Kuna vitambulisho mbadala ndio kama barua ya mwenyekiti wa kijijiNIDA ID original watu wanatoa wapi maana tuna miaka hatuna hizo ID tumeishia pata NIN tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitambulisho mbadala ndio kama barua ya mwenyekiti wa kijijiNIDA ID original watu wanatoa wapi maana tuna miaka hatuna hizo ID tumeishia pata NIN tu
JE kama natumia majina mawili, kwenye vyeti vyangu vya academic na Cha kuzaliwa,,ila kitamburisho Cha mpiga kura Kwa kuwa wanalazimisha kiwe na majina matatu Kuna shida?Hujaelewa maelezo yao kuhusu usahili wa Online
Hebu nifungue macho mkuu.Hujaelewa maelezo yao kuhusu usahili wa Online
Hakuna shida ikiwa majina yaliyopo kwenye kitambulisho ni sawa na yaliyo kwenye vyeti.JE kama natumia majina mawili, kwenye vyeti vyangu vya academic na Cha kuzaliwa,,ila kitamburisho Cha mpiga kura Kwa kuwa wanalazimisha kiwe na majina matatu Kuna shida?
Soma kwanza haya maelekezo nukta kwa nukta, usipoelewa ndio uulize swali tenaHebu nifungue macho mkuu.
Maana huku nilipo sikumbuki lini niliwahi kuona usaili wa watu kupanga foleni kwenda kufanyiwa usaili hasa baada ya janga la UVIKO -19 kupita.
Maana mambo yalibadilika kweli na njia za kudigitalize mambo zilibuniwa kupitia janga lile na imekuwa endelevu kabisa sikumbuki lini kwa kweli nimeona watu wakienda usaili wa makaratasi.
Duh CCM jamani, sijui inatutaka nini sisi raia! Sasa kitambulisho cha mpiga kura na Barua ya mtaa kipi kikubwa? Usumbufu! Wacha nimwambie dogo ahakikishe anatembea nayo hiyo barua ya mtaa! Tukiwatukana mods wanatupiga Ban! Sawa, kutukana watu siyo vizuri, Lakini katika hili wanastahili kutukanwa!Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka
Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Soma hapa vitambulisho vinavyohitajika.NIDA ID original watu wanatoa wapi maana tuna miaka hatuna hizo ID tumeishia pata NIN tu.
Labda mimi ndio naachwa kidogo hapa vile vitambulisho vya utaifa [NIDA ] vina umuhimu gani hapo kama mtu anahitaji barua mara hatu ya kusafiria kwani hakiko integrated na particulars zote za mtu?Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka
Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
This is irrational and only in AfricaSoma kwanza haya maelekezo nukta kwa nukta, usipoelewa ndio uulize swali tenaView attachment 3085202View attachment 3085203View attachment 3085204
FactNdio maana nawaambia msijistress kulipa mamilioni kuwasomesha watoto wenu shule za English Medium. Rudisha wote shule za Kayumba haraka sana.
Nakala tepe na nakala ngumu, ipi ambayo inahesabika ni halali?This is irrational and only in Africa
Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?
Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??
Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?
Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
Kughushiwa kwa tepe ina maana mifumo haiko imara naamini hata ngumu mtu anaweza kughushi kama tepe imeghushiwa na wakashindwa kujua.Nakala tepe na nakala ngumu, ipi ambayo inahesabika ni halali?
Mtu kwa mtindo huo anaweza kughushi zoteJe kama ulighushi nakala tepe ambapo huna hiyo nakala kwa lengo la kufanya udanganyifu?
Ni complications tu , watembee wajifunze watu wameshatoka huko .Kwenye portal huwa tunaweka nakala tepe, lakini siku ya physical utatakiwa kuonesha nakala ngumu ambazo ndio original kuthibitisha kuwa kweli haujaghushi
Wewe kama unataka ajira fuata Sheria zao. Mambo mengine ni kujichosha tu.Kughushiwa kwa tepe ina maana mifumo haiko imara naamini hata ngumu mtu anaweza kughushi kama tepe imeghushiwa na wakashindwa kujua.
Mtu kwa mtindo huo anaweza kughushi zote
Ni complications tu , watembee wajifunze watu wameshatoka huko .
Sasa si useme hizo additional requirements ni zipi??Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance. Kama ni fair game how comes wengine wamekuja na vitambulisho vya ziada ambavyo havikutajwa kwenye barua ya wito ? Hili kosa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani candidate akilalamika kuhusu hili mchakato wote wa uajiri unaanza upya. Ila kwa Tanzania anything goes.
Mkuu hivyo vitu vina UZITO gani? mfn hicho cheti cha kuzaliwa ni KILO Ngapi? Mpk uone kizito kubeba?This is irrational and only in Africa
Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?
Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??
Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?
Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
Hilo linafahamika kutokea mwanzo ya kuwa ni lazima ubebe kitambulisho kinachokutambua kimojawapo sio lazima NIDA, inaweza kuwa pasi ya kusafiria, leseni , kadi ya mpiga kura na ukikosa vyoooooooote barua ya serikali ya mtaa yenye picha yakoThis is irrational and only in Africa
Yani mtu ubebe cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha utaifa kwa pamoja?
Nini hasa kazi ya kitambulisho cha utaifa??
Maana nadhani kitambulisho cha utaifa kimebeba taarifa zote muhimu kuliko cheti cha kuzaliwa au watu wanaghushi vitambulisho vya utaifa hivyo wanahitaji kufanya uhakiki wa kina?
Pia hizo leseni kwani wao hawana nakala tepe kwenye kanzidata zao mtu alipofanya maombi hadi abebe nakala ngumu ya leseni??
Hata kama una kitambulisho Cha NIDA barua ya serikali za mitaa ni compulsory?Ndio nimekupa code next time ukiitwa barua Serikali ya Mtaa utambulisho iweke mbele zaidi usisahau wengi wamechinjiwa baharini sababu hawana hio kitu
😂 Wabongo bhana 😂 sasa kuna ugumu na uzito gani kubeba hvy vyeti na vitambulisho?This is irrational and only in Africa