Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

Uhasama wa kisiasa, kugawanyika na kusambaratika kwa CHADEMA kutaimarisha vyama vingine vya siasa nchini

Kugawanyika kwa maana ya kiccm ni kuongea ukweli hadharani. Huko ccm kufumbia macho wizi ndio uimara wa chama!
No,
namaanisha kugawanyika baina ya puppet la mabwenyenye ya Magharibi na Patriotic mwamba wa kaskazini

Kwahiyo mmekodoleana mimacho kinafiki kipindi chote hicho halafu kinafiki wakati wa Uchaguzi ndiyo mnavuana nguo hadharini, right? Gentleman!🤣
 
Hatuombei, ila CDM kama itakufa watu watakata tamaa kabisa, CCM itatawala itakavyo.
Hao wanaharakati uchwara watatumia muda mrefu sana zaidi ya miaka 20 kuwashawishi tena watanzania kuwaamini endapo watafanikiwa kufanya mapinduzi ndani ya CDM.

Tumeona mwanaharakati mmoja kàanza kutembeza bakuli ili kutakatisha fedha zake kutoka kwa mabeberu.
Pumba tupu
 
Back
Top Bottom