Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

Wewe ungewaomba ndugu zako wakusindimize kwenda Milembe hospital.

Mleta hoja asamehewe maana kwa haya anayoyaandika kila mara, hakuna shaka kuwa yu mgonjwa wa akili. Ndugu wa karibu wamsaidie.
 
Wewe ungewaomba ndugu zako wakusindimize kwenda Milembe hospital.

Mleta hoja asamehewe maana kwa haya anayoyaandika kila mara, hakuna shaka kuwa yu mgonjwa wa akili. Ndugu wa karibu wamsaidie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Wewe ungewaomba ndugu zako wakusindimize kwenda Milembe hospital.

Mleta hoja asamehewe maana kwa haya anayoyaandika kila mara, hakuna shaka kuwa yu mgonjwa wa akili. Ndugu wa karibu wamsaidie.
Changia hoja, sio unaandika vitu vya hovyo hovyo
 
Hao uliowataja awapo kwenye top
 
Hakuna wa kumshitaki Lissu.
Hata wewe unajua.
 
Sawa,, lisu alirudi tanzania lini toka US,,,?,, Aah, ama wacha tu...

..hao madogo walizaliwa USA.

..waliishi na kusoma Tanzania wakati wote Lissu alipokuwa hapa.

..wamehamia USA na kuchukua uraia wa huko baada ya Lissu kushambuliwa.

..sheria za Tanzania zilikuwa zinawaruhusu kuwa na pasi ya hapa kwasababu wazazi wao ni Watanzania.

..Baada ya kufikisha miaka 18 na kuudai uraia unaotokana na wao kuzaliwa USA ndio wanapoteza uraia wa Tanzania.
 
Wakiruhusu Uraia pacha naahidi nitapanda miti 1m na nikifa nadhira itakuwa palepale wanangu watapanda

Tupeni dual citizenship
 
ila kuna watu wana mawazo kama ya nyaa!
 
Tuna watu wa uhamiaji dhaifu Sana Kama haya yanatokea afu wapo tuu.
 
Hakuna uraia pacha Nchi hii.
Ukipata uraia wa Nchi nyingine , unapoteza wa Tanzania.

Na kama mtu alikua na uraia wa Nchi nyingine , ilibidi aukane kwanza ndio apate huu wa kibongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…