PreGE2025 Uhasama wa kisiasa Milllard Ayo apoteza wafuasi laki tatu ndani ya masaa 12

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ila hili linasikitisha aseee yani akiacha kusoma akiweka jicho pembeni hawezi kueleza chochote kile 😒😒😒
 
Millard ni bonge moja la kibaraka.
 
Wewe unafanya nini humu asubuhi yote hii tena business day(Tuesday) si ilitakiwa uwe bize uko unafanya kazi. Wewe pia ulivyo huku JF unafatilia kila nyuzi ndivyo wao wapo huko kwa mange kimambi. Be the change you want to see in the world.
Asubuhi kwenu kwangu niliko ni usiku sio muda wa kazi
 

Chadema walianzisha kampeni yao kabambe ya kuhakikisha wanasusia kabisa habari za nguli wa habari mtandaoni Millard Ayo.

Kelele zilikuwa nyingi na kupeana matumaini kuwa sasa watanzania wameamka.

Matokeo ya kampeni yao imekuwa ni aibu....zile comment za no reform no election zilikuwa ni kelele za wajinga wachache.

Millard Ayo ndio kwanza anaendelea kupiga steps kwa kasi ya ajabu watanzania wanamfatilia sana.

Hawa watu watazuia kweli uchaguzi? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa JJ .K Kijana wa masham sham
 
Hata hizo comment za NRNE zilikuwa sehemu ya viewers! Bado zilimpromote tu.
Na huwezi jua huenda zilikuwa za Wakenya pia.
 
Sisiemu je yenye wanachama 13 Million inamaana hata nusu hamna smart phone?
 
hawa watu sijui hata wanafikiriaga nini, No reformyenyewe hata chadema wenyewe hawaielewi maana ukisema hivi wanasema , sisi hatunyamaanisha hivyo, sasa je? bibi, babu, kijana aliyeko kijijini ukimwambiwa no reform ataelewa kwel km aliyeanzisha na wafuasi wake wenyewe wanabishana hawaelewi maana yake,?? mbaya zaid wametumia kingereza wakati 95% ya watanzania hawajui kingereza,
 
hamna chama hapo......kwanza hata wananchi huwa wanaenda kumshangaa for entertainment tu na si vingine,,,,,huyu maaaaama,,,,hahaha poor lissu
 
Wanasema ukiuliza tunazuiaje uchaguzi umetumwa na CCM wewe unatakiwa kufata kama nyumbu
 
Ulishawahi kufanya research sehemu yoyote kwenye maisha yako?
Siyo kuandikiwa namanisha kufanya???
 
Kuna sababu kwa nini Nyerere alikubali 20% ya watu waliotaka mfumo wa vyama vingi na asilimia 80% walioupinga mfumo huo.

Imagine 80% ya watanzania wa enzi hizo waliona bora waendelee kuongozwa na chama kimoja.

Sikubaliani au kupinga watuwanaosema no reforms no election, ila nawakubali kwa kuwa na mawazo mbadala. Nchi nzima hatuwezi kuwa na akili moja kama nyumbu, lazma wawepo watu walio hai kifikra watakaoleta alternative thoughts
 
Vijijini wangeelewa unafikili wangepokea vikofia vyenu na kanga? Wangewafukiza.
Alafu mnaongea Kama wajinga Kama mleta mada. Toka lini habari za muhimu zikawa na maana Tanzania kuzidi udaku?. Ayo sehemu nyingi ni habari za ujinga ujinga na udaku ndiyo wanachopenda mazwazwa wa kibongo.
We mtu na akili yako unaongwa kofia?. Nchi inamazezeta sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…