and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Juo ni upuuzi, Kwa hio Hitler alikuwa mpuuzi kiasi hiko akiambiwa kitu anafanya utekelezaji?Una
Unajua kwanini Hitler aliwaua??
Alishawishiwa na rafiki yake kutoka mashariki ya kati!
Hitler alikua na mpango wa kuwafukuza ujerumani. Waarabu kwa kujua kua wakifukuzwa watarudi mashariki ya kati bas hasa jerusalem mufti anaeitwa , Hajj Amin al-Husayni.
Hivo waarabu pia ndio kitovu cha mauaji ya kimbali ya wayahudi.
Hata wewe si kila utakachobiwa utakubaliana nacho..