Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

Una

Unajua kwanini Hitler aliwaua??
Alishawishiwa na rafiki yake kutoka mashariki ya kati!

Hitler alikua na mpango wa kuwafukuza ujerumani. Waarabu kwa kujua kua wakifukuzwa watarudi mashariki ya kati bas hasa jerusalem mufti anaeitwa , Hajj Amin al-Husayni.
Hivo waarabu pia ndio kitovu cha mauaji ya kimbali ya wayahudi.
Juo ni upuuzi, Kwa hio Hitler alikuwa mpuuzi kiasi hiko akiambiwa kitu anafanya utekelezaji?

Hata wewe si kila utakachobiwa utakubaliana nacho..
 
WAISLAMU ni MAGAIDI popote walipo wawe wanaangaliwa kwa macho manne. UTULIVU kwao ni dhambi, popote walipo wanaleta shida.

Kama wanataka kupigana na waisrael kwanini walikimbilia EUROPE? Warudi Gaza wapambane huko huko, kuleta fujo kwenye nchi za watu iwe mwiko.

Mmenda kama wakimbizi mmepokelewa halafu mnataka kuanzisha vita ugenini?

kama mnajua kupigana sana kwanini mkubali kuwa wakimbizi? Watulizane GAZA wapambane na Israel wakiwa huko GAZA, kama walikimbia vita wakae kimya na kwa adabu.
Kwa hiyo hadi namba moja ni gaidi??Si muislam, Kikwete naye gaidi sio si mwislamu yule??
Usiwe unaongea kwa mjumuisho...
Waislamu ni waoslamu na magaidi ni magaidi..
 
Ukizunguzmia ukimbizi hao wayahudi ndio wanaongoza, USA wapo, Germany wapo, Russia wapo, China wapo, Africa wapo, kwanini na wao wasiende kwao? kabla ya WW2 Palestine ilikuwepo lakini wayahudi walikua bado ni wakimbizi... Cha ajabu msichokijua wayahudi wanwachukia waislamu sawa sawa na wanavyochukia ukristo, so next time usije kwenda Israel ukajua watakuchangamkia, wana desturi ya kuwatemea mate wakristo...

Mi sio muislamu, lakini wayahudi wanachofanya Gaza ni ukiukwaji wa haki za binadamu, Hata UN kwa aibu kubwa wamekiri kwamba Israeli inaua wananchi wa Gaza makusudi...

Wanaua watoto wadogo makusudi, walioleta vurugu Amsterdam sio waarabu pekee kama inavyosemwa, hata wazungu waliwashambulia hao wayahudi, nadhani ilikuwa ni message kwao kwaba wanachofanya hakipendezi...
View attachment 3147502
hujui maandiko ndio maana unawachukia wayahudi, wako kinyume na ukristo lakini wakristo hawapaswi kuwachukia
 
Juo ni upuuzi, Kwa hio Hitler alikuwa mpuuzi kiasi hiko akiambiwa kitu anafanya utekelezaji?

Hata wewe si kila utakachobiwa utakubaliana nacho..
Hawa watu walikua ni mabest wote walikya wana share tabia moja nayo ni Chuki kalii dhidi ya wayahudi.

Hivyo ni rahisi mtu mwenye chuki kali kushawishika kuua
 
WAISLAMU ni MAGAIDI popote walipo wawe wanaangaliwa kwa macho manne. UTULIVU kwao ni dhambi, popote walipo wanaleta shida.

Kama wanataka kupigana na waisrael kwanini walikimbilia EUROPE? Warudi Gaza wapambane huko huko, kuleta fujo kwenye nchi za watu iwe mwiko.

Mmenda kama wakimbizi mmepokelewa halafu mnataka kuanzisha vita ugenini?

kama mnajua kupigana sana kwanini mkubali kuwa wakimbizi? Watulizane GAZA wapambane na Israel wakiwa huko GAZA, kama walikimbia vita wakae kimya na kwa adabu.
Neno Gaidi limetumika kama kichaka tu cha kutaka kuhalalisha matendo yenu ya kinyama dhidi ya jamii nyingine, kama Mandela alitolewa kwenye list ya maigaidi sababu tu akipigania uhuru South Africa leo utatuambia nini? Ni ukweli usiopingika kuwa Jamii ya Kislamu imekataa kufanywa kondoo wa Marekani na hivo kila ukikataa wanachotaka watakuita majina mabaya lengo wakupige.
Screenshot_2024-11-10-17-42-18-63_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Neno Gaidi limetumika kama kichaka tu cha kutaka kuhalalisha matendo yenu ya kinyama dhidi ya jamii nyingine, kama Mandela alitolewa kwenye list ya maigaidi sababu tu akipigania uhuru South Africa leo utatuambia nini? Ni ukweli usiopingika kuwa Jamii ya Kislamu imekataa kufanywa kondoo wa Marekani na hivo kila ukikataa wanachotaka watakuita majina mabaya lengo wakupige.View attachment 3148721
Kwa hiyo Magaid wa HAMAS unawafananisha na MANDELA au harakati zake? Mandela hakuhamasisha mauji wala hauwa na vikundi vya kuua kama HAMAS. Hamas ni Terror group wala siyo Civil NGO.

Ni WAUAJI, huteka na kuua na wanapigana vita, hivyo acha kulinganisha au kumlinganisha Mandela au harakati zake na MAGAIDI.

Halafu urudi kwenye mada, acha kutafuta mablanketi kujificha.
 
Kwa hiyo hadi namba moja ni gaidi??Si muislam, Kikwete naye gaidi sio si mwislamu yule??
Usiwe unaongea kwa mjumuisho...
Waislamu ni waoslamu na magaidi ni magaidi..
Rudi kwenye hoja, lakini ukitaka hivyo pia ni sawa kabisa. Angalia aliye andika mwanzo na huyo niliye mjibu aliandika vipi.
 
unachopaswa kufahau Israel imeua wananchi wengi wa Palestine before hio Oct 7, jaribu kufuatilia vitu......

Mashabiki wa kiyahudi walikuja kuishangilia timu yao kisha wakasahau kama hawako huko kwa nyetanyahu wakaanza uchokozi, kuchokoza Wapalestina. Waarabu sio wao pekee mpaka na wazungu na wengine wakawapa kichapo cha heshma na adabu🤣, Sasa hao wanapiga kelele za nini(?) “ Palestinians have the right to defend themselves.
Hao vibaraka viongozi wanabwaka tu. Usiutukane uislam jutukane mwenyewe.
 
Kwa
Kafa ulaya mwingine huyu. Fumbua macho . Watoto wateule walipata kichapo cha mbwa baada ya wao kuanza. Watoto wa shetani hao wanaofurahia kuuwa watoto. Huyu mholanzi sio Mwarabu. Msikilize vizuri ujue nani alianza uchokozi. Well done vijana wa Amsterdam kwa kuwaadabisha adabu watoto wa shetani. “ shika adabu na adamu ikushike”

View: https://www.instagram.com/reel/DCJcopCsfRY/?igsh=MXBmMWlzN282OTV5Yg==

Kwa hiyo Hassan Nasrallah na Yahaya Sinwar ni watoto ama 😄 🤣 😂 ndio waliouliwa na Israel
 
Hawa wanaoamini itikadi ya watoto wateule ndio wanatunga uongo kila aina. Mhimu hao watoto wateule walipata kichapo cha mbwa adabu yao. Walidhani watafanya watakavyo kama kwao. Walianza uchokozi na zamani ya sasa chanel zao BBC.CNN, fox etc hamna mtua anazitazama maana ni wanafiki. Social media inawaonyesha watu ukweli wa wayahudi na new generation ya watu kote duniani hawako tena na watoto wateule😳 isipokuwa wale wa kafa ulaya wa bongo🤣🤣

View: https://www.instagram.com/reel/DCJcopCsfRY/?igsh=MXBmMWlzN282OTV5Yg==

Bado huja prove allegation zako, yaani tukio litokee halafu wanatunga uongo? Like seriously?
Then how come wahamiaji after certain time wanataka tamaduni zao au sheria ziwe included kwenye nchi zilizo wapokea?
 
Neno Gaidi limetumika kama kichaka tu cha kutaka kuhalalisha matendo yenu ya kinyama dhidi ya jamii nyingine, kama Mandela alitolewa kwenye list ya maigaidi sababu tu akipigania uhuru South Africa leo utatuambia nini? Ni ukweli usiopingika kuwa Jamii ya Kislamu imekataa kufanywa kondoo wa Marekani na hivo kila ukikataa wanachotaka watakuita majina mabaya lengo wakupige.View attachment 3148721
we ni gaidi
 
a
Kama Nyerere aliitwa Gaidi, Mandela naye akaitwa Gaidi sababu tu akipingana na mawazo yao itakuwa hajabu mi wewe kuniita gaidi sababu sikubaliani na itikadi zenu?
liyemuita gaidi nyerere nani ??
au unajichetua tu
 
Warabu na weusi ndo mitototundu ya dunia HAIBEBEKI NA UKIIBEBA LAZIMA IKUNYEE
 
Hawa waliotengeneza mkakati wa kuuchafua uislam kwa neno la ugaidi,hakika wamefaulu ila kiwango kidogo sana hasa kwa wale 'wanaoishi kibubusa'. Ila wale wanaotuliza akili zao huwakuti kuingia kwenye 'hadaa' za hawa nyang'au.
Syo mkakat ila nilijarbu kuchunguza n ukwl tukitowa bongo yaan tz n nch gan ukienda kama ww n mkrsto ukashea vitu na hawa jamaa wa sikuite kafr nenda Zanzibar n wabnafs sana
 
ukweli ni kwamba waliowashambulia hao Israelis sio wapalestina na waarabu pekee kama mnavyokuza huo upuuzi, kinachofanyika Gaza ni ugaidi na ukatili uliopindukia kitu kinachopelekea watu kutoka jamii tofauti, utaifa, ukabila na hata dini tofauti kujenga chuki juu ya Israeli, Israeli inaua watoto kwa makusudi, wanaua wanawake kwa makusudi.

Acha wapigwe ili kusudi wapate akili na watambue nchi yao inachofanya Gaza haipendezi, wapeleke salamu kwa Netanyahu...
mlipoambiwa muachie mateka mlisema wanaogopa Kuingi Gaza , waislam ni wangese sn , akil huwa zpo makaliony
 
Ukatili gani unafanyika gaza zaidi ya maigizo wameachiwa Aljazeera yaani ukitizama ni vichekesho tupu hayo mnayoitq ukatili. Inamaana watu wa Gaza wote wanauliwa pakiwepo watoto na kina mama tu huo upuuzi bakini nao Qatar wadhamini wakuu wa propaganda.. Gaza wanakufa Hamas na IDF .. mnaleta fujo mkipigwa mnasema mnaonewa pumbavu.

Tuambie arabs muslims wanafaida gani Holland? Zaidi ya kujaza mji ikifika ijumaa eti wanafunga mitaa wanaswali barabarani af if Holland ni Yemen
Wayahudi ni wa kupiga bila huruma, hawana mchamgo wowote Uholanzi.
Kama hapo kumbe wao ndio wameanzisha fujo.
 
Back
Top Bottom