Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022.Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli(Barrier) .Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.

Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito ,asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.

Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule.Alishikiliwa mpaka akapata labour pain(Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .

Mama hakuwa na chochote hata nguo hana ,kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.

Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada ,maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves,Dawa za baada na kabla ya upasuaji,drip n.k

Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia.Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie.Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.

"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"???

Mkuu acha kutetea Uhalifu. Umewahi kufika japo hapo Zambia tu ukakumbuka na Askari wake wewe raia wa kigeni?

Halafu jaribu kuwa Mkweli, huyo Mama wa Burundi unayesema alikuwa anatokea Ngara kwenda Kenya akamatiwe Barrier ya Kurumli ni Chenga na Uongo.

Kumbuka Mji wa Musoma au PENINSULA TOWN umezungukwa na Maji na Njia ya Kuingia ni Barabara 1 pekee yaani Mwanza to Musoma, haipo nyingine, hiyo Barrier unayosema huyo mama alikamatiwa inatokea Vijiji vya Ndani ya Musoma haina Connection na Mkoa ama Wilaya yoyote ndani ya Tanzania sasa hebu fafanua hiyo njia ya Kurumli ina uhusiano gani na Ngarra?

Huyo mama ni Mkimbizi na Mhalifu kama walivyo wahalifu wengine, linapokuja suala la Sheria za Uhamiaji tuweke pembeni huruma na siasa tuache Askari wafanyekazi.
 
clinician Mimi nilikuwa nasafiri nikitokea Mwanza kwenda TARIME alivyosushwa kwenye gari abilia tulipatwa hasira zilizo changanyika na huruma .Kesho yake nilikuwa naenda MUSOMA MJINI huko nilipata full story ya mama huyo.Nilifika mpaka kituo cha Afya Nyasho kumuona anatia huruma sana hata Kiswahili hajui vizuri
Sasa nyinyi abiria mliyaona hayo yote...macho yakiwatoka, mkisikia, nyoyo zikiwauma lakini midomo mmefumba, mmeufyata fyatu.

Ninyi ndio mlikuwa na dhambi kubwa zaidi siku hiyo. Hata kupaza sauti hakuna. Ndio watanzania tunavyo stahili kuwa hivyo kweli?
 
Mkuu kiukweli abiria tulijaribu Sana kupiga kelele lakini Jamaa alikuwa hasikii lakini pia dreva aliondoa gari haraka tukabaki na manung'uniko yetu kwenye gari
 
Hakuna Uhamiaji wa hivyo aruhusu mtu aingia nchini bila kibali huyo alipita njia ya panya.
Shida sii kwamba huyo mama kaingiaje nchin, shida ni kitendo cha kumkamata alafu wakamtelekeza hospital baada ya kuona kapata uchungu.

Swali ni je ndivyo kanuni za kuendesha shughuri zao zinawataka waterekeze watuhumiwa ambao wapo kwenye hali hatarashi za kiafya?

Je akipona watarudi tena kumshikilia kama mtuhumiwa baada ya kumtelekeza akiwa kwenye hali mahututi?

Hapo tusiozungumzie swala la kifo maana ajafa.
 
Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022.Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli(Barrier) .Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.

Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito ,asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.

Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule.Alishikiliwa mpaka akapata labour pain(Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .

Mama hakuwa na chochote hata nguo hana ,kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.

Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada ,maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves,Dawa za baada na kabla ya upasuaji,drip n.k

Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia.Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie.Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.

"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"???
Mkuu usi walaumu kabisa watu wa uhamiaji,hivi wewe ulisha wai kuingia inchi za watu bila utaratibu?

Ukiwa kwenye inchi za watu bila kufuata utaratibu lazima utasulubiwa tu,usiwalaumu kabisa wana timiza majukumu yao,pia ni ngumu kumtambua mtu muovu eti kisa kajitetea.
 
Mkuu acha kutetea Uhalifu. Umewahi kufika japo hapo Zambia tu ukakumbuka na Askari wake wewe raia wa kigeni???
Halafu jaribu kuwa Mkweli, huyo Mama wa Burundi unayesema alikuwa anatokea Ngara kwenda Kenya akamatiwe Barrier ya Kurumli ni Chenga na Uongo. Kumbuka Mji wa Musoma au PENINSULA TOWN umezungukwa na Maji na Njia ya Kuingia ni Barabara 1 pekee yaani Mwanza to Musoma, haipo nyingine, hiyo Barrier unayosema huyo mama alikamatiwa inatokea Vijiji vya Ndani ya Musoma haina Connection na Mkoa ama Wilaya yoyote ndani ya Tanzania sasa hebu fafanua hiyo njia ya Kurumli ina uhusiano gani na Ngarra???
Huyo mama ni Mkimbizi na Mhalifu kama walivyo wahalifu wengine, linapokuja suala la Sheria za Uhamiaji tuweke pembeni huruma na siasa tuache Askari wafanyekazi.
Hujaelewa rudia tena kusoma.

Pili Barabara ya Mwanza-Tarime -sirali hujui.

Tatu berries iko baada ya kuvuka mto Mara ,kiuhalisia iko nje ya Musoma lakini Uhamiaji waliko pale wanatokea MUSOMA MJINI nayo hii huijui kabisa

Nne wanahitajika watu ambao ni great thinker katika hii mada
 
Mkuu usi walaumu kabisa watu wa uhamiaji,hivi wewe ulisha wai kuingia inchi za watu bila utaratibu? Ukiwa kwenye inchi za watu bila kufuata utaratibu lazima utasulubiwa tu,usiwalaumu kabisa wana timiza majukumu yao,pia ni ngumu kumtambua mtu muovu eti kisa kajitetea.
Umeelewa mada kweli?
 
Mkuu acha kutetea Uhalifu. Umewahi kufika japo hapo Zambia tu ukakumbuka na Askari wake wewe raia wa kigeni???
Halafu jaribu kuwa Mkweli, huyo Mama wa Burundi unayesema alikuwa anatokea Ngara kwenda Kenya akamatiwe Barrier ya Kurumli ni Chenga na Uongo. Kumbuka Mji wa Musoma au PENINSULA TOWN umezungukwa na Maji na Njia ya Kuingia ni Barabara 1 pekee yaani Mwanza to Musoma, haipo nyingine, hiyo Barrier unayosema huyo mama alikamatiwa inatokea Vijiji vya Ndani ya Musoma haina Connection na Mkoa ama Wilaya yoyote ndani ya Tanzania sasa hebu fafanua hiyo njia ya Kurumli ina uhusiano gani na Ngarra???
Huyo mama ni Mkimbizi na Mhalifu kama walivyo wahalifu wengine, linapokuja suala la Sheria za Uhamiaji tuweke pembeni huruma na siasa tuache Askari wafanyekazi.
Wewe Mara huijui bora ungekaa kimya tu ndugu.

Kwanza sio kirumli ni Kirumi. Hii barrier haikwepeki maana unavuka mto(labda kama unaweza kupita kwenye mto napo sizan kama inawezekana) ipo kwenye njia ya kutoka mwanza kwenda tarime(una iacha njia ya kwenda musoma)

Alaf usiseme njia ya kuingia Musoma.ni moja sema njia fupi na mainroad ya kuingia musoma ni moja, maana zipo njia zaid ya moja za kuingia wilaya ya Musoma ukiishafika wilaya ya Bunda sema zinavumbi na mzunguko sana.
 
Mimi naona uhamiaji inalaumiwa bure. Je, huyo mama alikuwa na passport ya Africa Mashariki akakataliwa kuendelea na safari? Tukitunga sheria lazima tuzifuate. Hatuwezi kuchagua sheria ipi ifuatwe na ipi isifuatwe. Huyu mama angekuwa na makaratasi yanayotakiwa angeendelea na safari. Kwanza unajuaje ni kweli anaenda Kenya. Unajuaje ni Mrundi. Kwa nini hakuwa na passport? Je huko Kenya angeingiaje bila passport? Si angeisha kurudishwa mpakani. Kama alipata uchungu na kwenda Nyasho Clinic, si ni afadhali kuliko kupatia uchungu ndani ya gari ambapo huduma ya ukunga hakuna?
I think you are right, the immigration officer did a commendable job. We must have a law and order society.

The unidentified woman with no papers could be a covert agent of the Kagame regime, for all we know. They are known for operating well beyond their borders.

The Tanzanian officials did everything by the book. Thumbs up.
 
Wewe Mara huijui bora ungekaa kimya tu ndugu.
Kwanza sio kirumli ni Kirumi. Hii barrier haikwepeki maana unavuka mto(labda kama unaweza kupita kwenye mto napo sizan kama inawezekana) ipo kwenye njia ya kutoka mwanza kwenda tarime(una iacha njia ya kwenda musoma)

Alaf usiseme njia ya kuingia Musoma.ni moja sema njia fupi na mainroad ya kuingia musoma ni moja, maana zipo njia zaid ya moja za kuingia wilaya ya Musoma ukiishafika wilaya ya Bunda sema zinavumbi na mzunguko sana.
Ni wapi Umeitaja KIRUMI kwenye Uzi wako??? Wewe umetaja KURUMLI ambayo ni barrier iliyoko Mbele ya Chuo cha Buhare kuelekea Ginnery Mugango.

Acha kujimwambafai kuwa unajua maeneo na barabara Mkuu, kuna member humu kazi yetu ni kutembea naweza kukutajia barabara ya kuanzia Nangurukulu Mtwara nipite Songea, nitokee Mbeya, Nipite Chunya, Ipole Tabora, Bunda, mpaka, Kibara Mpaka BurendaBufe mpaka Kekombyo naikuta Musoma ambayo unaweza usijue ipo.

Kubali kwamba Mji wako wa Musomo unaingilika kwa Barabara Moja tu hakuna nyingine.
 
Kama great thinker nilitegemea ungelewa kilichozungumzwa badala yake umejikita kwenye makosa ya Kirumi na Kurumuli.
 
I think you are right, the immigration officer did a commendable job. We must have a law and order society.

The unidentified woman with no papers could be a covert agent of the Kagame regime, for all we know. They are known for operating well beyond their borders.

The Tanzanian officials did everything by the book. Thumbs up.
Acha kukurupuka hatujalaumu kuhusu ukamataji.

You are out of point.Check your side
 
Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022.Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli(Barrier) .Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.

Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko kwa mchumba aliyempa ujauzito ,asingeweza kujifungulia kwao maana hana msaada na hata hivyo hajapata chakula tangu aanze Safari akitokea Burundi Kupita mpaka wa BURUNDI na NGARA na hata hivyo alijitetea kwenye mpaka huo na akasikilizwa.

Afisa wa uhamiaji Musoma hakutaka kabisa kusikiliza na hakujali hali ya mama yule.Alishikiliwa mpaka akapata labour pain(Uchungu) akakimbizwa Kituo cha AFYA NYASHO .

Mama hakuwa na chochote hata nguo hana ,kibaya zaidi alipaswa kufanyiwa upasuaji kwa sababu alipata uchungu pingamizi.

Maafisa uhamiaji waliomleta wakatokomea na hata walipotafutwa hawakuwa na msaada ,maana kituo hawakuwa na vifaa vya kama surgical gloves,Dawa za baada na kabla ya upasuaji,drip n.k

Watumishi wa kituo hiki walichanga pesa wakamsaidia.Leo yuko wodini hata chakula anapewa na wagonjwa wenzie.Hana nguo anatumia mashuka ya Kituo.

"Hivi uhamiaji pamoja na Sheria za nchi kwa Hali kama hiyo hawakuwa na chakufanya kuanzia kwenye ukamataji"???
Sheria bila kutumia busara ni upumbavu!!
 
Back
Top Bottom