Upo sahihi sana.Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu๐๐๐๐
Wengine tuwasamehe tu kwakuwa hawajitambui.Acha stereotyping mkuu
Kuna watu hata kusaidiwa mawazo angalau mjitambue kidogo tu inashindikana kwa 'mawazo tupu' kama haya.kwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapungukiwa na nini? Kwani unampa bure?
tanzania pekee ndo tunaona passport NI MALI.nchi nyingi haya mambo hayapo.
wengi kwenye decision making wana dosari
CCM na uchaguzi vinaingiaje hapa?Nyie endeleeni kuichagua CCM tuu, na msilalamike
Jiki kitu ndicho kinaitwa kufanya kazi kama robot kwa mazoea ohhh miaka yote sisi huwa tunafanya hivi hivi!!!! AKILI INAKUWA ROBOT NA UTENDAJI KAZI WA KIROBOTIMshangae huyo alielitoa hilo tamko sasa ila utaratibu unalazimisha iwepo sababu ya safari miaka yote sio leo wala jana.
Hicho si kigezo cha kuwasumbua watu kupata passport kwani wahalifu wapo kila Nchi na hakuna usumbufu wa kutoa passport kama Tanzania, Watoe passport kwa usumbufu bado wahalifu wapo na hawatakwisha kwani wanazidi kuzaliwa kila siku , Uhamiaji waache visingizio visivyo na mashiko kuwanyima watanzania passport matokeo yake ni kuinyoma Serikali mapato
Hapo kwenye Haki,-Hakuna Haki isiyofuata utaratibu.
Utaratibu ni huo sio kwamba inaanza sasa miaka yote ipo hivyo.
Wakijua una safari ya muhimu au haraka lazima wakusumbue ili utoe posho kidogoPassport ni tshs 150,000 bado wanasumbua je? Passport ingekuwa bure si wangekuwa na mashariti magumu kama kuomba Viza USA na UK
Kuna watu hata kusaidiwa mawazo angalau mjitambue kidogo tu inashindikana kwa 'mawazo tupu' kama haya.
Passport ya wapi ndio Mali ya Mtu mfano tuanzie hapo?
Taja tu Nchi nikuumbue.
Mnakariri kwa kukurupuka.
Hili naunga mkono.Pia kukomesha rushwa TAKUKURU iingilie kati hili.Wanalifuga ili waendelee kula rushwa.Unaenda wapi lete uthibitisho wa safari ndio sehemu kitengo cha passport hula rushwa,Kikiondolewa Rushwa kitengo cha passport inafunga viragoHuu ujinga wa Uhamiaji ndiyo huchangia wananchi kuzidi kuichukia Serikali ya awamu ya tano
Linani hiloohalina akili halijasoma shulee
Kitengo cha passport ni wahujumu uchumi kifumuliwe chote wawekwe wengineKwanza kipindi hiki cha corona Safari zimepungua sana walipaswa wahimize watu kwenda kuchukua passport kwa wingi mno
Uongo mtupu vigezo vya kupata passport USA ni hivi hapaDhumuni la safari ni world standard ya passport application, even USA wanatumia the same, hata ukiomba visa lazima ueleze unaenda kufanya nn?
Kuongozwa na mwanamke sio swala kabisaaaa kwenye fomu ya maombi kuna sehemu ya dhumuni la safari ambalo unaweza kujaza masomo ,biashara, matibabu etc. sio kitu kigeni kwahiyo Mama Anna Makakala aka single lady mnamuonea kabisaaaa mama wa watu na macho yake yale . point yako imekaa kimfumo dume zaidi.Idara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai