Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kabisa..Zimamoto nao ukiwataarifu kuna moto,ndiyo kwanza,wanaenda kujaza maji kwanzaMajeshi ya nchi hii ukiondoa Magereza na JWTZ ni watu wa hovyo Sana .....
Kabisa..Zimamoto nao ukiwataarifu kuna moto,ndiyo kwanza,wanaenda kujaza maji kwanza
Unaonekana kwenye soft skills ni zero kabisa, unajifanya kuandika big words kumbe kichwani tope tupuUbalozi wa Burundi ulipaswa kuja kumhudumia subject alien wao…
Tanzanian constitution does not guarantee civil protections for non citizen aliens…
Boarder patrol agents did everything by the book…
Ubalozi wa Burundi huwa haujishughulishi na masuala ya raia haramu wanaozagaa nchini.Je muliwaasiliana na huo Ubalozi wa Burundi!?
Walimtelekeza ili afe wao wasijulikaneWeka siasa pembeni. Issue hapo sio ukwel au uongo, issue happ ni kwann uwamiaji wamemtelekeza huyo mama hospital?
Aya hapo wanasubiria akitoka hospital ndio waje kumkamata tena baada ya kumtelekeza?
Umenisikitisha sana ,they did a commendable job kwa kumtelekeza mtuhumiwa hospital? Walipaswa wamalize kazi walioianza.I think you are right, the immigration officer did a commendable job. We must have a law and order society.
The unidentified woman with no papers could be a covert agent of the Kagame regime, for all we know. They are known for operating well beyond their borders.
The Tanzanian officials did everything by the book. Thumbs up.
Hamjalaumu kuhusu ukamataji, mmelaumu kuhusu nini ?
Kama unakubali kwamba alivyokamatwa ni sawa hapa tunabishania nini cha zaidi ???
Kosa ni kumkamata muhamiaji haramu na kumtelekeza hospitali ili afe.Kwanza kabisa namshukuru huyo mama kama kajifungua salama. Mungu amtangulie yeye na mwanae wawe salama. Kama kuna namna ya kumtumia kakitu weka namba za simu au akaunti.
Kuhusu uhamiaji nao sijaona walipokosea. Walikuwa kwenye majukumu yao. Sheria huwa lazima ifuatwe na huruma ndo huwa ni hiari.
Hakuna nchi utaingia bila kuwa na makaratasi. Kwa nchi baadhi ya nchi za jirani huwa kuna border pass kwa wakazi wa sehemu za jirani sana na mpaka. Lakini pia bado zile passport za dharura huwa ni rahisi kuzipata.
Border ya Ngara walifanya makosa kumruhusu bila documents. Watanzania tuamke na kuacha kulalamikia mambo yenye manufaa kwa usalama wa taifa zima.
Uhamiaji wakishirikiana na NIDA waendelee kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu haya mambo. Ikiwezekana waanzie mashuleni huko. Hata TRA nao wapambane kutoa elimu ili kuwa na wananchi wazalendo wanaojua wajibu wao kwa nchi. Itapunguza kulaumiana.
Mwisho kama unajua kipato chako hakiruhusu usitoe papuchi yako ovyo kwa mgeni. Pia wanaume tuache ngono zembe ili kutowaleta viumbe wasio na hatia kuja duniani kuteseka bila sababu.
Mkuu wakati mwingine hizi huruma za kitanzania zinatuponza!!cha msingi hujaelezea tatizo lilikuwa ni nini, sio mambo ya eti alijieleza, wapi, mfano kama hana muhuri wa mpakani alipoingilia nchini, unategemea nini?
Hilo ni jambo dogo?!!Acheni lawama kwenye mambo ya msingi, wewe nenda RWANDA, DRC, BURUNDI, uingiaji wako huko uwe una mashaka, ndio utajua kuwa nchi ya watu sio kitongoji.
Sasa kama uingiaji wake nchini una kasoro washindwe kusimamia sheria ila watangulize ubinadamu zaidi?
likija kulipuka huko utawaambia viongozi wako, eti nilitumia ubinadamu kupindisha sheria, tena kwa mgeni?!!
Kwa kumuacha mitaani muhamiaji haramu?je hao Burundi walipewa taarifa ya MTU wao kukamatwa?is all this nonsense doing everything by the book? Which fuckin book?Ubalozi wa Burundi ulipaswa kuja kumhudumia subject alien wao…
Tanzanian constitution does not guarantee civil protections for non citizen aliens…
Boarder patrol agents did everything by the
Ubalozi wa Burundi ulipaswa kuja kumhudumia subject alien wao…
Tanzanian constitution does not guarantee civil protections for non citizen aliens…
Boarder patrol agents did everything by the book…
…
Hoja imepitaNashauri huyo mtoto aliyezaliwa aitwe (BUTAKE ) yaani Burundi, Tanzania na Kenya
Kisa hiki ni tofauti kidogo na nilichokisikia. Watumishi fulani nadhani wa serikali walikwenda mahala kikazi. Jioni ilipofika wakaenda baa kupata moja moto moja baridi. Kama ujuavyo ili beer syndrome walipokuwa wanondoka wakaopoa wahudumu kila mmoja na wake. Bahati mmoja aliiangukia kwa mhudumu ambaye alikuwa mjamzito ambaye kwa shida zake hakuwa amechukua likizo ya uzazi. Usiku akashikwa uchungu. Wale jamaa pombe zikaisha, pamoja na mhudumu yule wakampeleka hospitali ambako alijifungua salama. KESHO YAKE WAKATUMIA SEHEMU YAPOSHO ZAO KUMNUNULIA MAHITAJI YAKE NA MTOTO.Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.
Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito, asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.
Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule. Alishikiliwa mpaka akapata labour pain (Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .
Mama hakuwa na chochote hata nguo hana, kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.
Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada, maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves, Dawa za baada na kabla ya upasuaji, drip n.k
Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia. Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie. Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.
"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"?
itakuwa kwa uhalifu wao wana mzio na vyombo vya dolaUkisika uongo ndiyo huu. Nafikiri wewe ni CHADEMA.