Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

Ww ni mtu wa ajabu sana,Rudi kwenye mada,Nyerere alikuwa na uwezo wa kupeleka watoto wake wakasomee ulaya au America achana na Shaaban Robert School.
Alikuwa na uwezo watoto wake waishi Masaki na hakuna mtu angemfanya kitu,
Utajiri ni nini?
Ni kuwa na uwezo wa kumiliki au kumiliki mali,
Mo Dewji akivaa kaptula na kandamboli leo utamuita masikini
Nadhani hata vigezo vya utajiri huvijui!
 
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.

Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.

Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.

Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
Baada ya kumnyima kitabu mwenye kitabu akalamba zero

USSR
 
Baada ya kumnyima kitabu mwenye kitabu akalamba zero

USSR
Baadae aliyelamba Zero akapata kazi BOT,akawa mbunge,mwenyekiti wa chama chake,mfanyabiashara,gaidi,na jana kaalikwa ikulu kula futari na Kamala Haris pamoja na Mama Samia.yule aliyelamba div one yupo Kongwa anaangalia watu wanafuturu ikulu via azam tv
 
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.

Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.

Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.

Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
Sasa kipi kilikuja kuziondoa hizo akili za Job na Mbowe kupata akili zaidi ya Job?
 
Back
Top Bottom