Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Muafrika unambagua muafrika mwenzio tena ndani ya Afrika. Wenzio wamekuja kutafuta wewe umelala tu
 
Wamekuja kutumia pesa zao za mafuta! Ila hao wanalenga mbali
 
Acha uchawi, roho mbaya, husda na chuki mkuu. Havitakusaidia maishani.
 
Kuna mmoja yuko mwanza anauza spea used za magari, nadhani sheria za JF hazikubali kutaja majina. Aisee huyu tunaita wa mwisho, spea ya 40000 ukienda kwake anakutajia laki moja kama hutaki sepa. Yaani ukienda kwake, unaeza amua kupaki gari tu
Taguta duka jingine mkuu ili kujipunguzia mateso unayopata kutokana na chuki kali sana ikisindikizwa na wivu😂
 
Sasa hapo kosa lake ni lipi?
 
Daaah wanaija wengi uliona wananunua moet ni desturi yao tu, wao wako hivo mbona ni lifestyle yao ya kuspend tu.

Kuhusu deals zao wanazo fanya mi sijui, nahisi wao wamekuja bongo kuenjoy tu.
maana bongo hapa kuna fursa gani za kupiga mshiko??? yaani bora hata na kwao pesa ipo.

Wanaija wanawapenda mademu wakwetu sana yaani wakisikia demu toka Tanzania, Rwandwa au Kenya wanawaelewa sana.

Wamekuja kutumia pesa zao bongo, wacha watu waje na sisi tuokote huko maana hili liinchi Tz limepoa mno aiese, ngoja watufundishe fursa.
 
Jamaa analalamika wanaija wamekuja kutembezea miti hawa malaya hapa Tz, wacha waliwe kum ake zao.

Wacha watu wale maisha pesa wamezisanya, hapa arusha wakenya kama wote saivi wanatembeza miti na walivyo na sifa kama wasukuma waseya😅😅🤣 mama kafanya fungulia mbwa watoto wa dog wanamaliza kilo jombaa 🤣
 
Taguta duka jingine mkuu ili kujipunguzia mateso unayopata kutokana na chuki kali sana ikisindikizwa na wivu😂
Kwa inavoonekana wewe spea pekee umewahi kununua ni kichongeo ya penseli. Endelea hivo hivo
 
kuishi Tanzania sio shida.
Wana vibali? kazi halali?
isije siku mkaja kulia kilio Cha taifa
 
Ukipigwa tukio ndo utajua kuwa ulikuwa haujui
 
Wanaigeria ni wapigaji sana, Hao unaowaona wanashangaa shangaa mitaani wanatuibia hela sisi na dada zetu wanawakaza. Hawa jamaa ni wakufurushwa kabisa.
Walimpiga mimba Dada mmoja hapo Sinza. Jamaa akaondoka akasema anaenda kuandaa taratibu za utambulisho kwao Nigeria ili binti aende. Ndio moja kwa moja hadi leo. Sema binti nae mshenzi alipoona jamaa harudi na simu haipatikani kaenda kuchomoa mimba. Sasa ameolewa na mbongo. Wake zetu wamepitia mengi
 
Rukwa,katavi,Kigoma,Kagera na Tabora kuna lundo la wakongo,warundi na wanyarwanda.
Tunataka Jeshi la Uhamiaji LITIMIZE majukumu yake inavyo takiwa.

Kamwe nchi yetu isiwe kama shamba la bibi, wahamiaji wanaingia kiholela bila utaratibu na wanaishi bila vibali na hata kufanya kazi.

Hii ni hatari kwa uslama wa nchi yetu.
 
Tunataka Jeshi la Uhamiaji LITIMIZE majukumu yake inavyo takiwa.
Usilete siasa za maga hapa
Kamwe nchi yetu isiwe kama shamba la bibi, wahamiaji wanaingia kiholela bila utaratibu na wanaishi bila vibali na hata kufanya kazi.
Unamjua mwenye shamba au?
hao wanaoingia bila vibali wanatoka wapi? Wako wapi? Upanga? Kariakoo?
Hii ni hatari kwa uslama wa nchi yetu.
Kwani wenye dhamana na hilo hawajui?
 
Tunataka Jeshi la Uhamiaji LITIMIZE majukumu yake inavyo takiwa.

Kamwe nchi yetu isiwe kama shamba la bibi, wahamiaji wanaingia kiholela bila utaratibu na wanaishi bila vibali na hata kufanya kazi.

Hii ni hatari kwa uslama wa nchi yetu.
Acha wivu mkuu,

Umasikini wako ndy uMekufanya ukekuwa kiroporopo kama kasuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…