Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais


Speaking as a layman, Mahakama hua inashughulika na yale maombi (prayers/reliefs) ambayo mwombaji anaomba apewe. Mfano, kama umeomba upewe mkate tu ili ule, huwezi ukapewa na chai, sukari na blue band ingawa inajulikana ni vitu vinavyoendana na ulaji wa mkate (breakfast). Ni kweli system iliyotumika ku transmit information za kura za urais ndio hiyo hiyo iliyotumika kwa kura za ugavana. Lakini waombaji walienda ku challenge kura za urais tu na si nyingine. Kama kuna mtu yuko aggrieved na kura za ugavana, kwa wakati wake na yeye aende mahakamani akiwa na ushahidi atasikilizwa.
 
Nitafurahi kama utathibitisha kwamba ni edited speech
 

Ukiangalia kwa umakini statement aliyotoa immediately baada ya court decision na zile zilizofuata badae utagundua kua, statement ya kwanza aliitoa akiwa hajapata ushauri kutoka kwa mtu yoyote (wa "wenye nchi"), he was speaking his mind (that was truly him). Subsequent statements zote ni maelekezo kutoka kwa hao "wenye nchi" ya nini cha kuzungumza katika hali ya kwamba hajakubaliana na huo uamuzi. he had gotten a go ahead/a green light. in other words he was awakened.
 
Watanzania tumekua na tabia ya Kila tukio litokeapo huwa wakwanza kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kujifanya wachambuzi wa mambo harakaharaka.
Nashauri tuache papara, tuwe watulivu kwa kufuatilia mambo Kisha kuja na matamko ambayo yamefanyiwa tathimni ya kutosha, si kudandia Mambo harakaharaka kutafuta Kiki za hovyo.

Ona Sasa kauri za yule mlie sema ni mfano wa kuigwa barani afrika kwa demokracy, anavyo itisha mahakama, Baada ya nyinyi siku mbili kusema ni mfano wa kuigwa barani afrika.

Lingine hataki kuvunja tume ilioboronga matokeo, ni Sawa?

Hili mnalisemeaje, kuhusu majaji kutishwa?, au mtakaa kimya kwa kua ni mwenzetu?

Toeni kauri zenu, kama mahakama haikutenda haki tujue, na tumsapoti Uhuru Kenyatta kwa kauri yake.

Mkikaa kimya ndipo tufahamu kwamba tuna watanzania wa aina gani kuelekea 2020 election

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaji ni mpuuzi,yale matokeo yalikuwa yanahesabiwa vutuoni,na kisha kutumwa kwa njia ya kielekroniki,kama watu wa Odinga walikuwa na wasiwasi na jinsi yalivyotumwa,Jaji alikuwa na nafasi ya kuagiza matokeo ya vituoni kama yalivyohesabiwa yaletwe,au kura za maeneo yenye utata zihesabiwe pale mahakamani,

Jaji ni mpuuzi wa kiwango cha juu,hakutumia busara zake sawasawa

Pia atambue burden of evidence katika electrol process sio strict hasa ukizingatia mazingira ya nchi,
 
Atleast wanapaswa kuigwa East Africa.
Uhuru hakuwa pleased kufanya vile ni basi tu situationally hakuwa na option B. Amini usiamini, Viongozi wa Afrika akili zao zinafafana sana ishu ni mda na mahali tu and kinachowatofautisha. Kaufungue moyo wa Uhuru uchungulie kama nafsi yake ni nyeupe kwa maamuzi ya juzi ama kama binafsi alipenda mahakamani kuisikiliza ile kesi. Anayeweza kutokufanya ya Uhuru ni yule tu mwenye nafasi ya kuwa na plan A/B la sivyo no way.

Siasa ni "art of possible" full stop.
 
Tume na Kenyatta ni wezi.

Kwanza, mahakama imesema matokeo yaangaliwe kwenye mitambo ya tume ila tume hiyo ya IEBC waliweka visingizio.

Mahakama na majaji walitendea kazi vidhibiti ambavyo NASA waliweka mezani huku tume iliyokuwa na dhamana ya kuweka uhalali wa kazi nzima wakashindwa kufanya hivyo ila wakamuachia Prof. Lumumba kuongea kingereza kigumu na misamiati ya kuzimu bila vielelezo/vithibitisho

Kwa kifupi, majaji wametenda haki kama Kweli watu wa sheria huwa mnategemea aliyetoa ushahidi zaidi/mzuri basi NASA walifanya hivyo kitu ambacho tume ya IEBC na Jubilee walishindwa.

Kwa hiyo, Mahakama na Majaji wako sahihi.
 
Kwanini usiombe kauli ya rais Magufuli na wana ccm wenzake hadi ufike kwa Mh Lissu na Jenerali Ulimwengu?
 
Cj maraga ni muelewa atajiuzuru faster siyo kama wakwetu,mhhhhh!!
Hakika asipojiuzuru atapelekwa Ngong alafu mnasifia politics za kenya nyie wa Tz watu wa ajabu sana na huyo Ulimwengu wenu
 
Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Ndio ukweli mkuu, yeye si rais mteule. Matokeo ya urais yamefutwa.

Sent from My Android Device
 
Exactly mkuu
 
Kweli mkuu, umesema vema.

Sent from My Android Device
 
Uhuru alijitahidi mno kujizua alipoongea na wachaguliwa wa Jubilee pale state house ila alishindwa kabisa kuzuia emotion na panic aliyokuwa nayo moyoni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimsikiliza Rais uhuru unaona hata kuruhusu hiyo wenda aliogopa tu kupelekwa alikopelekwa kipindi iliyopita. Uhuru kaachia yake ya moyoni.


Alijua itakua kama 2013 maana alishinda na Odinga hakutukana mahakama na aliwapongeza Uhuru na Ruto
 
Ukimsikiliza Rais uhuru unaona hata kuruhusu hiyo wenda aliogopa tu kupelekwa alikopelekwa kipindi iliyopita. Uhuru kaachia yake ya moyoni.



Hii clip ya mwisho inaonekana kana kwamba Bw Mkubwa kachapa maji ya kutosha.
Rais asiruhusiwe kuhutubia umma under the influence of alcohol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…