mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Nkisema nkutajie watoto wa vigogo ambao wako serikali kwenu wnye uraia wa nje utablowNaona kichwani uliwekewa utumbo wenye mzigo wa kutosha badala ya ubongo
Mkuu fatilia maisha yako tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkisema nkutajie watoto wa vigogo ambao wako serikali kwenu wnye uraia wa nje utablowNaona kichwani uliwekewa utumbo wenye mzigo wa kutosha badala ya ubongo
Mtu anaona passport ni kitu cha ajabu sana kwa sababu pia inaonekana Watanzania hiyo sio haki yao ndio maana tukienda kuomba unaulizwa unaenda wapi kwani kuwa na document ya Safari lazima niwe na Safari hiyo inapelekea watu wengi kutokua nazo wanazitafuta mpaka wawe na safari kwa kukimbizana na muda mpaka kupelekea kutoa rushwa ukitaka upate passport omba ukiwa huna safari wao ndio wanakupigia bwana Mti Mchungu njoo uchukue passport yako hapa imetoka ina karibu wiki ipo hapa...Mkuu ninasikitika sana sasa tumezoea shida na hatuoni ni tatizo ndio maana tunaongelea vitu visivyo na faida
Mwambie ukweli huyo ndezi!Fedha zippi hizo wanazokula watoto wa lisu ambazo zinarudisha nyuma maendeleo ya nchi, Zinazidi hizi ambazo kila mwaka CAG huwa anasema mmegawana na hakuna anayewajibika?
Dunia kijiji umipaka hauna nafasi.Ndio gharama ya kukana uraia wako wa nchi ya asili kwa faida binafsi za kiuchumi.
Mtu kama huyu hawezi kuwa na uchungu na bongo ila anaweza kutumika vibaya au kutumiwa vibaya kama wakala kwa sababu siku zote yeye ana option ya second home.
Gharama sio kubwa kwa raia wa kigeni tusidanganyane ila wengi shughuli zao ni kijungu jiko
Ni raia pacha?Nkisema nkutajie watoto wa vigogo ambao wako serikali kwenu wnye uraia wa nje utablow
Mkuu fatilia maisha yako tu
Ova
Kivipi hapa mkuuWatu tumetumia Passport zote hizo leo upo na South Africa mwakani Malawi na leo ninerudi na ya Tanzania maisha yanaendelea ila kwa hizi E passport ni ngumu kuzichezea kama tulivyokua tunafanya mwanzo yote ilikua katika kutafuta maisha na kupata work permit kirahisi sasa wewe baki na kitambulisho chako cha kura wapigie kelele wenye passport za nje fainal ipo karibu...huyo akiamua anaukana huo uraia wa USA kisheria anabaki na utanzania wake ila ashapata anachotaka..
Mwaga Mchele huoNkisema nkutajie watoto wa vigogo ambao wako serikali kwenu wnye uraia wa nje utablow
Mkuu fatilia maisha yako tu
Ova
Unasemaje wewe zwazwa ?Kwa hiyo Lissu akiharisha huko Chadema , nyie wote mnavaa pmpas kwa kuharisha?
Shida yako wewe ni mbaguzi wa rangi.Dunia kijiji umipaka hauna nafasi.
Kama mna uchungu na mlinzi sijui kulinda nchi msiruhusu wawekezaji sasa. Unailindaje nchi sasa wakati matajiri wakuu wote si weusi Wana unasaba na nje.
Hizi ni ideology za kijamaa zilishapitwa
Kwa hiyo unaona wivu kwa kuwa wewe umezaliwa na kukulia kisha kuzeekea Kawe?Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Mkuu sijaelewa nifafanue nini hapo, maisha ya Watafutaji nje ni pamoja na kupambana na vibali vya kuishi wengine wametumia Permit za kikimbizi ili mradi tuu maisha yaende kwa wakati huo...Kivipi hapa mkuu
sometime huwa najiuliza kwanini nilizaliwa africa kwenye watu wenye fikra za kimaku, na chuki.mtu mzima unapata wapi muda wa kuandika utumbo wa namni hii.
Kwamba Elimu ya Lissu, wewe ndiyo ulimsomesha? Kwani wewe umeshindwa nini kupeleka wanao USA?,Lissu ndiyo alikufanya uwe lazoo.?Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Sawa. Wamekusikia. Wataanza nae mara tu akifika Airport yetu pendwa.Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.
Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.
Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.
Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
Mimi ni Chadema mkuu, ila napenda sheria zifuatwe
Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu