Uhuni unaoendelea nchini Afrika Kusini hauvumiliki

Uhuni unaoendelea nchini Afrika Kusini hauvumiliki

Katiba gani ya kumfunga raisi mstaafu bana! Yaani hao maraisi wazungu hawafanyagi makosa au!

Tiwaachie wasouth wenyewe hilo
We mpuuzi hukusikia miaka mitatu iliyopita aliyekuwa Rais wa Israel alitupwa jela? Hujui mmoja wa waliokuwa Marais wa Ufarasa yuko lupango sasa.

By the way,hao Marais ni miungu kiasi kwamba hata wakifanya maovu tuwape green light tu?
 
Back
Top Bottom