Uhamiaji Tanzania badilikeni

Uhamiaji Tanzania badilikeni

Hii dunia haiwezi kuwa fair hata siku moja, kuna mambo ni lazima yapelekwe kibabe ili kubalance nature.
 
Hafu nikatoa ya ku brashia kiatu within three Days nikaipata
Mimi naitaka ile ndogo kwanza , nataka niende mwezi ujao sasa sina cheti cha kuzaliwa, sasa nawaza maswali pamoja na hela kuni apply 😂😂😂😂😂😂
 
Hafu nikatoa ya ku brashia kiatu within three Days nikaipata
Mimi naitaka ile ndogo kwanza , nataka niende mwezi ujao sasa sina cheti cha kuzaliwa, sasa nawaza maswali pamoja na hela kuni apply 😂😂😂😂😂😂
 
Kweli mtu una deal lakwenda kupiga box alafu unaona taabu kumchana ka fifty - officer, ebu achenii ubahili banaa!,, zama mfukoni kila kitu kinakuwa tawireee hakuna mkate mgumu mbele ya chai ………...
 
Nililipa ikakubali kabisa na ikaingia serikalini kabisa cha kushangaa ikawa inagoma. In short waliniibia hela yangu ya form wakati mwenyewe hutumia internet na laptop yangu kufanya mengi
pole sana
 
Ni ushamba na roho mbaya ndio vinawasumbua uhamiaji, wanaona kama utafaidi sana ukienda nje. Kitu kingine nilichogundua wengi wao hawana exposure bado Wana fikra za kizamani kwamba ukienda nje ya nchi utateswa. Badilikeni uhamiaji.
 
Hiyo taasisi ya uhamiaji ni ya kijinga sana, washamba, roho mbaya na wivu umewajaa. Umasikini utakua kwa kasi tz kwasababu ya hii taasisi inaendeshwa kishamba. Hawajui kuwa passport sio viza.
All in all watoto wa mabosi na wenye connection wanapata kilaini passport. Kama huna connection pale kurasini, wewe toa pesa ya rushwa upate passport mengine achana nayo hii bongo.
 
Nashindwa kuelewa kwanini watu wanalalamika kuhusu ugumu wa kupata passport!?jamani si tumekubaliana passport ni Laki 3, yaani Laki na nusu ni ya serikali na laki na nusu ni yakubrashia viatu!tatizo mnatafuta amani kwenye uwanja wa vita!passport unaweza kupewa siku hiyo hiyo inategemea tu upo serious kiasi gani! Hakunaga mteremko kwenye mambo serious!
[emoji3][emoji3][emoji3] umeona usizunguke mbuyu sio?
 
Jamani hayo malalamiko mbona sijawahi kukutana nayo ? Nimewahi kufuatilia mambo ya passport mara mbili (mara ya pili ilikua nikubadilisha ile ya zamani ) ndani ya wiki mbili tu nimepata passport yangu …nnaamini wengi wa wanaolalamika hawajatimiza vigezo vya kupata passport thus y uhamiaji wanahitaji uthibitisho.
 
Jamani hayo malalamiko mbona sijawahi kukutana nayo ? Nimewahi kufuatilia mambo ya passport mara mbili (mara ya pili ilikua nikubadilisha ile ya zamani ) ndani ya wiki mbili tu nimepata passport yangu …nnaamini wengi wa wanaolalamika hawajatimiza vigezo vya kupata passport thus y uhamiaji wanahitaji uthibitisho.
vigezo vipi ambavyo hawajatimiza hivyo vya uthibitisho wa safari? kwani wao ni maafisa ubalozi.Uthibitisho wa safari hutakiwa ubalozini unakoenda kuomba Visa sio swali la kuulizwa na afisa uhamiaji hilo.Yeye akupe passport ya uthibitisho wa safari aachie ubalozi husika.Nchi za wenzetu nyingi huombwi uthibitisho WA SAFARI

Mfano mtu anataka kwenda zake Africa kusini kutafuta maisha na kuangalia kama kuna fursa unataka akupe uthibitisho upi? Fursa huwa inakuandikia barua ya mwaliko kuwa njoo? Wapelekee uhamiaji hiyo barua?
 
Utaulizwa sana maana makosa ya Usafirishaji haramu wa binadamu ,Ugaidi, Utakatishaji wa pesa,Armed Robbery, Yanaanzia huko kwa kujifanya unapeleka watu sehemu salama kumbe unakwenda kufunza ugaidi na mbinu mbalimbali za Uhalifu .Pongezi kubwa kwa Idara ya Uhamiaji kwa kazi nzuri ya kulinda Nchi.
nchi zinazoongoza kwa kufanyiwa ugaidi kama marekani na kenya na Nigeria zingekuwa hizo ndizo zingekuwa ngumu kutoa passport kwa raia wao lakini ndizo zisizo na masharti magumu kuweka mazingira magumu Tanzania ni ili rushwa iendeleee tu hakuna la ziada
 
Inashtua, lakini inaelekea ndio ukweli, kwamba Watanzania wengi walio nje ya mfumo wa utoaji maamuzi UHAMIAJI wana uelewa mkubwa sana kuzidi watumishi wengi wa UHAMIAJI.
 
Back
Top Bottom