Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Mkuu ninasikitika sana sasa tumezoea shida na hatuoni ni tatizo ndio maana tunaongelea vitu visivyo na faida
Mtu anaona passport ni kitu cha ajabu sana kwa sababu pia inaonekana Watanzania hiyo sio haki yao ndio maana tukienda kuomba unaulizwa unaenda wapi kwani kuwa na document ya Safari lazima niwe na Safari hiyo inapelekea watu wengi kutokua nazo wanazitafuta mpaka wawe na safari kwa kukimbizana na muda mpaka kupelekea kutoa rushwa ukitaka upate passport omba ukiwa huna safari wao ndio wanakupigia bwana Mti Mchungu njoo uchukue passport yako hapa imetoka ina karibu wiki ipo hapa...
 
Fedha zippi hizo wanazokula watoto wa lisu ambazo zinarudisha nyuma maendeleo ya nchi, Zinazidi hizi ambazo kila mwaka CAG huwa anasema mmegawana na hakuna anayewajibika?
Mwambie ukweli huyo ndezi!
 
Dunia kijiji umipaka hauna nafasi.
Kama mna uchungu na mlinzi sijui kulinda nchi msiruhusu wawekezaji sasa. Unailindaje nchi sasa wakati matajiri wakuu wote si weusi Wana unasaba na nje.
Hizi ni ideology za kijamaa zilishapitwa
 
Nkisema nkutajie watoto wa vigogo ambao wako serikali kwenu wnye uraia wa nje utablow
Mkuu fatilia maisha yako tu


Ova
Mimi nafuatilia maisha yangu na ya wengine mkuu
 
Kivipi hapa mkuu
 
Dunia kijiji umipaka hauna nafasi.
Kama mna uchungu na mlinzi sijui kulinda nchi msiruhusu wawekezaji sasa. Unailindaje nchi sasa wakati matajiri wakuu wote si weusi Wana unasaba na nje.
Hizi ni ideology za kijamaa zilishapitwa
Shida yako wewe ni mbaguzi wa rangi.

Kwa nini usiwaogope wafanya biashara wenye asili ya Burundi, Kongo au hapo Malawi?

Nadhani kwenye masuala ya fedha na Biashara Financial Intelligence Unit(FIU) kinahusika.

Ila ni vyema kuwe na tahadhari iliyopo Sasa na iongezwe kuliko kuacha wabinafsi wachache wafanyeb
watakavyo
 
Kwa hiyo unaona wivu kwa kuwa wewe umezaliwa na kukulia kisha kuzeekea Kawe?
 
Kivipi hapa mkuu
Mkuu sijaelewa nifafanue nini hapo, maisha ya Watafutaji nje ni pamoja na kupambana na vibali vya kuishi wengine wametumia Permit za kikimbizi ili mradi tuu maisha yaende kwa wakati huo...
 
Kwamba Elimu ya Lissu, wewe ndiyo ulimsomesha? Kwani wewe umeshindwa nini kupeleka wanao USA?,Lissu ndiyo alikufanya uwe lazoo.?

Maisha yake ni juhudi yake Binafsi na ndg zake.wewe Kinakuuma nini?Kodi kodi kwani Kodi inatakiw iliwe na wewe tu, na wanyonyaji ama namna gani??
 
Sawa. Wamekusikia. Wataanza nae mara tu akifika Airport yetu pendwa.
 

Kwa kweli una roho mbaya. Pamoja na kumshambulia Lissu na kuchukua ubunge wake bado una ujasiri wa kuwaonea wivu watoto wake waliozaliwa marekani?

Wale ni wamarekani kwa kizaliwa wanayo haki kuja kufuta huo uraia wakiwa na umri sahihi kisheria.
 
Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.

Tundu Lissu ana uraia wa Tanzania pekee. Ila watoto wake Ni raia wa marekani kwa kuzaliwa. Wakifikisha miaka ya kisheria wanaruhusiwa kuamua uraia gani wanahitaji.
 
Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu

Acha uongo, CHADEMA haichukui Ruzuku tangu 2020. Karibu CHADEMA inaoneka unaipenda Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…