Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

Mtu yeyote alieferi kidato cha nne akapata alama za mwisho mwisho huwa anakuwa na matatizo....nilikuwa sijawahi kuliamini hili, lakini siku nilipoanza kuishi na jamaa alieferi kidato cha nne niligundua kitu niamini mimi au kama vipi fanya uchunguzi utaniambia...
 
Kuna siku nilikuwa natoka Dodoma kwenda Mbeya,tulipitia njia ya Mtera,kuna sehemu kabla ya kufika kwenye bwawa la mtera kuna hao asikari wa uhamiaji,basi likasimamishwa akaingia dogo mmoja ila ukimcheki bado kinda kwenye kazi,akiona mtu ama kuhisi ndani ya basi utasikia anakusalimia,

Sasa kuna sehemu ya jamaa mmoja waliingia chakike,jamaa kajifunga skafu kama bendera ya tanzania kama anavyovaa mwigulu nchemba,jamaa alikuwa kalala dogo akamuamsha jamaa akastuka kisha akakaa kimya,dogo anaanza kumuuliza habari yako jamaa akahamaki dogo alijua jamaa ni foregn,wakajibizana mwishowe dogo akawa anadai jamaa aonyeshe kitambulisho chochote,

Jamaa akagoma na akazuia basi kuondoka akaenda chini kumuita kiongozi wake,kufika kumbe yule jamaa kila wiki ama mwezi lazima apite ile njia akienda kuona familia yake Mbeya mbaya zaidi jamaa anauliza kila nikipita hapa lazima mniulize ulize kwani nyie mnanionaje sio raia ama ni nini,

Wakajifanya wanataka kumkamata kumbe jamaa ni takukuru uko Singidani,kutoa tu kitambulisho chake kumbe jamaa ni afisa wa takukuru uko Singidani wale askari palepale wakanywea,na jamaa akawaambia hao nikirudi hamkai tena hapo hamjui customer care,

Sasa nikawa najiuliza huyo ni mtumishi anafanyiwa ivyo je ningekuwa mie mbeba mizigo kariakoo ningekuwa kwenye hali gani
 
Tii sheria bila shuruti. Poisi/Uhamiaji mzuri/makini ni yule ambaye hamwamini mtu yeyote!

A good cop is the one who does not trust any body!

Hongera sana Afisa Uhamiaji!
 
Ubalozi wa Burundi ulipaswa kuja kumhudumia subject alien wao…

Tanzanian constitution does not guarantee civil protections for non citizen aliens…

Boarder patrol agents did everything by the book…
Unaonekana kwenye soft skills ni zero kabisa, unajifanya kuandika big words kumbe kichwani tope tupu
 
Je muliwaasiliana na huo Ubalozi wa Burundi!?
Ubalozi wa Burundi huwa haujishughulishi na masuala ya raia haramu wanaozagaa nchini.

Standard protocol for Burundi non-resident aliens intercepted roaming the country is voluntary removal without detainment.

Again, Tanzanian officials followed immigration law, policy and practice to the letter.
 
Weka siasa pembeni. Issue hapo sio ukwel au uongo, issue happ ni kwann uwamiaji wamemtelekeza huyo mama hospital?

Aya hapo wanasubiria akitoka hospital ndio waje kumkamata tena baada ya kumtelekeza?
Walimtelekeza ili afe wao wasijulikane
OK hajafa what next?wanamkamata?maana bado ni muhamiaji haramu kisha ameongeza haramu nyingine juu,ana kesi ya double haramu mamaee!
 
Uhamiaji wakipanda kwenye gari kukagua utadhani wanalipwa mamilioni ya shilingi, shati zenyewe zimepauka kama nini.

Wengi lugha zao zq vijijini unaona kabisq huyu JKT ndio ilimleta mjini
 
I think you are right, the immigration officer did a commendable job. We must have a law and order society.

The unidentified woman with no papers could be a covert agent of the Kagame regime, for all we know. They are known for operating well beyond their borders.

The Tanzanian officials did everything by the book. Thumbs up.
Umenisikitisha sana ,they did a commendable job kwa kumtelekeza mtuhumiwa hospital? Walipaswa wamalize kazi walioianza.
 
Kutelekezwa hospital kama akili yako imeshindwa kudadavua!Check ur fuckin side again!
Hamjalaumu kuhusu ukamataji, mmelaumu kuhusu nini ?

Kama unakubali kwamba alivyokamatwa ni sawa hapa tunabishania nini cha zaidi ???
 
Kwanza kabisa namshukuru huyo mama kama kajifungua salama. Mungu amtangulie yeye na mwanae wawe salama. Kama kuna namna ya kumtumia kakitu weka namba za simu au akaunti.

Kuhusu uhamiaji nao sijaona walipokosea. Walikuwa kwenye majukumu yao. Sheria huwa lazima ifuatwe na huruma ndo huwa ni hiari.

Hakuna nchi utaingia bila kuwa na makaratasi. Kwa nchi baadhi ya nchi za jirani huwa kuna border pass kwa wakazi wa sehemu za jirani sana na mpaka. Lakini pia bado zile passport za dharura huwa ni rahisi kuzipata.

Border ya Ngara walifanya makosa kumruhusu bila documents. Watanzania tuamke na kuacha kulalamikia mambo yenye manufaa kwa usalama wa taifa zima.

Uhamiaji wakishirikiana na NIDA waendelee kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu haya mambo. Ikiwezekana waanzie mashuleni huko. Hata TRA nao wapambane kutoa elimu ili kuwa na wananchi wazalendo wanaojua wajibu wao kwa nchi. Itapunguza kulaumiana.

Mwisho kama unajua kipato chako hakiruhusu usitoe papuchi yako ovyo kwa mgeni. Pia wanaume tuache ngono zembe ili kutowaleta viumbe wasio na hatia kuja duniani kuteseka bila sababu.
Kosa ni kumkamata muhamiaji haramu na kumtelekeza hospitali ili afe.
 
Ndio wamtelekeze hospital muhamiaji haramu? Akiiba dawa?akimuua mganga mkuu na manesi?
Mkuu wakati mwingine hizi huruma za kitanzania zinatuponza!!cha msingi hujaelezea tatizo lilikuwa ni nini, sio mambo ya eti alijieleza, wapi, mfano kama hana muhuri wa mpakani alipoingilia nchini, unategemea nini?

Hilo ni jambo dogo?!!Acheni lawama kwenye mambo ya msingi, wewe nenda RWANDA, DRC, BURUNDI, uingiaji wako huko uwe una mashaka, ndio utajua kuwa nchi ya watu sio kitongoji.

Sasa kama uingiaji wake nchini una kasoro washindwe kusimamia sheria ila watangulize ubinadamu zaidi?

likija kulipuka huko utawaambia viongozi wako, eti nilitumia ubinadamu kupindisha sheria, tena kwa mgeni?!!
 
Ubalozi wa Burundi ulipaswa kuja kumhudumia subject alien wao…

Tanzanian constitution does not guarantee civil protections for non citizen aliens…

Boarder patrol agents did everything by the
Ubalozi wa Burundi ulipaswa kuja kumhudumia subject alien wao…

Tanzanian constitution does not guarantee civil protections for non citizen aliens…

Boarder patrol agents did everything by the book…

Kwa kumuacha mitaani muhamiaji haramu?je hao Burundi walipewa taarifa ya MTU wao kukamatwa?is all this nonsense doing everything by the book? Which fuckin book?
 
Kuna watu mna chai, hii ni chai tena ya asubuhi, ipo hivi tena kisheria kumzuia kufanya kazi yake ni kosa kisheria, huuyo jamaa angekamatwa na ndani angelala.
 
Sasa hivi kwenye vizuizi vyao wanakuuliza vitambulisho tushazoea hayo mambo ugenini eti na nyumbani unakolomewa wakati wenzetu raia wao wanawajua wanawauliza wageni bongo shida sana kweli...
 
Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.

Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito, asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.

Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule. Alishikiliwa mpaka akapata labour pain (Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .

Mama hakuwa na chochote hata nguo hana, kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.

Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada, maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves, Dawa za baada na kabla ya upasuaji, drip n.k

Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia. Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie. Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.

"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"?
Kisa hiki ni tofauti kidogo na nilichokisikia. Watumishi fulani nadhani wa serikali walikwenda mahala kikazi. Jioni ilipofika wakaenda baa kupata moja moto moja baridi. Kama ujuavyo ili beer syndrome walipokuwa wanondoka wakaopoa wahudumu kila mmoja na wake. Bahati mmoja aliiangukia kwa mhudumu ambaye alikuwa mjamzito ambaye kwa shida zake hakuwa amechukua likizo ya uzazi. Usiku akashikwa uchungu. Wale jamaa pombe zikaisha, pamoja na mhudumu yule wakampeleka hospitali ambako alijifungua salama. KESHO YAKE WAKATUMIA SEHEMU YAPOSHO ZAO KUMNUNULIA MAHITAJI YAKE NA MTOTO.
Basi yule ambaye aliopoa asiye mjamzito akawa anamtania mwezake kwa umahiri wa kupata mwanamke kumpa mimba na kuzalisha kwa usiku mmoja tu
 
Back
Top Bottom