Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hatua inafika mtu haogopi huo moto kama hana tena cha kupoteza,eg. Mtu kubomolewa nyumba kwa sheria pandikizi za kijinga,duka limeungua uko Kariakoo,benki inamdai mkopo na hana source nyingine ya income,mtu wa aina hii usitegemee kuwa ataogopa tena kufa wakati yuko kwenye death state tayari,hana cha kupoteza!Geuka mzulu upelekewe moto.......
#ChokochokoMwiko
#KaziIendelee
Kaburu amekabidhi nchi kisiasa ila uchumi mkubwa uko kwake eg.big plantations and estates,viwanda n.k.Kweli mkuu wanawalea sana hao wahuni mwanzo nilijua labda makaburu ndio wakulaumiwa ila nikaja gundua viongozi wao hasa hao wakina Zuma wanadekeza sana na kuwachekea Ili waendelee
Nitajie nchi nyingine ambayo raia wake hawapendi wageni kiasi kwamba huwafanyia vurugu Kama za hao wahuni wa bondeni mkuu itapendeza!
Makaburu Kuna muda wanatupiwa lawama zisizo na mashiko
Ni Kama Leo hapa kwetu lawama za umaskini wetu tuwatupie mabeberu wakati tuna miaka 60 Toka tuwe huru
Angalia kipi kinawakwamisha kutopiga hatua na kwanini wasitafute njia nchi si walikabidhiwa na kaburu miaka mingi iliyopita?
Hakuna anayekataa kuwa UKOLONI ,UTUMWA na UBAGUZI WA RANGI umeacha athari katika jamii.....Kweli mkuu wanawalea sana hao wahuni mwanzo nilijua labda makaburu ndio wakulaumiwa ila nikaja gundua viongozi wao hasa hao wakina Zuma wanadekeza sana na kuwachekea Ili waendelee
Nitajie nchi nyingine ambayo raia wake hawapendi wageni kiasi kwamba huwafanyia vurugu Kama za hao wahuni wa bondeni mkuu itapendeza!
Makaburu Kuna muda wanatupiwa lawama zisizo na mashiko
Ni Kama Leo hapa kwetu lawama za umaskini wetu tuwatupie mabeberu wakati tuna miaka 60 Toka tuwe huru
Angalia kipi kinawakwamisha kutopiga hatua na kwanini wasitafute njia nchi si walikabidhiwa na kaburu miaka mingi iliyopita?
Oya arifu umekula Leo mchana mbona unafrustration za kizuluSasa wewe bila hata picha maneno meeengi! hata hivo huko siyo tz siasa zao huzijui hata mazingira tunatofautiana. Ujue huko hakuna ccm wala hakuna mwenge, sasa utawahukumu vipi? Achana na mambo yasiyo na faida kwako.
Sawa....Kuna hatua inafika mtu haogopi huo moto kama hana tena cha kupoteza,eg. Mtu kubomolewa nyumba kwa sheria pandikizi za kijinga,duka limeungua uko Kariakoo,benki inamdai mkopo na hana source nyingine ya income,mtu wa aina hii usitegemee kuwa ataogopa tena kufa wakati yuko kwenye death state tayari,hana cha kupoteza!
Hahahha.. Hapa ndio ninapowakubali watz!haaahaaaa jamaa wanapelekewa Moto aisee
Yaani hao jamaa Wana tatizo pahali aisee haiwezekani Kwa mwenye akili timamu kua zuzu kisa Zuma![emoji23][emoji23][emoji23]
wewe Kwa Moto wanapelekewa jamaa hebu angalia huko juu mkuu bujibuji kaweka videoHahahha.. Hapa ndio ninapowakubali watz!
.
Kuna jamaa flani alisema ingieni barabarani! Watu wakasema yaani tuache kujitafutia ugali tuingie barabarani kisa kupigania wewe uende ikulu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaburu hua hacheki n kima atawamwagia risasi za kufa mtu.Wewe huwajui hao jamaa ni wavivu wa kutupwa,wasiopenda shule,wanapenda slope sana,ngono ndio usiseme wapenda kubinuana tu na kuzaliana hovyo,labda hao unaowasemea sio wazulu
Hiiiiiiii bhagoshaaa angalia hata kazi ndogo ndogo wanazifanya wageni hasa wasomali na wanaigeria wao wana dharau sana wale watu mkuu usiombe ukutane nao wanafrutration na wivu wa kijinga sana hawapendi kuona weusi wenzao wageni waliowekeza kwenye nchi Yao wanaendelea ndio maana wanawavamia madukani mwao na kuwapora Mali
Ila hao hao huwezi ona wanamfanyia mzungu kaburu ujinga hi asirani!
Sio shida, Nyerere angekuwa na uoga wa kitoto nchi isingepata uhuru 1961.Sawa....
Wewe huna cha kupoteza....MAANDAMANO ya KATIBA MPYA yatakapotokea basi nenda FRONT mkuu....
#KaziIenndelee
Nchi ilishapata Uhuru....Sio shida, Nyerere angekuwa na uoga wa kitoto nchi isingepata uhuru 1961
Waafrika ni kima waliochangamka.Binafsi naendelea kujifunza stadi mbalimbali za kuishi na binadamu wa bara la Afrika.