Uhamiaji naomba muwamulike Wanaijeria walio Tanzania

Sasa Mnigeria akishon nguo wewe huwezi kushon pia??

Kazi gani za wazawa wamechukua?
Mnigeria hawezi kutoka Nigeria kuja Tanzania kushona nguo, bahati mbaya hujui unaloliandika.zile namba ni hatari, kule USA mara nyingi ukitua uwanjani (international flight) kama ni black most likely utaulizwa are you from Nigeria? if yes, you are subjected to further grilling
 
Kuna mmoja yuko mwanza anauza spea used za magari, nadhani sheria za JF hazikubali kutaja majina. Aisee huyu tunaita wa mwisho, spea ya 40000 ukienda kwake anakutajia laki moja kama hutaki sepa. Yaani ukienda kwake, unaeza amua kupaki gari tu
Wengi wanafanya biashara za madawa na haramu nyingine ila wanajifanya kufungua biashara za aina hiyo. Wanaijeria siyo wa kuchekea hata kidogo na wapigwe vita kabisa. Nashangaa hapa watu wanafanya kejeli wakati nchi imejaa vijana wasio na ajira.
 
Hapa Ocean waves apartments walikamatwa sana wiki jana, uhamiaji waliingia saa 10/11 aisee wali wafurumusha balaa kila floor walipita kukagua na pale kuna wa nigeria [emoji1184] wengi kidogo na wa Usa weusi ila nahisi mambo yao yalisha isha nahisi hawakugongewa passport
 
Mnigeria hawezi kutoka Nigeria kuja Tanzania kushona nguo, bahati mbaya hujui unaloliandika.zile namba ni hatari, kule USA mara nyingi ukitua uwanjani (international flight) kama ni black most likely utaulizwa are you from Nigeria? if yes, you are subjected to further grilling
Kwa hiyo unaona sifa ukiwa suspected nchi za watu
 
Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.

Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.

Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.

Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.

Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
Kwani kuna kipengele kinasema business visa ni kwaajili ya kazi ambazo wazawa hawawezi kufanya??

Hakuna hilo business visa ina kanuni zake na sio eti hiyo biashara iwe wazawa hawawezi maana hadi sasa watz tunaweza kila kitu
 
Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.

Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.

Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.

Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.

Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
Halafu hao wanaijeria kwani wako wangapi??? Maana naamini ni wachache mno, achana na mambo ya xenophobia
 
Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.

Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.

Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.

Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.

Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.

wewe hujui kuwa biashara ya dawa za kulevya imerudi kwa kasi ya mwendo kasi. na unapowaona wanaigeria sehemu ujue biashara hiyo ipo imenoga
 
Wengi wa Hawa popo wanajifanya watu wa dini lakini ni gelesha tu biashara yao kubwa ni NGADA!! Hayo makanisa huko Mbezi beach ni ya kutakatishia fedha!!
South africa wanawatimua sana wakisha jaa mtashindwa kuwadhibiti,kwa kifupi west Afican wengi ni matapeli
 
Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.

Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.

Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi mwezi mmoja nyuma ambako waNigeria walinunua chupa 100 za champagne aina ya Moet na kugawia watu hovyo.

Bei ya Moet ni 250,000/= Hawa vijana wa Nigeria inabidi wachunguzwe maana sasa hivi wanaenda mbali na kujificha kwenye kujifanya wameoa dada zetu wa kiTanzania.

Lingine ni kuhusu hawa raia wa kigeni wanaopewa Business visa wakati wanafanya kazi ambazo wazawa pia wanaweza kufanya. Hili pia kwakweli tunawaomba muliangalie kwa umakini sana.
Watanzania ujamaa umewalemaza saana,mlaumuni nyerere aisee,mnalia hakuna ajira halafu mnakomaa nchini kwenu licha ya mateso mnayolia kila siku mnayapata kutoka kwenye serikali zenu!
Dunia ya sasa haina mipaka watu wanasambaa nchi mbalimbali kusaka fursa,mkiona wamejazana kwenu na nyie nendeni kwao!!wanajeria wanakaribia milion 400 sasa,unategemea watajazana lwenye kanchi kao pale?? Waache waje kwa wazembewazembe kama huku wakamatie fursa,nyie endeleen kulala mnaenda kidmbwi kugongea moet!
 
Back
Top Bottom