Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Job akiwa kibaha alikuwa anatumia surname tofauti na ilivyo sasa ebu aseme ukweli wote na mbowe pia asemee hili la utambulisho wa cheti Cha form four Cha ndugai majina yakeHawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.
Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.
Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.