Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Kughushiwa kwa tepe ina maana mifumo haiko imara naamini hata ngumu mtu anaweza kughushi kama tepe imeghushiwa na wakashindwa kujua.

Mtu kwa mtindo huo anaweza kughushi zote

Ni complications tu , watembee wajifunze watu wameshatoka huko .
Bongo hatuna mifumo unayoisema humu.

Kutembea huwa tunaenda kushangaa maendeleo ya wenzetu na kupiga selfie za kupost ila kunifunza ni jambo ambalo ni taboo kulifanya
 
😂 Wabongo bhana 😂 sasa kuna ugumu na uzito gani kubeba hvy vyeti na vitambulisho?
Wewe unacheka dunia inahama kutoka kwenye makaratasi huku nyie mnabakia kwenye karatasi?

Nimemuuliza mdau mmoja hapo mtu alipokuwa anafanya maombi kwenye portal si aliambatanisha nakala tepe ?

Sasa kuna umuhimu gani wa kubebana na mikaratasi.

Au ndio ule ushamba wa mtu kutembea na maburungutu ya pesa ili aonakane anazo wakati leo hii watu wanafanya transfer ya pesa nyingi tu bila hata kushika pesa hizo physically?

Issue niliyohoji ulazima gani wa watu kubeba makaratasi kama mfumo hauwezi kutambua nakala zilizoghushiwa zikiwa tepe?

Mimi huu ni mwaka wa pili sijaenda bank ndio uone dunia inavyokwenda na umuhimu wa kuhama kutoka kwenye makaratasi mambo yote yanaishia kiganjani.
 
Usiposema izo Additional ID's ni zipi.

Basi umeandika upuuzi huyo hakubeba vitu vinavyohitajika na asilete visingizio.
 
Bongo hatuna mifumo unayoisema humu.

Kutembea huwa tunaenda kushangaa maendeleo ya wenzetu na kupiga selfie za kupost ila kunifunza ni jambo ambalo ni taboo kulifanya
Basi kwa mwanya huo ndio maana CCM wanakwapua kura kila uchaguzi.

Hapa mtu anaweza kupiga kura bila kuwepo physically kituoni inaitwa absentee ballot.
 
Wewe kama unataka ajira fuata Sheria zao. Mambo mengine ni kujichosha tu.
Mimi na hizo ajira wapi na wapi mkuu?

Mimi nimeshangaa tu mambo yanavyopelekwa kizamani , ambapo hupelekea watu wengine kukosa kazi kwa maelekezo yasioyoeleweka ya waandaa usaili.
 
Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance. Kama ni fair game how comes wengine wamekuja na vitambulisho vya ziada ambavyo havikutajwa kwenye barua ya wito ? Hili kosa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani candidate akilalamika kuhusu hili mchakato wote wa uajiri unaanza upya. Ila kwa Tanzania anything goes.
ANYTHING GOES....................................... NDO LUGHA YA WAPI HII? WE KILAZA.
 
Wewe unacheka dunia inahama kutoka kwenye makaratasi huku nyie mnabakia kwenye karatasi?

Nimemuuliza mdau mmoja hapo mtu alipokuwa anafanya maombi kwenye portal si aliambatanisha nakala tepe ?

Sasa kuna umuhimu gani wa kubebana na mikaratasi.

Au ndio ule ushamba wa mtu kutembea na maburungutu ya pesa ili aonakane anazo wakati leo hii watu wanafanya transfer ya pesa nyingi tu bila hata kushika pesa hizo physically?

Issue niliyohoji ulazima gani wa watu kubeba makaratasi kama mfumo hauwezi kutambua nakala zilizoghushiwa zikiwa tepe?

Mimi huu ni mwaka wa pili sijaenda bank ndio uone dunia inavyokwenda na umuhimu wa kuhama kutoka kwenye makaratasi mambo yote yanaishia kiganjani.
Sawa mkuu, ww njoo na utaratibu wako halafu na utumishi nao waje na utaratibu wao then tutajua nani mbobezi
 
Hii comment unaicopy na kupaste wewe kama nani una generalize makosa yao
Acha mbwembwe na kukaza fuvu hilo. Nikurushie screenshot ya group la Whatsapp la wanaolalamikia hizo issues ndio uamini kama ni kweli.
 
Hiyo barua ya utambulisho wa serikali za mitaa lazima iwe ya sehemu ya permanent address yangu au popote pale nlipo kwa sasa
Soma hapa vitambulisho vinavyohitajika.

NB: Kama huna kitambulisho chochote tafuta barua ya mtendaji wa MtaaView attachment 3085206
Hiyo barua ya utambulisho wa serikali za mitaa lazima iwe ya sehemu yenye makazi yangu ya kudumu au popote nlipo kwa sasa?
 
Sawa mkuu, ww njoo na utaratibu wako halafu na utumishi nao waje na utaratibu wao then tutajua nani mbobezi
Mimi hizo ajira wala sihusiki nazo kama muombaji au msaili nimechangia tu kuonyesha bado ambavyo kama nchi inahitaji mapinduzi makubwa ya kidigitali.
 
Mimi na hizo ajira wapi na wapi mkuu?

Mimi nimeshangaa tu mambo yanavyopelekwa kizamani , ambapo hupelekea watu wengine kukosa kazi kwa maelekezo yasioyoeleweka ya waandaa usaili.
Wanataka kuajiri watu 1000 mnakuja Watu million kadhaa wanawapunguzaje sasa? Zingatieni hili popote ukiitwa Ajira Utumishi beba barua Serikali ya Mtaa utambulisho utanishukuru
 
Hata kama una kitambulisho Cha NIDA barua ya serikali za mitaa ni compulsory?
Ni lazima sio hiari Wewe beba wasipokagua Bahati yako Ila wakikuita hatua ya kwanza wahi Serikali ya Mtaa chukua Barua ya utambulisho halafu iweke kibindoni nenda nayo kwenye interview wakikinukisha umepona
 
Hakuna shida ikiwa majina yaliyopo kwenye kitambulisho ni sawa na yaliyo kwenye vyeti.

Mfano:
Vyeti: Jamiiforum Digital

Kitambulisho: Jamiiforum Digital Network

Hamna shida.

Pia jina la katikati kwenye kitambulisho cha kura linaweza kuwa initial na ikawa vigumu kuthibitisha hiyo herufi. Hapo ukikutana na msimamizi mnoko anakutolea nje.

Cha kuzingatia kwa usalama zaidi(hapa ambao huwa wanafanya sana sahili za PSRS wanajua, na hawa wengine nao tushawapa sana muongozo humu) ni bora uwe na barua ya mtendaji wa mtaa ambayo utaandikiwa majina yako sahihi matatu kwa ajili ya utambulisho.

Vitambulisho vya kura vina makosa sana kuliko NIDA, hivyo binafsi napendekeza mtu usivitumie sana endapo unajua kina changamoto.

Kwa wale ambao sahili zao hazijafika wajiweke sawa kuhusu hili ili kutorudia makosa waliyofanya wengine leo
Thanks mkuu, Sasa mkuu kama vyeti VYOTE vina majinga matatuz Kwa Nini barua ya utamburisho kutoka serikali ya mtaa niweke majina matatu si Bora waniandikie mawili kama ya kwenye vyeti
 
Mimi nashukuru tu kwa kuwa msoma comment mzuri hapa, pamoja wakuu🤝
 
Mimi nashukuru tu kwa kuwa msoma comment mzuri hapa, pamoja wakuu🤝
Chukua hint hizo na Wewe usije ukaenda kuchezea za mbavu Barua ya utambulisho Serikali ya Mtaa ni Compulsory sio hiari ni lazima uibebe tena original sio copy
 
Chukua hint hizo na Wewe usije ukaenda kuchezea za mbavu Barua ya utambulisho Serikali ya Mtaa ni Compulsory sio hiari ni lazima uibebe tena original sio copy
Shukrani sana mkuu, hili nimelichukua kama formula ya hesabu 🤝
 
Back
Top Bottom