KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hili suala litakosa weledi kwa kuwa litabebwa kisiasa na kishabiki badala ya hoja za msingi. Anyway, ngoja aje vijana wetu waneemeke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Haya siyo mawazo yangu haya ni mawazo ya wanetu wanaoishi nje na ambao kwa bahati mbaya waliukana Utanzania wakapata uraia wa nje na Sasa awawezi kuupata tena Utanzania.”Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na mrengo usioelewe.
Lakini nakumbuka Mara ya mwisho alikuwa raia wa Marekani na alipoondoka hapa alikwenda kuishi Marekani. Leo tunaambiwa karudi,well and good. Ila karudi Kama raia wa nchi gani?
Ni vyema Uhmiaji wakatoka adharani na kutuambia huyu Bwana ni Raia wa Tanzania, ni Raia wa Marekani au amepewa uraia pacha japo hakuna sheria inayompa uraia pacha kwa umri ule. Kukaa kimya kwa Uhamiaji, kukaa kimya kwa wizara ya mambo ya nje inayosimamia Ubalozi wetu wa Marekani ambao naamini wanahaki yakujua taarifa za uraia wa huyu mtu nikumfanya Mhe. Rais amwamini nakumshirikisha huyu Bwana akiamini ni Mtanzania kumbe sivyo.
Haya siyo mawazo yangu haya ni mawazo ya wanetu wanaoishi nje na ambao kwa bahati mbaya waliukana Utanzania wakapata uraia wa nje na Sasa awawezi kuupata tena Utanzania. Wanauliza Mbona Kuna tetesi kwamba Manji naye aliukataa Utanzania Kama Singo nakubaki na Umarekani, kwanini mitandao iandike yeye ni Mtanzania? Na Kama ana haki ya Utanzania mbona juzi Kati Mmarekani Mtanzania mwana Diaspora alipoteuliwa na Rais mitandao ikahoji inakuwaje Mmarekani anateuliwa na Rais, kwanini uteuzi wake ulifutwa japo kimya kimya?
Naamini kwa mwandiko wangu mchafu na ujinga wangu kwenye taaluma ya Uraia nimefungua mjadala kuwawezesha viongozi wetu kudemka na kucheza kwa kuzingatia due diligence kwa binadamu hawa wenye matatizo ya Uraia.
Uraia wetu ni zaidi ya fedha za mtu, ni zaidi ya rasilimali zetu hivyo tuitekenye sheria ya Uraia kwa ueledi itusaidie kuwadhibiti wasio Watanzania kujipa Utanzania wa muda.
Naamini tukiziba masikio nakuona potentiality ya Manji leo kuliko kuangalia Kwanza uraia wake tutafungua mjadala mkubwa huko mbeleni ambao utaligawa Taifa. Tujadiliane, tufunguane macho,tuelimishane na tumsaidie Rais na viongozi wengine kulitumikia Taifa kwa misingi Bora. Tusipowaambia tukaamini wanajua tutakua hatulitendei haki Taifa letu.
Uhamiaji tunawaomba mtoke adharani mseme ni raia au siyo raia. Msifanye Siri na msikubali kuambiwa na mwanasiasa nini mseme zingatieni sheria kumshauri mkuu wa nchi kwa lengo lakumwezesha afanye biashara,amtumie huyu mwekezaji na aruhusu taasisi nyingine kushiriakiana naye kwa hadhi sahihi ya Uraia siyo kwa adhi ya muda ambayo Samia akiondoka au kabla hajaondoka wanaweza kuibuka watu wakaiumbua serikali .
Nimechokonoa, endeleeni kutufunda
Majibu ya ushabiki na hisiaMtu kazaliwa Tanzania 🇹🇿 halafu leo unataka kumwita Mmarekani kwasababu ya kibali. Watanzania ni wajinga sana wakati mwingine utu wa mtu sio makaratasi yake. Kila Mtanzania anajijua popole alipo mimi nimekaa US miaka 20 lakini mpaka leo wanasema mimi ni Mtanzania hakuna mtu anaweza kunitaja bila kuhusisha na Utanzania wangu maana Utanzania ni utu sio makaratasi siku hizi ndiyo watu wanataka kubadilisha Utanzania kuwa vitabu na vibali. Mtu kazaliwa Tanzania ni Mtanzania awe na passport ni mambo ya sheria tu na yanabadilika kila siku lakini Manji ni Mtanzania na hakuna binadamu anaweza kubadilisha hilo passsport unapewa na watu lakini utaifa unapewa na Mungu
Hili ndio linashangaza kabisa! Mtu anaacha kuhoji bei ya mkate,sukari, unga, mshahara, anaanza kung'ang'ana na uraia wa Manji! UHAMIAJI si wapo? Nayakumbuka maneno ya Hayati Mkapa kwamba watanzania TUNA WIVU WA KIJINGA huenda hakukosea sanaHow does that concerns you? Ndo maana Tunabaki kuwa maskini’
Ajabu na amezaliwa hapohapo mbagalaDiwani wa CCM wa Mbagala Kuu unamhoji uraia wake?
Ni kweli Mkuu uko sahihi, ndio maana kwenye Mikataba ya Ujenzi wa Miundombinu yetu e.g barabara, reli, umeme n.k. Ikiwa miradi hiyo Financier wake ni AfDB, EU, WB n.k mara nyingi sheria mtakayokubaliana itumike ni ya FIDIC na ikiwa Financier wake ni GoT (Serikali ya Tanzania) sheria inayotumika ni ya PPRA.Hoja namba 4 haina mashiko kabisa.
Nafikiri wewe ni maamuma ktk sheria, suala la mtu kukopa ama kuchukua tenda ni la kimkataba na mara nyingi, mikataba inayohusisha shughuli hizo baina ya pande mbili, huwekwa vifungu maalumu ili kukidhi matakwa na mambo yote nyeti yanayoweza tokea kama hilo unalo hofia.
Mfano wa kifungu kinachowekwa kwenye mkataba ni choice of law clause, ambapo mkataba utasema sheria ipi itumike baina ya pande mbili za mkataba, maana yumkini pande hizo zina uraia tofauti, je mahakama ipi itumike ya nchi gani? ect. hapa
Hakuna namna ya kukimbia ama uraia wa kigeni si kichaka cha kuepuka wajibu wa kimkataba na wa kisheria sababu mkataba uliokidhi vigezo vya kisheria na kitaalam una vifungu vya kueleza yote hayo...
Inaonesha ni jinsi gani unapwaya kuchangia katika mada iliyo mezani, mtoa mada katoa hoja yenye maana sana, Kuna watanzania wengi sana kwa sababu mbalimbali wapo nje ya Tanzania wakiwa na uraia wa nchi nyingine lakn mioyo yao na hatima zao zipo Tanzania. Na wao wanatamani sana kuwekeza katika nchi yao mama lakini sheria inawabana, sasa wanapoona suala kama hili la Manji ni lazima na wao watahoji japo si kwa roho mbaya kama wengi wanavyofikiria humu.How does that concerns you? Ndo maana Tunabaki kuwa maskini’
Akili ndogo hizo, kwani mmarekani aruhusiwi kuja kuishi au kuwekeza Tanzania? Serikali ilishafeli kwa kutoruhusu uraia pacha.Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na mrengo usioelewe.
Lakini nakumbuka Mara ya mwisho alikuwa raia wa Marekani na alipoondoka hapa alikwenda kuishi Marekani. Leo tunaambiwa karudi,well and good. Ila karudi Kama raia wa nchi gani?
Ni vyema Uhmiaji wakatoka adharani na kutuambia huyu Bwana ni Raia wa Tanzania, ni Raia wa Marekani au amepewa uraia pacha japo hakuna sheria inayompa uraia pacha kwa umri ule. Kukaa kimya kwa Uhamiaji, kukaa kimya kwa wizara ya mambo ya nje inayosimamia Ubalozi wetu wa Marekani ambao naamini wanahaki yakujua taarifa za uraia wa huyu mtu nikumfanya Mhe. Rais amwamini nakumshirikisha huyu Bwana akiamini ni Mtanzania kumbe sivyo.
Haya siyo mawazo yangu haya ni mawazo ya wanetu wanaoishi nje na ambao kwa bahati mbaya waliukana Utanzania wakapata uraia wa nje na Sasa awawezi kuupata tena Utanzania. Wanauliza Mbona Kuna tetesi kwamba Manji naye aliukataa Utanzania Kama Singo nakubaki na Umarekani, kwanini mitandao iandike yeye ni Mtanzania? Na Kama ana haki ya Utanzania mbona juzi Kati Mmarekani Mtanzania mwana Diaspora alipoteuliwa na Rais mitandao ikahoji inakuwaje Mmarekani anateuliwa na Rais, kwanini uteuzi wake ulifutwa japo kimya kimya?
Naamini kwa mwandiko wangu mchafu na ujinga wangu kwenye taaluma ya Uraia nimefungua mjadala kuwawezesha viongozi wetu kudemka na kucheza kwa kuzingatia due diligence kwa binadamu hawa wenye matatizo ya Uraia.
Uraia wetu ni zaidi ya fedha za mtu, ni zaidi ya rasilimali zetu hivyo tuitekenye sheria ya Uraia kwa ueledi itusaidie kuwadhibiti wasio Watanzania kujipa Utanzania wa muda.
Naamini tukiziba masikio nakuona potentiality ya Manji leo kuliko kuangalia Kwanza uraia wake tutafungua mjadala mkubwa huko mbeleni ambao utaligawa Taifa. Tujadiliane, tufunguane macho,tuelimishane na tumsaidie Rais na viongozi wengine kulitumikia Taifa kwa misingi Bora. Tusipowaambia tukaamini wanajua tutakua hatulitendei haki Taifa letu.
Uhamiaji tunawaomba mtoke adharani mseme ni raia au siyo raia. Msifanye Siri na msikubali kuambiwa na mwanasiasa nini mseme zingatieni sheria kumshauri mkuu wa nchi kwa lengo lakumwezesha afanye biashara,amtumie huyu mwekezaji na aruhusu taasisi nyingine kushiriakiana naye kwa hadhi sahihi ya Uraia siyo kwa adhi ya muda ambayo Samia akiondoka au kabla hajaondoka wanaweza kuibuka watu wakaiumbua serikali .
Nimechokonoa, endeleeni kutufunda
Ni sheria ipi inawabana hao watanzania waliopo nje wanaotanani kuwekeza Tz??Inaonesha ni jinsi gani unapwaya kuchangia katika mada iliyo mezani, mtoa mada katoa hoja yenye maana sana, Kuna watanzania wengi sana kwa sababu mbalimbali wapo nje ya Tanzania wakiwa na uraia wa nchi nyingine lakn mioyo yao na hatima zao zipo Tanzania. Na wao wanatamani sana kuwekeza katika nchi yao mama lakini sheria inawabana, sasa wanapoona suala kama hili la Manji ni lazima na wao watahoji japo si kwa roho mbaya kama wengi wanavyofikiria humu.
Anasemwa kuwa raia wa nchi gani mkuuDiwani wa CCM wa Mbagala Kuu unamhoji uraia wake?
acha UBAGUZI, wasukuma inawauma nini?Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na mrengo usioelewe.
Lakini nakumbuka Mara ya mwisho alikuwa raia wa Marekani na alipoondoka hapa alikwenda kuishi Marekani. Leo tunaambiwa karudi,well and good. Ila karudi Kama raia wa nchi gani?
Ni vyema Uhmiaji wakatoka adharani na kutuambia huyu Bwana ni Raia wa Tanzania, ni Raia wa Marekani au amepewa uraia pacha japo hakuna sheria inayompa uraia pacha kwa umri ule. Kukaa kimya kwa Uhamiaji, kukaa kimya kwa wizara ya mambo ya nje inayosimamia Ubalozi wetu wa Marekani ambao naamini wanahaki yakujua taarifa za uraia wa huyu mtu nikumfanya Mhe. Rais amwamini nakumshirikisha huyu Bwana akiamini ni Mtanzania kumbe sivyo.
Haya siyo mawazo yangu haya ni mawazo ya wanetu wanaoishi nje na ambao kwa bahati mbaya waliukana Utanzania wakapata uraia wa nje na Sasa awawezi kuupata tena Utanzania. Wanauliza Mbona Kuna tetesi kwamba Manji naye aliukataa Utanzania Kama Singo nakubaki na Umarekani, kwanini mitandao iandike yeye ni Mtanzania? Na Kama ana haki ya Utanzania mbona juzi Kati Mmarekani Mtanzania mwana Diaspora alipoteuliwa na Rais mitandao ikahoji inakuwaje Mmarekani anateuliwa na Rais, kwanini uteuzi wake ulifutwa japo kimya kimya?
Naamini kwa mwandiko wangu mchafu na ujinga wangu kwenye taaluma ya Uraia nimefungua mjadala kuwawezesha viongozi wetu kudemka na kucheza kwa kuzingatia due diligence kwa binadamu hawa wenye matatizo ya Uraia.
Uraia wetu ni zaidi ya fedha za mtu, ni zaidi ya rasilimali zetu hivyo tuitekenye sheria ya Uraia kwa ueledi itusaidie kuwadhibiti wasio Watanzania kujipa Utanzania wa muda.
Naamini tukiziba masikio nakuona potentiality ya Manji leo kuliko kuangalia Kwanza uraia wake tutafungua mjadala mkubwa huko mbeleni ambao utaligawa Taifa. Tujadiliane, tufunguane macho,tuelimishane na tumsaidie Rais na viongozi wengine kulitumikia Taifa kwa misingi Bora. Tusipowaambia tukaamini wanajua tutakua hatulitendei haki Taifa letu.
Uhamiaji tunawaomba mtoke adharani mseme ni raia au siyo raia. Msifanye Siri na msikubali kuambiwa na mwanasiasa nini mseme zingatieni sheria kumshauri mkuu wa nchi kwa lengo lakumwezesha afanye biashara,amtumie huyu mwekezaji na aruhusu taasisi nyingine kushiriakiana naye kwa hadhi sahihi ya Uraia siyo kwa adhi ya muda ambayo Samia akiondoka au kabla hajaondoka wanaweza kuibuka watu wakaiumbua serikali.
Nimechokonoa, endeleeni kutufunda.
Diwani wa CCM mbagala ni M-malawiAnasemwa kuwa raia wa nchi gani mkuu
Inaonesha ni jinsi gani unapwaya kuchangia katika mada iliyo mezani, mtoa mada katoa hoja yenye maana sana, Kuna watanzania wengi sana kwa sababu mbalimbali wapo nje ya Tanzania wakiwa na uraia wa nchi nyingine lakn mioyo yao na hatima zao zipo Tanzania. Na wao wanatamani sana kuwekeza katika nchi yao mama lakini sheria inawabana, sasa wanapoona suala kama hili la Manji ni lazima na wao watahoji japo si kwa roho mbaya kama wengi wanavyofikiria humu.
You are so genious,Sina mda aisee wa kujadili hii kitu! It has zero impact kwenye maisha yangu na hata ya watu wengine!
Kama Manji Sio raia wa Tanzania bado ana haki ya kuja Tanzania Kama mgeni, how does that concerns me?