Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Sasa hapa kipi kipya? mbona huu ni utaratibu wa siku zote? kilichoongezeka labda ni hiyo ada ya laki tano,na hiyo imewekwa makusudi ili tukumbuke kutunza pasi zetu, watu wa Ufipa acheni ushabiki wa kitoto,sio kila inachokifanya serikali ni kibaya,hamia Ubelgiji kaka kama unaona ikisu kikafu,kila siku ni kuloloma tu oh serikali imefanya hivi,oh serikali inafanya vile kwa mlengo wa kuleta chuki na taharuki isiyo na maana,nendeni vijijini mkatangaze sera
Hii si Ulaya kaka,halafu mualiko gani wa wiki mbili?hata ubalozini huwezi kuomba maombi ya viza kwa huo muda unaosema,ukiwa na safari angalau anza process mwezi kabla ya safari,sio sababu Ulaya wanafanya hivyo basi na sisi kama misukule tuwafuate ,mwishowe utasema mbona Ulaya mwanaume anamuoa mwanamume mwenzake au ,Ulaya mbona kuvaa bikini au vichupi ni kitu cha kawaida basi na sisi tuvae vichupi hadharani
Umepinga kwa sababu za kitoto kabisaHiyo ni false story kwa sababu nyingi tu lakini moja kama chizi aliweza kupata Passport na nauli kwenda Ulaya ndugu wenye akili timamu walishindwa nini, pili Wazungu hawaziki kwa sababu Ardhi ni ghali sana kwa hiyo ni rahisi kuchoma maiti na ndugu wakapewa majivu kwenye kopo.
Umejichanganya sana ! kila jambo ni lazima lihojiwe sababu yake nini , kwa mfano tukikufichulia kwamba mpango huu wa Uhamiaji umelenga kudhibiti wale wenye mipango ya kuondoka nchini baada ya kutishiwa maisha utabisha ?
Bureaucracy[emoji6][emoji6] sheria na taratibu za nchi [emoji111][emoji106]
Huu ulinganifu sio sahihi. Vifaa vya vita havigaiwi kwa kila mwananchi au kila askari, vinahidhiwa na idara maalum za serikali hadi vitakapohitajika..... the same to passport, itakapohtajika ndio hiyo idara ya serikali watakapokupatia.
Vaccinations zinatolewa sababu imethibitika ugonjwa upo sasa wewe unataka passport bila hata safari kufikirika?
kwa njia za panya labda
Naibu waziri amewaambia uhamiaji waache kusumbua wananchi.
Na wananchi wahakikishe wana vielelezo vyote muhimu- kitambulisho cha taifa, barua ya m/kiti wa serikali ya mtaa, cheti cha kuzaliwa na affidavit ya mmoja wa wazazi.
Hilo la sababu ya safari liondolewe.
Wewe itakuwa huna hiyo nyaraka na hujawahi kukaribianana na yeyeyote aliewahi hata kufikiria kuwa nayo.
Mshangae huyo alielitoa hilo tamko sasa ila utaratibu unalazimisha iwepo sababu ya safari miaka yote sio leo wala jana.
Upo sahihi sana.
Unatakiwa uwe na uthibitisho wa huo mpango sasa,
Na siku hizi wanatoa macho kwelikweli hao mabwana.
Kuna watu hata kusaidiwa mawazo angalau mjitambue kidogo tu inashindikana kwa 'mawazo tupu' kama haya.
Passport ya wapi ndio Mali ya Mtu mfano tuanzie hapo?
Taja tu Nchi nikuumbue.
Mnakariri kwa kukurupuka.