waddington2005
Member
- Sep 5, 2011
- 33
- 1
Ah! watu wa SWAGA hao utawawezaje?Mkuu nimeipenda post yako ila uandishi mkuu haujakaa vyema hivyo vifupisho
Ah! watu wa SWAGA hao utawawezaje?
Binafsi hupoteza hamu ya kusoma kitu ninapokutakana aina ile ya uandishi
Fuatilieni uraia wa DPP ndio mtajua kwanini hana uchungu na nchi hii? Sisemi mengi hata pia kuna msaidizi wake pia si raiya wa nchi hii lakini TISS wanapeta wakifikiri nchi iko salama.