Mwz 17:4-5 Mimi Agano langu nimefanya nawe, Nawe nimekufanya Baba wa mataifa wa Mataifa Mengi, Wala Jina lako hutaitwa tena Abramu, Lakini jina lako litakuwa Ibrahimu,kwa maana nimekuweka uwe Baba wa mataifa mengi.. Hivyo ukisoma hayo mafungu utagundua kuwa Mungu hakukusudia wana wa Israel ndo awaokoe pekee yao hapana Bali aliwateua kama Taifa teule LA mfano kwa mataifa mengine ili kupitia kwao kwa Utii wao wa sheria za Mungu na jinsi Mungu ambavyo angewabariki na wao kuwa wa tofauti basi na mataifa mengine wangejifunza kupitia kwao na hatimaye wangebadilika na kuacha matendo mabaya na ibada za sanamu hatimaye Nao Wangeishi maisha matakatifu na kuokolewa pia maana Hata Ibrahim mwenyewe ambaye ndo chimbuko LA Israel hakuwa myahudi alikuwa MTU wa mataifa tena waabudu sanamu, rejea Tera na Nahori, Mungu alimuita kutoka ktk nchi ya Baba zake hadi nchi atakayomuonesha, huo ndo ulikuwa mpango wa Mungu kwa mataifa yote kuokolewa kupitia kujifunza kutoka kwa Israel Lakini wao walivyo wajinga Wakapotoka na kujiona wao ndo watakatifu na wakamilifu kuliko wengine na ya kuwa wao ndo wanastahili kuokolewa pekee yao ktk huo upotofu wakajikuta wakishika matendo ya sheria na matendo ya mwili kama kutahiriwa na kuisahau Sheria ya Mungu ndiyo maana hata Kipindi Masihi anazaliwa hawakujua maana walikuwa ktk Mateka ya muovu Ibilisi waliwa wameiacha sheria ya Mungu huku wakijifariji wao ni Taifa teule LA Mungu, matokeo yake wakamsulubisha mwokozi na kumkataa na Kuapa Damu yake iwe juu ya vichwa vyao na watoto wao na ndivyo ilivyokuja kuwa,, maana Jerusalem iliteketezwa na wayahudi kuchukuliwa tena utumwani rejea Math 24:15-20,Hivyo basi kupitia kifo cha YESU Kristo pale Calvary Hakuna tena taifa teule Bali wote tumekombolewa kwa Damu ya Yesu siyo myahudi wala myunani, cyo Mkenya wala mtanzania, cyo mzungu wala mwarabu,cyo mwamerika wala mwafrika sote tunasimama kama wenye thamani moja mbele za Mungu na hatuokolewi kwa sababu ya rangi ya ngozi zetu kwamba tu weusi au weupe hapana ni kwa wale tu wanaoipokea Neema iliyotolewa pale Calvary kwa kuacha matendo machafu na kujinyenyekesha chini ya mwokozi kwa kukubali kuongozwa na Roho mtakatifu, kuuzika umimi na Kristo kutawala nafsi zetu ndipo tutakapookolewa Lakini hata hao wayahudi fake walioko Israel ya Leo Sinagogi LA shetani wapo wacha Mungu wanaomwabudu Mungu wa kweli nao wataokolewa pia Na hao wengine wote watakapoikubali Na kuitii sauti ya Mungu mlango wa Rehema bado uko wazi, Hivyo ukweli ni mchungu lakini huo ndo ukweli Kuibariki Israel hii na kuitukuza kama Taifa teule ni Upuuzi na upumbavu, kilichobaki cha maana ni hayo magofu na maeneo ya kihistoria ya kwenda kutalii... Maranatha