Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Kati ya Uongozi wa Edwin Mtei, Bob Makani na Freeman Mbowe ni Mwenyekiti yupi aliyeipa mafanikio Chadema?Kuna chawa ndani ya chama wanawajaza hofu wenzao kuwa mbowe akiachia uongozi chama kitanunuliwa na ccm.
Wanataka tuamini kuwa hakuna mwenye uwezo kuongoza, isipokuwa mbowe.
Wanasahau kuwa naye ni mwanadamu, na wakati wake ukifika ataondoka duniani.
Basi endelee kukaa huko huko kwa matapeli na wababaishaji
Sasa hivi ninaungana nawe katika hili.
Ni wakati mwafaka kabisa.
Kuna chawa ndani ya chama wanawajaza hofu wenzao kuwa mbowe akiachia uongozi chama kitanunuliwa na ccm.
Wanataka tuamini kuwa hakuna mwenye uwezo kuongoza, isipokuwa mbowe.
Wanasahau kuwa naye ni mwanadamu, na wakati wake ukifika ataondoka duniani.
Kati ya Uongozi wa Edwin Mtei, Bob Makani na Freeman Mbowe ni Mwenyekiti yupi aliyeipa mafanikio Chadema?
MboweKati ya Uongozi wa Edwin Mtei, Bob Makani na Freeman Mbowe ni Mwenyekiti yupi aliyeipa mafanikio Chadema?
Mawazo mazuri sana; bahati mbaya ukija na mawazo kama hayo ndani ya chama unaonekana msaliti. Utakuwa na bahati sana usipoundiwa zengwe la kufukuzwa uanachama.Mbowe alipaswa kukaa pembeni baada ya blunder ya Lowassa, au kama hakuona sawa kuachia baada ya kosa lile, basi hakupaswa tena kugombea uwenyekiti wa CDM uchaguzi uliopita.
Mawazo mazuri sana; bahati mbaya ukija na mawazo kama hayo ndani ya chama unaonekana msaliti. Utakuwa na bahati sana usipoundiwa zengwe la kufukuzwa uanachama.
Umeandika ukweli mtupuKatika dhana za kipuuzi ni hii ya kusema kiongozi fulani ndio nguzo ya chama. Matokeo yake ndio haya kiongozi anakaa madarakani zaidi ya miaka 10, hata yale mazuri yake yanaanza kuharibika.
Kwa utafiti wangu niliofanya ambao sio rasmi, kiongozi yoyote wa kuchaguliwa akikaa madarakani zaidi ya miaka 10, ubora wake huanza kupungua na mazuri yake hufifia. Mfano wa viongozi hao ni
Kiongozi kama Mandela amebaki bora na kuwa kiongozi mzuri kwani hakukaa madarakani mrefu. Mbowe alipaswa kukaa pembeni baada ya blunder ya Lowassa, au kama hakuona sawa kuachia baada ya kosa lile, basi hakupaswa tena kugombea uwenyekiti wa CDM uchaguzi uliopita. Mbowe alishafanya vizuri miaka yake 10 ya kwanza, alipoanza kukaa zaidi ya miaka 10, ndio anafikia huku ambapo anakosa ufanisi, na kuishia kuingia kwenye miafaka sijui maridhiano ya kihuni.
- Nyerere
- Moi
- Mugabe
- Gadaffi
- Paul Biya
- Museveni
- Albashir
- Saddam Hussein
Kama ni hivyo na kwa maana baada ya pale chadema ilikufa , kwanini mmezuia siasa za majukwaani ?2015 isingekuwa kupokea wale mamluki wa CCM chadema ingekuwa na nguvu kubwa sana katika siasa za Tanzania
Haikufa, na haìwezi kufa as long as wafuasi wasioweza kufikiri wanaongezeka kila siku.Kama ni hivyo na kwa maana baada ya pale chadema ilikufa , kwanini mmezuia siasa za majukwaani ?
ili wajifunze na kujipanga maana hawajui au wamesahau malengo yao kama chama cha siasa.Kama ni hivyo na kwa maana baada ya pale chadema ilikufa , kwanini mmezuia siasa za majukwaani ?
Momentum of Lowasa ndio iliwapa wabunge wengi hadi wahuni kama Lijualikali nao wakapata ubunge kirahisi tu.Katika dhana za kipuuzi ni hii ya kusema kiongozi fulani ndio nguzo ya chama. Matokeo yake ndio haya kiongozi anakaa madarakani zaidi ya miaka 10, hata yale mazuri yake yanaanza kuharibika.
Kwa utafiti wangu niliofanya ambao sio rasmi, kiongozi yoyote wa kuchaguliwa akikaa madarakani zaidi ya miaka 10, ubora wake huanza kupungua na mazuri yake hufifia. Mfano wa viongozi hao ni
Kiongozi kama Mandela amebaki bora na kuwa kiongozi mzuri kwani hakukaa madarakani mrefu. Mbowe alipaswa kukaa pembeni baada ya blunder ya Lowassa, au kama hakuona sawa kuachia baada ya kosa lile, basi hakupaswa tena kugombea uwenyekiti wa CDM uchaguzi uliopita. Mbowe alishafanya vizuri miaka yake 10 ya kwanza, alipoanza kukaa zaidi ya miaka 10, ndio anafikia huku ambapo anakosa ufanisi, na kuishia kuingia kwenye miafaka sijui maridhiano ya kihuni.
- Nyerere
- Moi
- Mugabe
- Gadaffi
- Paul Biya
- Museveni
- Albashir
- Saddam Hussein
Hakuna aliyekukataza, lakini usione nongwa unapoambiwa uanaposimamia hapafai.Mimi bila hata support yako nasimamia ninachoamini boss.
Mbowe alikuwa na umuhimu wake katika chama kwa wakati maalum. Sasa nyakati ni tofauti, hawezi kuendelea kuwa na umuhimu ule ule katika nyakati mbalimbali.Kuna chawa ndani ya chama wanawajaza hofu wenzao kuwa mbowe akiachia uongozi chama kitanunuliwa na ccm.
Wanataka tuamini kuwa hakuna mwenye uwezo kuongoza, isipokuwa mbowe.
Wanasahau kuwa naye ni mwanadamu, na wakati wake ukifika ataondoka duniani.
Wachawi nchi nzima walilipwa Chadema ife , lakini wapi !!Haikufa, na haìwezi kufa as long as wafuasi wasioweza kufikiri wanaongezeka kila siku.
Mnatembelea kwenye migongo ya wajinga sawa na ccm. Hamna tofauti wala hakuna unafuu utakaopatikana ccm wakiondoka akaingia chadema. Wote matapeli.
Kubadilisha sura za viongozi huku tabia za wanachama zikiendelea kubaki zile zile ni sawa na kupoteza muda, hakuna maana.Kwenye hili la kuchelewa kuchukua maamuzi nakubaliana na ww kabisa, nimewahi kuhoji humu. Pia suala la kuzingatia muda hata kwenye press zao ni tatizo sugu. Kitengo cha habari ni kama kimekufa kwani naona hata website iko down!
Mambo haya na madhaifu mengine kadhaa ndio yanapelekea mimi kutaka Mbowe akae pembeni kama mwenyekiti ili aingie mtu mpya na mbinu mpya, kwani kwa sasa ni sahihi kabisa kwake kukaa pembeni