Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

Juo ni upuuzi, Kwa hio Hitler alikuwa mpuuzi kiasi hiko akiambiwa kitu anafanya utekelezaji?

Hata wewe si kila utakachobiwa utakubaliana nacho..
 
Kwa hiyo hadi namba moja ni gaidi??Si muislam, Kikwete naye gaidi sio si mwislamu yule??
Usiwe unaongea kwa mjumuisho...
Waislamu ni waoslamu na magaidi ni magaidi..
 
hujui maandiko ndio maana unawachukia wayahudi, wako kinyume na ukristo lakini wakristo hawapaswi kuwachukia
 
Juo ni upuuzi, Kwa hio Hitler alikuwa mpuuzi kiasi hiko akiambiwa kitu anafanya utekelezaji?

Hata wewe si kila utakachobiwa utakubaliana nacho..
Hawa watu walikua ni mabest wote walikya wana share tabia moja nayo ni Chuki kalii dhidi ya wayahudi.

Hivyo ni rahisi mtu mwenye chuki kali kushawishika kuua
 
Neno Gaidi limetumika kama kichaka tu cha kutaka kuhalalisha matendo yenu ya kinyama dhidi ya jamii nyingine, kama Mandela alitolewa kwenye list ya maigaidi sababu tu akipigania uhuru South Africa leo utatuambia nini? Ni ukweli usiopingika kuwa Jamii ya Kislamu imekataa kufanywa kondoo wa Marekani na hivo kila ukikataa wanachotaka watakuita majina mabaya lengo wakupige.
 
Kwa hiyo Magaid wa HAMAS unawafananisha na MANDELA au harakati zake? Mandela hakuhamasisha mauji wala hauwa na vikundi vya kuua kama HAMAS. Hamas ni Terror group wala siyo Civil NGO.

Ni WAUAJI, huteka na kuua na wanapigana vita, hivyo acha kulinganisha au kumlinganisha Mandela au harakati zake na MAGAIDI.

Halafu urudi kwenye mada, acha kutafuta mablanketi kujificha.
 
Kwa hiyo hadi namba moja ni gaidi??Si muislam, Kikwete naye gaidi sio si mwislamu yule??
Usiwe unaongea kwa mjumuisho...
Waislamu ni waoslamu na magaidi ni magaidi..
Rudi kwenye hoja, lakini ukitaka hivyo pia ni sawa kabisa. Angalia aliye andika mwanzo na huyo niliye mjibu aliandika vipi.
 
unachopaswa kufahau Israel imeua wananchi wengi wa Palestine before hio Oct 7, jaribu kufuatilia vitu......

Mashabiki wa kiyahudi walikuja kuishangilia timu yao kisha wakasahau kama hawako huko kwa nyetanyahu wakaanza uchokozi, kuchokoza Wapalestina. Waarabu sio wao pekee mpaka na wazungu na wengine wakawapa kichapo cha heshma na adabu🀣, Sasa hao wanapiga kelele za nini(?) β€œ Palestinians have the right to defend themselves.
Hao vibaraka viongozi wanabwaka tu. Usiutukane uislam jutukane mwenyewe.
 
Kwa
Kwa hiyo Hassan Nasrallah na Yahaya Sinwar ni watoto ama πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ ndio waliouliwa na Israel
 
Bado huja prove allegation zako, yaani tukio litokee halafu wanatunga uongo? Like seriously?
Then how come wahamiaji after certain time wanataka tamaduni zao au sheria ziwe included kwenye nchi zilizo wapokea?
 
we ni gaidi
 
a
Kama Nyerere aliitwa Gaidi, Mandela naye akaitwa Gaidi sababu tu akipingana na mawazo yao itakuwa hajabu mi wewe kuniita gaidi sababu sikubaliani na itikadi zenu?
liyemuita gaidi nyerere nani ??
au unajichetua tu
 
Warabu na weusi ndo mitototundu ya dunia HAIBEBEKI NA UKIIBEBA LAZIMA IKUNYEE
 
Hawa waliotengeneza mkakati wa kuuchafua uislam kwa neno la ugaidi,hakika wamefaulu ila kiwango kidogo sana hasa kwa wale 'wanaoishi kibubusa'. Ila wale wanaotuliza akili zao huwakuti kuingia kwenye 'hadaa' za hawa nyang'au.
Syo mkakat ila nilijarbu kuchunguza n ukwl tukitowa bongo yaan tz n nch gan ukienda kama ww n mkrsto ukashea vitu na hawa jamaa wa sikuite kafr nenda Zanzibar n wabnafs sana
 
mlipoambiwa muachie mateka mlisema wanaogopa Kuingi Gaza , waislam ni wangese sn , akil huwa zpo makaliony
 
Wayahudi ni wa kupiga bila huruma, hawana mchamgo wowote Uholanzi.
Kama hapo kumbe wao ndio wameanzisha fujo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…