OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hii dunia haiwezi kuwa fair hata siku moja, kuna mambo ni lazima yapelekwe kibabe ili kubalance nature.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naitaka ile ndogo kwanza , nataka niende mwezi ujao sasa sina cheti cha kuzaliwa, sasa nawaza maswali pamoja na hela kuni apply 😂😂😂😂😂😂Hafu nikatoa ya ku brashia kiatu within three Days nikaipata
Mimi naitaka ile ndogo kwanza , nataka niende mwezi ujao sasa sina cheti cha kuzaliwa, sasa nawaza maswali pamoja na hela kuni apply 😂😂😂😂😂😂Hafu nikatoa ya ku brashia kiatu within three Days nikaipata
Sasa mkuu affidavit haiwezi replace hii kitu? , maana kitambulisho cha nida ninachoTafuta birth certificate kwanza.
Na kwa hz tozo mkuu we pambana tu na u tu wakilishe vyema huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hapa kuchakatwa masilahi duni kabisa kwa mbususu aisee
Mkuu cariha hebu ni pm namba ya huo jamaa aliye kujazia form za uhamiaji 👍Hafu nikatoa ya ku brashia kiatu within three Days nikaipata
pole sanaNililipa ikakubali kabisa na ikaingia serikalini kabisa cha kushangaa ikawa inagoma. In short waliniibia hela yangu ya form wakati mwenyewe hutumia internet na laptop yangu kufanya mengi
Bora yapelekwe kibabe lakini sio kishambaHii dunia haiwezi kuwa fair hata siku moja, kuna mambo ni lazima yapelekwe kibabe ili kubalance nature.
Affidavit inatoshaSasa mkuu affidavit haiwezi replace hii kitu? , maana kitambulisho cha nida ninacho
[emoji3][emoji3][emoji3] umeona usizunguke mbuyu sio?Nashindwa kuelewa kwanini watu wanalalamika kuhusu ugumu wa kupata passport!?jamani si tumekubaliana passport ni Laki 3, yaani Laki na nusu ni ya serikali na laki na nusu ni yakubrashia viatu!tatizo mnatafuta amani kwenye uwanja wa vita!passport unaweza kupewa siku hiyo hiyo inategemea tu upo serious kiasi gani! Hakunaga mteremko kwenye mambo serious!
vigezo vipi ambavyo hawajatimiza hivyo vya uthibitisho wa safari? kwani wao ni maafisa ubalozi.Uthibitisho wa safari hutakiwa ubalozini unakoenda kuomba Visa sio swali la kuulizwa na afisa uhamiaji hilo.Yeye akupe passport ya uthibitisho wa safari aachie ubalozi husika.Nchi za wenzetu nyingi huombwi uthibitisho WA SAFARIJamani hayo malalamiko mbona sijawahi kukutana nayo ? Nimewahi kufuatilia mambo ya passport mara mbili (mara ya pili ilikua nikubadilisha ile ya zamani ) ndani ya wiki mbili tu nimepata passport yangu …nnaamini wengi wa wanaolalamika hawajatimiza vigezo vya kupata passport thus y uhamiaji wanahitaji uthibitisho.
nchi zinazoongoza kwa kufanyiwa ugaidi kama marekani na kenya na Nigeria zingekuwa hizo ndizo zingekuwa ngumu kutoa passport kwa raia wao lakini ndizo zisizo na masharti magumu kuweka mazingira magumu Tanzania ni ili rushwa iendeleee tu hakuna la ziadaUtaulizwa sana maana makosa ya Usafirishaji haramu wa binadamu ,Ugaidi, Utakatishaji wa pesa,Armed Robbery, Yanaanzia huko kwa kujifanya unapeleka watu sehemu salama kumbe unakwenda kufunza ugaidi na mbinu mbalimbali za Uhalifu .Pongezi kubwa kwa Idara ya Uhamiaji kwa kazi nzuri ya kulinda Nchi.
Kabisa hawa ndo maana nawakimbia hawaMsipobadilika umaskini utaendelea kutamalaki nchini.