadhani ungesema tuunge mkono ukweli bila kujali rangi, kabila wala chochote kinachowatofautisha jamii moja na nyingine. Ukichunguza kwa makini utagundua kutotendewa haki kwa jamii fulani na jamii nyingine utakuta kunachangiwa pia hata na wahusika wa jamii hiyo hiyo inayoonewa kwa maana kwamba kunakua na watu wanatumiwa either moja kwa moja (direct) na wao wakitambua au bila kujitambua (indirect). Kwa mfano kuhusu ugaidi, utakuta jamii inayotuhumiwa kuna watu wa jamii hiyo hiyo wanakubali kutumiwa na uma unaamini propaganda zinazoendelea.
Kwa upande wa Afrika anajidharau mpaka mwenyewe kabla hajadharauliwa na kumpa sana credit mzungu yani katika kila jambo. Viongozi wanawakenulia meno tu na kuwaona ndio kila kitu sasa watashindwa vipi kitupanda kichwani.
Naamini tupo duniani tumepewa na akili itumike kukabili changamoto na sio kulaumu mtu au kitu kinacholeta changamoto. Kuhusu kubarikiwa au kulaaniwa ni mtu husika unavyoamini maisha yako kama ni ya laana au ya baraka. Ukiamini una laana utaishi ki laana laana, ukiamini umebarikiwa utaishi ki baraka baraka. Wazungu wana mapungufu mengi ila hawayasemi wanajinadi kwa mema tu ndio inajengeka hivyo. Ila unamkuta muafrika anajinadi kuwa kalaaniwa na inajengeka hivyo. Sasa kwa hali hiyo tutafika kweli?
 
Ndiomaana nikakwambia ni sharti uwe unaamini biblia ndio unaweza kuelewa kilichoandikwa hapo juu otherwise ukiona biblia kam novel tu huwezi ukaijua kweli iliyo ndani yake! Swala la wayahudi kujiona wamebarikiwa kuliko wengine ni swala la kiimani sasa nashindwa kukujibu kimaandiko sababu maandiko yenyewe huyaamini unadhani ni novel tu!
NAYAAMINI KWAMBA HAYANA MAANA,KUAMINI KUNA PANDE MBILI KUAMINI SIO AU NDIO KOTE NI KUAMINI.MIMI NAAMINI BIBLIA NI POROJO ZA KUITAWALA DUNIA TU
 
Then huu mjadala haukuhusu sababu ume base katika kuyaamini maandiko ya biblia kama ni ya kweli na yenye maana! Tafuta mijadala mingine
 
ungeufungua sebuleni kwako vinginevyo acha fikra ziwe huru,hata kama inaudhi we dili na wanaokufurahisha.usininyime haki.
 
kama huamini kweli ya maandiko huu mjadala huwezi kuujadili
 
Back
Top Bottom