Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Sasa hapa kipi kipya? mbona huu ni utaratibu wa siku zote? kilichoongezeka labda ni hiyo ada ya laki tano,na hiyo imewekwa makusudi ili tukumbuke kutunza pasi zetu, watu wa Ufipa acheni ushabiki wa kitoto,sio kila inachokifanya serikali ni kibaya,hamia Ubelgiji kaka kama unaona ikisu kikafu,kila siku ni kuloloma tu oh serikali imefanya hivi,oh serikali inafanya vile kwa mlengo wa kuleta chuki na taharuki isiyo na maana,nendeni vijijini mkatangaze sera

Utoto ni kudhani evebody against you ni wa Ufipa!

On a serious note; Passport kama ilivyo kitambulisho cha NIDA ni haki ya kila mtanzania, well kuhusu matumizi ni kazi ya watunza usalama!
 
Hii si Ulaya kaka,halafu mualiko gani wa wiki mbili?hata ubalozini huwezi kuomba maombi ya viza kwa huo muda unaosema,ukiwa na safari angalau anza process mwezi kabla ya safari,sio sababu Ulaya wanafanya hivyo basi na sisi kama misukule tuwafuate ,mwishowe utasema mbona Ulaya mwanaume anamuoa mwanamume mwenzake au ,Ulaya mbona kuvaa bikini au vichupi ni kitu cha kawaida basi na sisi tuvae vichupi hadharani

Out of context! Almost pathetic!
 
Hii sio taarifa mpya. Ipo hivyo tangu miaka hiyo. Mi binafsi passport ya kwanza nilipata kipindi cha Rais mkapa awamu ya mwisho. Ilikuwa lazima useme unataka kusafiri wapi.

Ingefaa muulize hakuwezi kukosa mwanauhamiaji JF nzima. Nchi nyingi wameabuse sana passports. Tusiwage tunabisha tu. Safari ya nje ina utaratibu wa muda mrefu huwezi kukurupuka tu na hawanyimi mtu passport so kigezo cha kusoma Sijui nk. Sio issue. Tuwape benefit of doubt.
 
Hiyo ni false story kwa sababu nyingi tu lakini moja kama chizi aliweza kupata Passport na nauli kwenda Ulaya ndugu wenye akili timamu walishindwa nini, pili Wazungu hawaziki kwa sababu Ardhi ni ghali sana kwa hiyo ni rahisi kuchoma maiti na ndugu wakapewa majivu kwenye kopo.
Umepinga kwa sababu za kitoto kabisa
 
Umejichanganya sana ! kila jambo ni lazima lihojiwe sababu yake nini , kwa mfano tukikufichulia kwamba mpango huu wa Uhamiaji umelenga kudhibiti wale wenye mipango ya kuondoka nchini baada ya kutishiwa maisha utabisha ?

Statement too political!
 
Nafikiri nimesema hivyo kuwa kupeleka tangazo tu la lottery hawakuelewi kabisa ila ukichanguliwa hapo utawapelekea nyaraka hizo.
Pia kwa mwaka huu masharti ya lottery yamebadilika kabisa, muombaji lazima awe na passport bila hivyo hiyo entry yako haitapokelewa kabisa.
 
Kwa kusoma ulichokiandika hapa, nimekufahamu kuwa zoezi lote hili limeanzishwa kwa sababu za uchoyo, kuzuia watu wasiweze kwenda nchi za nje. Ni kwa sababu hizo hizo za uchoyo ndio zinazowafanya kuamini kuwa kila anaetaka passport ndio anataka kwenda ulaya, sio kwengine kokote kule ULAYA tu, na hampendi watu waende ulaya. Sawa!
 
Huu ulinganifu sio sahihi. Vifaa vya vita havigaiwi kwa kila mwananchi au kila askari, vinahidhiwa na idara maalum za serikali hadi vitakapohitajika..... the same to passport, itakapohtajika ndio hiyo idara ya serikali watakapokupatia.

Vaccinations zinatolewa sababu imethibitika ugonjwa upo sasa wewe unataka passport bila hata safari kufikirika?

Come again Mama D!!

If we only need a passport for travel issues which mostly are either emergencies or planned then I’m on the right track with war issues as their neither planned but only emergency!

Njoo tena!
 
Hii Idara (Uhamiaji)isije kuwa ndio adui namba moja wa Kijana wa Kitanzania ambaye ni mtafutaji beyond our borders
 
[QUOTE="Richard
Passport si haki bali ni upendeleo au "privilege" ambapo hutolewa kulingana na uthibitisho wa vigezo vya mwombaji hata kama wailipia.
.[/QUOTE]


Chief, unasema tu ama unamaanisha?!?


Too low and too pathetic!
 
Naibu waziri amewaambia uhamiaji waache kusumbua wananchi.

Na wananchi wahakikishe wana vielelezo vyote muhimu- kitambulisho cha taifa, barua ya m/kiti wa serikali ya mtaa, cheti cha kuzaliwa na affidavit ya mmoja wa wazazi.

Hilo la sababu ya safari liondolewe.


And now change in texture!

Tutafika Alhamdulilah ila with victims with no Victorians!
 
Ukiskia hoja zisizo na mashiko ndo hizi sasa, kwamba hati ya kusafiria unapewa kisha unaitumia only once (kwa sababu ulizowapa) then ukirudi unawarudishia? Aaaargh!

Haya tuseme nimewaambia naenda kutembea tu, mtakuwa huko ninakoenda kuthibitisha kuwa safari yangu ilikuwa ya matembezi peke yake? Vitu vingine havina hata maana hakika.
 
Mnachokifanya uhamiaji ya Tanzania ni sawa na kusema,
ukiwa huna uhakika wa kuwa na mpenzi nyumbani ni marufuku kuuziwa condom.

Kukaa na passport ndani ni sawa na kuwa na condom ,
Hujuwi muda na saa utapata mgeni.

Ikumbukwe kuwa passport ni haki ya kila mtanzania kuwa nayo.

Zipo safari za ghafla ambazo unapaswa kusafiri.
Ambazo hazihitaji kusubiri hata masaa..

Je utafanyaje?
 
Wewe itakuwa huna hiyo nyaraka na hujawahi kukaribianana na yeyeyote aliewahi hata kufikiria kuwa nayo.

Mshangae huyo alielitoa hilo tamko sasa ila utaratibu unalazimisha iwepo sababu ya safari miaka yote sio leo wala jana.


Kuwepo miaka yote does not justify its existence!

Passport kama ilivyo kitambulisho cha uraia cha NIDA is a mandatory to all citizens!
 
Upo sahihi sana.
Unatakiwa uwe na uthibitisho wa huo mpango sasa,
Na siku hizi wanatoa macho kwelikweli hao mabwana.


Kwani kazi yao hao idara ya uhamiaji ni kutunga sheria kandamizi ama kusimamia sheria za uhamiaji!?

If there’s people misusing the JMT passport sio kosa kwa raia kushindwa kupata passport bali ni jukumu Lao kuchuja mabua na mahindi!
 
Kuna watu hata kusaidiwa mawazo angalau mjitambue kidogo tu inashindikana kwa 'mawazo tupu' kama haya.

Passport ya wapi ndio Mali ya Mtu mfano tuanzie hapo?
Taja tu Nchi nikuumbue.

Mnakariri kwa kukurupuka.

Ushawahi kusikia kuhusu “global citizenship “?!?

Nakuacha na hiyo then tukutane tena!
 
Back
Top Bottom