Ni sawa lakini kwenye hili kapotoka sana,kuonekana kuwa kazi bure kabisa na pengine kuleta matabaka kwa wananchi walio wengi,watoe ajira wapeleke watu kule kuliko na upungufu na mtu akitimiza masharti ya kuhama aruhusiwe siyo kumzuia au la sivyo watoe waraka mwingne kuwa mtumishi harusuwi kuhama pindi anapoajiliwa mbona zamani watu walihama na hapakuwa na haya makandokando ya enzi hizi.
Mtumishi katimiza matakwa ya kuhama kituo tena wengi wanajiombea wawahamishe wakaishi na waume/wake zao kama walivyo wao hadi wanasafiri na waume/wake zao mchana kutwa,je huyu mtumishi wa chini anakosa nini yeye hadi mme akae Mtwara na mke yuko Kagera miaka nenda rudi hii sawa!?