Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA

Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA

Mbona uda inauzwa kufuata process of process....kwanini hela za kpuni ziwekwe kwenye account binafsi?
Uda kwa sasa inamiikiwa na nani.....huyu msukuma aliywkuwa anahombania ubunge shinyanga ni mwizi....hii ndiyo ccm.....anatumia asset za uda kikopa ...kwa uda ilishindwa kukopa.....yaaani hii ccm itatumaliza kabisa
 
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amemfutia kesi aliyekuwa Mwenyekiti wa UDA bwana Iddi Simba na Wenzake,ambao walikuwa wakikabiliwa na kesi mbalimbali likiwemo la uhujumu uchumi,hivyo basi kwa sasa IDDI SIMBA NA WENZAKE WAPO HURU.
SOSI:MWANANCHI 20.06.2013
 
Binafsi hupoteza hamu ya kusoma kitu ninapokutakana aina ile ya uandishi

Mkuu 124 Ali kuna watu wana hizo swagga hata kwenye sms za kawaida yaani wewe unamwandikia neno zima yeye atakujibu kwa hizo swagga inaudhi sana
 
Last edited by a moderator:
Fuatilieni uraia wa DPP ndio mtajua kwanini hana uchungu na nchi hii? Sisemi mengi hata pia kuna msaidizi wake pia si raiya wa nchi hii lakini TISS wanapeta wakifikiri nchi iko salama.

Kwa hiyo Dr. Feleshi ni mkimbizi sio?!! hivi Malya iko nchi gani kweli tukumbushe! maana navyojua kwao ni Malya-Kwimba.
 
Back
Top Bottom