Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

Ni kweli kabisa kwa Job Ndugai. Naskia alikuwa kipanga hatariiii very bright genius. Alikuwa mkufunzi wa aina yake. Lakini ndo hivyo tena CCM ni laana ni kuaribu tu vipaji kama walivyofanya kwa Kabudi.
 
Mbowe NI aluminium wa kibaha?
 
Tatizo Wagogo kuomba omba ni sawa na sala
 
Watoto wa Matajiri walisoma Shaban Robert

Kama Mbowe na Ndugai walisoma pamoja basi wote walikuwa mafukara

Tutajie hizo hotel basi!
Sio wote walisoma Shaaban Robert. Nilisoma Kibaha Sec enzi hizo kweli kulikuwa na watoto wa vigogo. Unakuta Baraza karibia lote la Mawaziri watoto walikuwa pale. Enzi hizo kwenda private mpaka uwe umefeli maana mpk wahindi tulikuwa nao
 
Huyo mataga mshamba tu, ni wa kupuuzwa.
 
Sio wote walisoma Shaaban Robert. Nilisoma Kibaha Sec enzi hizo kweli kulikuwa na watoto wa vigogo. Unakuta Baraza karibia lote la Mawaziri watoto walikuwa pale. Enzi hizo kwenda private mpaka uwe umefeli maana mpk wahindi tulikuwa nao
Kikwete mwenyewe kasoma hapo na kijana wake kasoma hapo kipindi baba yake ni Rais,
 
Maskini kawaida wana roho mbaya sana, mfikirie Magufuli
 
Sasa kipi kilikuja kuziondoa hizo akili za Job na Mbowe kupata akili zaidi ya Job?
Wako vile vile kama zamani; mengine ni ujinga na matazamo wako tu kwa sababu hatujasikia Mungu kaumba watu wengine hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…