Mbona wanaoleta complications hapa nchini hasa kwenye maofisi ya umma ndio hao hao ambao wamewahi kukaa nje ya nchi, au exposure ipi inahitajika kubadilika mentality za hawa watu ?
9.ExtravaganceHii nchi yetu inasumbuliwa na mambo mengi sana, machache yakiwemo.
1. Backwardness
2. Primitivity
3. Ignorance
4. Laziness
5. Negligence
6. Indolency
7. Short-sighted
Tunza passport yako, hatuitaki. Sisi twataka National IDHakuna kitu. Duniani pote utambulisho namba moja unaotumika ni passport , si hiki kidude cha nida . Hata mimi nimewahi kupata matatizo kama haya mara mbili.
Kinachoisumbua Tanganyika ni mentality za ki communist. Hakuna kingine
... unakataa kitambulisho kinachotambulika duniani kote, unadai kikaratasi hata Chumbe kuingia Unguja hakitambuliki. Upumbavu.Tunza passport yako, hatuitaki. Sisi twataka National ID
Passport ni ya kusafiria, sio kitambulisho, punguzeni kujibu umuhimu usio na maana... unakataa kitambulisho kinachotambulika duniani kote, unadai kikaratasi hata Chumbe kuingia Unguja hakitambuliki. Upumbavu.
Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA tu.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
Mkuu tuwe seriously, na mambo ya msingi.Nadhani ulitaka kujimwambafai ili watu wajue una passport, ndiyo maana wameamua kukupotezea huko! Kwani kitambulisho cha NIDA ulipeleka wapi?
... for identification purposes ni nini hakipo kwenye passport?Passport ni ya kusafiria, sio kitambulisho, punguzeni kujibu umuhimu usio na maana
Kwanza kuipata unaambiwa lete barua ya muariko wa unakotaka kwenda hapo palipo na shida kumbe huwezi kuipata bila sababu ya kutoka nje
Postalcode haipo, ambayo inakutambulisha zaidi makazi yako... for identification purposes ni nini hakipo kwenye passport?
Ogopa umkute mtu kama huyu sasa huko uhamiaji, utajuta!Ni suala la kisheria zaidi
Huwezi pata Passport bila NIDAPassport ni ya kusafiria, sio kitambulisho, punguzeni kujibu umuhimu usio na maana
Postal code ya Tanzania inakutambulisha na nini?Postalcode haipo, ambayo inakutambulisha zaidi makazi yako
Add.Hii nchi yetu inasumbuliwa na mambo mengi sana, machache yakiwemo.
1. Backwardness
2. Primitivity
3. Ignorance
4. Laziness
5. Negligence
6. Indolency
7. Short-sighted
8. Embezzlement
9. Miappropriation
My take on this:Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA tu.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
kwani NIDA inakuwa verified vipi?My take on this:
Whether government or private sector, they don't have the means or equipment to verify authenticity of the said passport, apart from Immigration officers at airports and others places of entry in the country.
Immediate transformation is needed!
What they need to ask themselves, what is a passport?