Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

“Haya siyo mawazo yangu haya ni mawazo ya wanetu wanaoishi nje na ambao kwa bahati mbaya waliukana Utanzania wakapata uraia wa nje na Sasa awawezi kuupata tena Utanzania.”

Mkuu, kwa uelewa wangu kuukana uraia haimaanishi hutarudi tena kuomba uraia. Yaani kuukana uraia wa Tanzania 🇹🇿 haimaanishi badae ukitaka kuomba utazuiwa kisa ulikana
 
Majibu ya ushabiki na hisia
 
How does that concerns you? Ndo maana Tunabaki kuwa maskini’
Hili ndio linashangaza kabisa! Mtu anaacha kuhoji bei ya mkate,sukari, unga, mshahara, anaanza kung'ang'ana na uraia wa Manji! UHAMIAJI si wapo? Nayakumbuka maneno ya Hayati Mkapa kwamba watanzania TUNA WIVU WA KIJINGA huenda hakukosea sana
 
Rais aliposema anarudi kwani hajui ni raia wa nchi gani.

Uraia wa manji unawatesa watanzania ambao wanapata ajira kwenye makampuni yake.

Huku wapo waliouza korosho huu mwaka wa tatu hawajalipwa na tumaini la malipo limekufa.

Wivu na roho mbaya ndo unatunaturudisha nyuma kimaendeleo.
 
Ni kweli Mkuu uko sahihi, ndio maana kwenye Mikataba ya Ujenzi wa Miundombinu yetu e.g barabara, reli, umeme n.k. Ikiwa miradi hiyo Financier wake ni AfDB, EU, WB n.k mara nyingi sheria mtakayokubaliana itumike ni ya FIDIC na ikiwa Financier wake ni GoT (Serikali ya Tanzania) sheria inayotumika ni ya PPRA.
 
How does that concerns you? Ndo maana Tunabaki kuwa maskini’
Inaonesha ni jinsi gani unapwaya kuchangia katika mada iliyo mezani, mtoa mada katoa hoja yenye maana sana, Kuna watanzania wengi sana kwa sababu mbalimbali wapo nje ya Tanzania wakiwa na uraia wa nchi nyingine lakn mioyo yao na hatima zao zipo Tanzania. Na wao wanatamani sana kuwekeza katika nchi yao mama lakini sheria inawabana, sasa wanapoona suala kama hili la Manji ni lazima na wao watahoji japo si kwa roho mbaya kama wengi wanavyofikiria humu.
 
Akili ndogo hizo, kwani mmarekani aruhusiwi kuja kuishi au kuwekeza Tanzania? Serikali ilishafeli kwa kutoruhusu uraia pacha.
 
Ni sheria ipi inawabana hao watanzania waliopo nje wanaotanani kuwekeza Tz??

Uraia si kigezo cha kushindwa kuwekeza nchini kwa mtu yoyote na wala hakuna sheria inayonyima mtu kuwekeza, isipokuwa masharti ya uwekezaji kisheria hutofautiana kati ya mzawa na mgeni.

Yatosha kusema nawe wapwaya ktk hoja...
 
nje ya mada nina swali,kuna nchi naskia ukiwa na pesa ndefu au makampuni makubwa ya uwekezaji watakushawishi mpaka ukubali kuchukua uraia wao na kuna nchi wanachukia wawekezaji na matajiri na ikiwezekana kuwafukuza na kuwajengea chuki raia wake wawachukie lipi taifa bora hapo
 
acha UBAGUZI, wasukuma inawauma nini?
 

Sina mda aisee wa kujadili hii kitu! It has zero impact kwenye maisha yangu na hata ya watu wengine!

Kama Manji Sio raia wa Tanzania bado ana haki ya kuja Tanzania Kama mgeni, how does that concerns me?
 
Sina mda aisee wa kujadili hii kitu! It has zero impact kwenye maisha yangu na hata ya watu wengine!

Kama Manji Sio raia wa Tanzania bado ana haki ya kuja Tanzania Kama mgeni, how does that concerns me?
You are so genious,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…