Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Sasa hapa kipi kipya? mbona huu ni utaratibu wa siku zote? kilichoongezeka labda ni hiyo ada ya laki tano,na hiyo imewekwa makusudi ili tukumbuke kutunza pasi zetu, watu wa Ufipa acheni ushabiki wa kitoto,sio kila inachokifanya serikali ni kibaya,hamia Ubelgiji kaka kama unaona ikisu kikafu,kila siku ni kuloloma tu oh serikali imefanya hivi,oh serikali inafanya vile kwa mlengo wa kuleta chuki na taharuki isiyo na maana,nendeni vijijini mkatangaze sera
Utoto ni kudhani evebody against you ni wa Ufipa!
On a serious note; Passport kama ilivyo kitambulisho cha NIDA ni haki ya kila mtanzania, well kuhusu matumizi ni kazi ya watunza usalama!