Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Hujaelewa maelezo yao kuhusu usahili wa Online
Hebu nifungue macho mkuu.

Maana huku nilipo sikumbuki lini niliwahi kuona usaili wa watu kupanga foleni kwenda kufanyiwa usaili hasa baada ya janga la UVIKO -19 kupita.

Maana mambo yalibadilika kweli na njia za kudigitalize mambo zilibuniwa kupitia janga lile na imekuwa endelevu kabisa sikumbuki lini kwa kweli nimeona watu wakienda usaili wa makaratasi.
 
JE kama natumia majina mawili, kwenye vyeti vyangu vya academic na Cha kuzaliwa,,ila kitamburisho Cha mpiga kura Kwa kuwa wanalazimisha kiwe na majina matatu Kuna shida?
Hakuna shida ikiwa majina yaliyopo kwenye kitambulisho ni sawa na yaliyo kwenye vyeti.

Mfano:
Vyeti: Jamiiforum Digital

Kitambulisho: Jamiiforum Digital Network

Hamna shida.

Pia jina la katikati kwenye kitambulisho cha kura linaweza kuwa initial na ikawa vigumu kuthibitisha hiyo herufi. Hapo ukikutana na msimamizi mnoko anakutolea nje.

Cha kuzingatia kwa usalama zaidi(hapa ambao huwa wanafanya sana sahili za PSRS wanajua, na hawa wengine nao tushawapa sana muongozo humu) ni bora uwe na barua ya mtendaji wa mtaa ambayo utaandikiwa majina yako sahihi matatu kwa ajili ya utambulisho.

Vitambulisho vya kura vina makosa sana kuliko NIDA, hivyo binafsi napendekeza mtu usivitumie sana endapo unajua kina changamoto.

Kwa wale ambao sahili zao hazijafika wajiweke sawa kuhusu hili ili kutorudia makosa waliyofanya wengine leo
 
Hebu nifungue macho mkuu.

Maana huku nilipo sikumbuki lini niliwahi kuona usaili wa watu kupanga foleni kwenda kufanyiwa usaili hasa baada ya janga la UVIKO -19 kupita.

Maana mambo yalibadilika kweli na njia za kudigitalize mambo zilibuniwa kupitia janga lile na imekuwa endelevu kabisa sikumbuki lini kwa kweli nimeona watu wakienda usaili wa makaratasi.
Soma kwanza haya maelekezo nukta kwa nukta, usipoelewa ndio uulize swali tena
IMG-20240831-WA0001.jpg
IMG-20240829-WA0009.jpg
IMG-20240826-WA0002(1).jpg
 
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka

Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Duh CCM jamani, sijui inatutaka nini sisi raia! Sasa kitambulisho cha mpiga kura na Barua ya mtaa kipi kikubwa? Usumbufu! Wacha nimwambie dogo ahakikishe anatembea nayo hiyo barua ya mtaa! Tukiwatukana mods wanatupiga Ban! Sawa, kutukana watu siyo vizuri, Lakini katika hili wanastahili kutukanwa!
 
NIDA ID original watu wanatoa wapi maana tuna miaka hatuna hizo ID tumeishia pata NIN tu.
Soma hapa vitambulisho vinavyohitajika.

NB: Kama huna kitambulisho chochote tafuta barua ya mtendaji wa Mtaa
IMG-20240829-WA0009.jpg
 
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka

Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Labda mimi ndio naachwa kidogo hapa vile vitambulisho vya utaifa [NIDA ] vina umuhimu gani hapo kama mtu anahitaji barua mara hatu ya kusafiria kwani hakiko integrated na particulars zote za mtu?
 
Soma kwanza haya maelekezo nukta kwa nukta, usipoelewa ndio uulize swali tenaView attachment 3085202View attachment 3085203View attachment 3085204
This is irrational and only in Africa

Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?

Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??

Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?

Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
 
Nakala tepe na nakala ngumu, ipi ambayo inahesabika ni halali?

Je kama ulighushi nakala tepe ambapo huna hiyo nakala kwa lengo la kufanya udanganyifu?

Kwenye portal huwa tunaweka nakala tepe, lakini siku ya physical utatakiwa kuonesha nakala ngumu ambazo ndio original kuthibitisha kuwa kweli haujaghushi
 
Kughushiwa kwa tepe ina maana mifumo haiko imara naamini hata ngumu mtu anaweza kughushi kama tepe imeghushiwa na wakashindwa kujua.

Mtu kwa mtindo huo anaweza kughushi zote

Ni complications tu , watembee wajifunze watu wameshatoka huko .
 
Wewe kama unataka ajira fuata Sheria zao. Mambo mengine ni kujichosha tu.
 
Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance. Kama ni fair game how comes wengine wamekuja na vitambulisho vya ziada ambavyo havikutajwa kwenye barua ya wito ? Hili kosa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani candidate akilalamika kuhusu hili mchakato wote wa uajiri unaanza upya. Ila kwa Tanzania anything goes.
Sasa si useme hizo additional requirements ni zipi??
 
This is irrational and only in Africa

Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?

Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??

Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?

Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
Mkuu hivyo vitu vina UZITO gani? mfn hicho cheti cha kuzaliwa ni KILO Ngapi? Mpk uone kizito kubeba?

Mie ktk interview nabeba hata visivyohitajika nabeba mpka passport size photo.. nabeba correction fluid just in case.

Nabeba mpaka MASK ile ya uviko.. (Wale waliofanya interview baada ya covid kupia watakuwa wananielewa vzr). Kuna mambo madogo tu yanakulima.
 
This is irrational and only in Africa

Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?

Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??

Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?

Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
Hilo linafahamika kutokea mwanzo ya kuwa ni lazima ubebe kitambulisho kinachokutambua kimojawapo sio lazima NIDA, inaweza kuwa pasi ya kusafiria, leseni , kadi ya mpiga kura na ukikosa vyoooooooote barua ya serikali ya mtaa yenye picha yako

Sasa kushindwa nini??

Vingine ni kujitakia tu na ujinga usio na manufaa

Sasa cheti cha kuzaliwa hakina picha yako najuaje kama ni wewe???

Lazima uwe na vyote, ikiwemo vya shule
 
Ndio nimekupa code next time ukiitwa barua Serikali ya Mtaa utambulisho iweke mbele zaidi usisahau wengi wamechinjiwa baharini sababu hawana hio kitu
Hata kama una kitambulisho Cha NIDA barua ya serikali za mitaa ni compulsory?
 
This is irrational and only in Africa

Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?

Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??

Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?

Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
😂 Wabongo bhana 😂 sasa kuna ugumu na uzito gani kubeba hvy vyeti na vitambulisho?
 
Back
Top Bottom