Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe


Asante
 
[emoji23][emoji23] muhaho wa kupapaswa na Bashiru huo
 
Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu

Hakuna chadema mwenye akili hii [emoji16] nakataa
 
Unateseka ukiwa wapi mbwiga? Haiyumkini Mungu analiadhibu taifa kwa ukame kwa kuwa juu ya nchi mnaishi viumbe msiostahili! Hao wanaokuongoza hapo ccm familia zao Zina uraia pacha na hujastuka?
 
Ka

Kama hawajafikisha miaka ya uraia hakuna shida. Kuna umri wakifikisha lazima wakane uraia aidha wa marekani au Tanzania.
Sawa,, lisu alirudi tanzania lini toka US,,,?,, Aah, ama wacha tu...
 
Kweli, na Mimi kama Chadema ninapiga kelele sana kuhusu matumizi mabaya ya ruzuku, ACT ya juzi tu Ina Ofisi Kali ya ghorofa, sisi Hela zinaliwa tu
Hawa ni wafiwa wa Cuf wamejiegemeza act kwa muda wakisikilizia upepo, ukute hata mchana huu hajala, kashindia kahawa na kashata ni stori kijiweni Kariakoo Msimbazi.
 
Yeye kujitoa mhanga na kulimwa risasi ni mfano tosha kabisa wa kiongozi anayejiweka mbele. Ndio mwanasiasa pekee aliyepambana na Magafuli uso kwa uso.
Unajua mtu anaejitoa mhanga kupigwa risasi? Angetumiwa
Ujumbe wa simu kuwa leo tunakulima
Risasi
Angetoka hata nje ya mlango wake?

So tumpe urais kwasababu alipigwa risasi? Tuna mpa
Kama pole au?

Watanzania mnaendeshwa kwa emotions
 
Serikali yako na chama cha mapinduzi ccm kimewapa una tatizo lingine?.
 
Awalete hapa tuandamane wote, sio wanamuandamisha Akwilina tu
We mjinga nani alikwambia Akwilina alikuwa akiandamana?Akwilina alikuwa mwanafunzi chuo cha NIT Mabibo alipigwa risasi akiwa ndani ya daladala akitokea Mabibo to Mwananyamala.
 
Kutokuweka akiba ya maneno tatizo karopoka. Halafu watu wanamuona shujaa.
 
wee anti, hadi unakufa unalalamika watoto wa lissu, watoto wako wapwapi kwanza?
 
Naona bado una hasira za kushindwa kutimiza lengo la kumuua Lissu pole Sana. Eti Lissu Hana uchungu na nchi lakini, mafisadi wa CCM wanaoiba na kuiba kila siku wanauchungu na nchi.
trust me, kitendo cha lisu kupigwa risasi, kiliniuma, na bado kinaniuma hadi leo kwasababu ulikuwa ni unyama wa ajabu sana. mtu hata akikosea huwezi fanya vile, na huwa naamni waliofanya, kama hawajaadhibiwa tayari na Mungu, kuna siku wataadhibia. watakunywa kikombe cha matendo yao kama hawatatubu na kumrudia Mungu.

however, ukiweka hayo pembeni, jamaa ni hatari sana kwa taifa hili na anachojali ni tumbo lake tu. hilo halina ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…