Bongo hatuna mifumo unayoisema humu.Kughushiwa kwa tepe ina maana mifumo haiko imara naamini hata ngumu mtu anaweza kughushi kama tepe imeghushiwa na wakashindwa kujua.
Mtu kwa mtindo huo anaweza kughushi zote
Ni complications tu , watembee wajifunze watu wameshatoka huko .
Wewe unacheka dunia inahama kutoka kwenye makaratasi huku nyie mnabakia kwenye karatasi?😂 Wabongo bhana 😂 sasa kuna ugumu na uzito gani kubeba hvy vyeti na vitambulisho?
Yani hujaeleweka sehem Moja, ni aina zipi za vitambulisho vya ziada ambavyo wasailiwa wameombwa?Mbona maelezo yake yapo wazi ?
Basi kwa mwanya huo ndio maana CCM wanakwapua kura kila uchaguzi.Bongo hatuna mifumo unayoisema humu.
Kutembea huwa tunaenda kushangaa maendeleo ya wenzetu na kupiga selfie za kupost ila kunifunza ni jambo ambalo ni taboo kulifanya
Mimi na hizo ajira wapi na wapi mkuu?Wewe kama unataka ajira fuata Sheria zao. Mambo mengine ni kujichosha tu.
ANYTHING GOES....................................... NDO LUGHA YA WAPI HII? WE KILAZA.Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance. Kama ni fair game how comes wengine wamekuja na vitambulisho vya ziada ambavyo havikutajwa kwenye barua ya wito ? Hili kosa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani candidate akilalamika kuhusu hili mchakato wote wa uajiri unaanza upya. Ila kwa Tanzania anything goes.
Sawa mkuu, ww njoo na utaratibu wako halafu na utumishi nao waje na utaratibu wao then tutajua nani mbobeziWewe unacheka dunia inahama kutoka kwenye makaratasi huku nyie mnabakia kwenye karatasi?
Nimemuuliza mdau mmoja hapo mtu alipokuwa anafanya maombi kwenye portal si aliambatanisha nakala tepe ?
Sasa kuna umuhimu gani wa kubebana na mikaratasi.
Au ndio ule ushamba wa mtu kutembea na maburungutu ya pesa ili aonakane anazo wakati leo hii watu wanafanya transfer ya pesa nyingi tu bila hata kushika pesa hizo physically?
Issue niliyohoji ulazima gani wa watu kubeba makaratasi kama mfumo hauwezi kutambua nakala zilizoghushiwa zikiwa tepe?
Mimi huu ni mwaka wa pili sijaenda bank ndio uone dunia inavyokwenda na umuhimu wa kuhama kutoka kwenye makaratasi mambo yote yanaishia kiganjani.
Acha mbwembwe na kukaza fuvu hilo. Nikurushie screenshot ya group la Whatsapp la wanaolalamikia hizo issues ndio uamini kama ni kweli.Hii comment unaicopy na kupaste wewe kama nani una generalize makosa yao
Hiyo barua ya utambulisho wa serikali za mitaa lazima iwe ya sehemu yenye makazi yangu ya kudumu au popote nlipo kwa sasa?Soma hapa vitambulisho vinavyohitajika.
NB: Kama huna kitambulisho chochote tafuta barua ya mtendaji wa MtaaView attachment 3085206
Mimi hizo ajira wala sihusiki nazo kama muombaji au msaili nimechangia tu kuonyesha bado ambavyo kama nchi inahitaji mapinduzi makubwa ya kidigitali.Sawa mkuu, ww njoo na utaratibu wako halafu na utumishi nao waje na utaratibu wao then tutajua nani mbobezi
Wanataka kuajiri watu 1000 mnakuja Watu million kadhaa wanawapunguzaje sasa? Zingatieni hili popote ukiitwa Ajira Utumishi beba barua Serikali ya Mtaa utambulisho utanishukuruMimi na hizo ajira wapi na wapi mkuu?
Mimi nimeshangaa tu mambo yanavyopelekwa kizamani , ambapo hupelekea watu wengine kukosa kazi kwa maelekezo yasioyoeleweka ya waandaa usaili.
Ni lazima sio hiari Wewe beba wasipokagua Bahati yako Ila wakikuita hatua ya kwanza wahi Serikali ya Mtaa chukua Barua ya utambulisho halafu iweke kibindoni nenda nayo kwenye interview wakikinukisha umeponaHata kama una kitambulisho Cha NIDA barua ya serikali za mitaa ni compulsory?
Thanks mkuu, Sasa mkuu kama vyeti VYOTE vina majinga matatuz Kwa Nini barua ya utamburisho kutoka serikali ya mtaa niweke majina matatu si Bora waniandikie mawili kama ya kwenye vyetiHakuna shida ikiwa majina yaliyopo kwenye kitambulisho ni sawa na yaliyo kwenye vyeti.
Mfano:
Vyeti: Jamiiforum Digital
Kitambulisho: Jamiiforum Digital Network
Hamna shida.
Pia jina la katikati kwenye kitambulisho cha kura linaweza kuwa initial na ikawa vigumu kuthibitisha hiyo herufi. Hapo ukikutana na msimamizi mnoko anakutolea nje.
Cha kuzingatia kwa usalama zaidi(hapa ambao huwa wanafanya sana sahili za PSRS wanajua, na hawa wengine nao tushawapa sana muongozo humu) ni bora uwe na barua ya mtendaji wa mtaa ambayo utaandikiwa majina yako sahihi matatu kwa ajili ya utambulisho.
Vitambulisho vya kura vina makosa sana kuliko NIDA, hivyo binafsi napendekeza mtu usivitumie sana endapo unajua kina changamoto.
Kwa wale ambao sahili zao hazijafika wajiweke sawa kuhusu hili ili kutorudia makosa waliyofanya wengine leo
Chukua hint hizo na Wewe usije ukaenda kuchezea za mbavu Barua ya utambulisho Serikali ya Mtaa ni Compulsory sio hiari ni lazima uibebe tena original sio copyMimi nashukuru tu kwa kuwa msoma comment mzuri hapa, pamoja wakuu🤝
Shukrani sana mkuu, hili nimelichukua kama formula ya hesabu 🤝Chukua hint hizo na Wewe usije ukaenda kuchezea za mbavu Barua ya utambulisho Serikali ya Mtaa ni Compulsory sio hiari ni lazima uibebe tena original sio copy
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
Barakoa pia usisahau hawachelewi kusema mvae barakoa, usichukulie utani wenzio walidharau kilichowakuta wanasema ningejua ningebebaShukrani sana mkuu, hili nimelichukua kama formula ya hesabu 🤝