Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Habari Wana JF natumaini mpo njema,
Husika na kichwa hapo juu,
Wote tunaona yanayoendelea Huko bondeni Kwa madiba, Hivi wale ndugu zetu kwa zile akili zao sijui hata nisemaje maana imekua too much aisee.
Yaani katiba ya nchi inamuwajibisha Rais mstaafu Kwa Yale mambo aliyoyatenda akiwa madarakani lakini Bado Kuna nyumbu wanamuunga mkono na kuamua kufanya vurugu kama zile aiseee.
Leo ndio nimeamini Waafrika tuna shida pahali nakumbuka Ile hotuba ya kaburu. Peter Botha alipotunanga Kwa kutuita majina yote mabaya.
Kwa kipindi kile alionekana mbaguzi mkubwa, ila Kwa haya yanayotokea naona alikua sahihi na Kwa kua hatupendi ukweli Ile inabidi tuukubali japo mchungu Sana!
Yaani jamii za kiafrika ukideal nazo Kwa kuwadekeza na kuwachekea ipo siku watakupapasa Hadi kalio
Mifano hai tunayo hata Huko Serikalini watu bila kupelekewa Moto na kuwafokea,kuwashurutisha wafanye kazi Kwa wakati utaishia kula hasara tu.
Na ndio maana makampuni mengi hapa home yanaendeshwa na wageni hasa jamaa kutoka Asia.
Tujitafakari aisee inatia aibu sana Kwa nchi kubwa Kama Ile inaaibishwa na wahuni wachache,wavivu,uneducated na wapenda ngono kuliko maendeleo.
Bitter truth!
The terrible!
🙏🙏🙏🙏