Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Job akiwa kibaha alikuwa anatumia surname tofauti na ilivyo sasa ebu aseme ukweli wote na mbowe pia asemee hili la utambulisho wa cheti Cha form four Cha ndugai majina yakeHawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.
Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.
Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
Usiwe mbishi kijana tuliza akili kwanzaHapakuwa na mtindo wa mwalimu kumfuata mwanafunzi kwenye quarter anayokaa kumkagua hiyo ilikuwa shuleya wanafunzi wenye vipaji maalum kwa hiyo usipoteze muda kudanganya wana jukwaa ambao hawakuwahi kusoma hapo. Acha uongo wako kabisa na usirudie
mdukuzi koko wewe ni mzee halafu unashinda kwenye mtandao? jifunze unayoelimishwa na wajuvi na wamewahi kusoma hapo usijifanye mbobezi wakati huna loloteUsiwe mbishi kijana tuliza akili kwanza
Ungeijua usingeandika ulichoandika!Wewe ni chawa aka kitoboto usiye na akili ,nisiijuekibaha Sec mimi
Hapana.Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.
Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.
Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
Mara ya kwanza kukutana na wagogo katika mazungumzo nilikuwa na wambia mbona kila kitu mnalalamika. kumbe ndio ongea yao ilinichukua muda sana kujuaSiku tulipochagua spika mgogo tulizika ndoto nyingi sana za taifa hili.
Huyo Ndungai unayesema kichwani zilikuwepo kidogo ni Ndugai gani??Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.
Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.
Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
Nimeshiriki kuiandaa
We endelea na umbeya
Kuna siku utakuja na umbeya wa saizi za korodani za wanaume
Hebu focus kwenye maendeleo basi
Pigia mstari.Sijaelewa! Ndugai katoka familia fukara ila kichwani zimo. Ina maana huyo mwingine katoka familia tajiri ila kichwani ni mweupe?
Unapata faida gani...
Mtu mwenye akili awezi kuwa kama huyo Ndugai unayemzungimziaUsimchukulie powa,yuko vizuri
Ndugai na mbowe ni agemate wanapishana si zaidi ya miaka miwili mkuu fuatilia sema mgogo yule ana dongo zuri azeekiNakumbuka tukiwa kidato cha tano pale Ihungo sekondari Mh. Mbowe alikuwa kidato cha sita, wote tukiwa tunakaa Bweni la Mt. Meru kama sikosei.
Shule nzima nakumbula Mh. Mbowe ndo alikua mwanafunzi anapanda ndege kurudi kutoka likizo.
Mambo yalikuwa moto sana, sasa sijui kama Mh. hakuacha kweli mfuasi kule BK make mambo yetu wananfunzi tulijichanganya sana.
Hii ya Mbowe kusoma na Ndugai ndo haileti picha sahihii, Mh. Ndugai ni mdogo sana ki umri kwa Mbowe.
Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary.
Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere.
Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo.
Kuna siku Job aliomba kitabu kwa Freeman akanyimwa ndio uhasama ukaanzia hapo,hicho kitabu alikuwa nacho Freeman peke yake shule nzima.
Ni kweli, ni 1960 kwa Ndugai ja 1961 kwa Mbowe.Ndugai na mbowe ni agemate wanapishana si zaidi ya miaka miwili mkuu fuatilia sema mgogo yule ana dongo zuri azeeki