Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Pakitokea vifo, huyo Maraga na wenzake walaumiweNaona dalili sio njema sana japo wengi watafurahia matokeo ya kufutwa matokeo ya uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pakitokea vifo, huyo Maraga na wenzake walaumiweNaona dalili sio njema sana japo wengi watafurahia matokeo ya kufutwa matokeo ya uchaguzi.
Kisheria hana hayo mamlaka.... Labda atumie Kiambu Mafia au Munguki atoe uhai wake kama walivyotoa wa Msando...Hawezi kivipi?
Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Nitafurahi kama utathibitisha kwamba ni edited speechHiyo ni edited speech,
watu wa NASA wame edit speech ya jamaa wakati ule akiwa kwenye kampeni
Na lengo lao ni kumuharibia na wanaweza wakamfanya chochote huyo jaji ili ionekane tu serikali imemuua na wapate huruma ya wananchi.
wanasiasa si wa kuwaamini sana.
Kenyatta alisha jijengea heshima sana ulimwenguni kote kwa kukubali uamuzi wa mahakama japo binafsi hakuwa amekubaliana nao! Hizi kauli zake za leo zimedhihirisha kumbe na yeye ni wale wale tu - mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo! Vitisho alivyotoa hadharani vina fedhehesha sana!
Uhuru hakuwa pleased kufanya vile ni basi tu situationally hakuwa na option B. Amini usiamini, Viongozi wa Afrika akili zao zinafafana sana ishu ni mda na mahali tu and kinachowatofautisha. Kaufungue moyo wa Uhuru uchungulie kama nafsi yake ni nyeupe kwa maamuzi ya juzi ama kama binafsi alipenda mahakamani kuisikiliza ile kesi. Anayeweza kutokufanya ya Uhuru ni yule tu mwenye nafasi ya kuwa na plan A/B la sivyo no way.Atleast wanapaswa kuigwa East Africa.
Hakika asipojiuzuru atapelekwa Ngong alafu mnasifia politics za kenya nyie wa Tz watu wa ajabu sana na huyo Ulimwengu wenuCj maraga ni muelewa atajiuzuru faster siyo kama wakwetu,mhhhhh!!
Ndio ukweli mkuu, yeye si rais mteule. Matokeo ya urais yamefutwa.Uhuru hapa alikuwa amelewa.
Chenye anasema ni kwamba yeye sasa ni sitting president, wala si president-elect.
Sijui chenye anamaanisha haswa.
Exactly mkuuUhuru hakuwa pleased kufanya vile ni basi tu situationally hakuwa na option B. Amini usiamini, Viongozi wa Afrika akili zao zinafafana sana ishu ni mda na mahali tu and kinachowatofautisha. Kaufungue moyo wa Uhuru uchungulie kama nafsi yake ni nyeupe kwa maamuzi ya juzi ama kama binafsi alipenda mahakamani kuisikiliza ile kesi. Anayeweza kutokufanya ya Uhuru ni yule tu mwenye nafasi ya kuwa na plan A/B la sivyo no way.
Siasa ni "art of possible" full stop.
Sioni tofauti na mgombea anayetoa kauli ya kuwashughulikia mafisadi pindi atakapochaguliwa.Hatoi maoni tu, kaenda mbali zaidi na kusema atawashughulikia akishakuchaguliwa tena. Ni sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, umesema vema.Aiseeee nilivyomuelewa Uhuru kasema anaheshimu maamuzi ya watu 5-6 lakini hakubaliani nayo.Sasa hapo ulitaka akubaliane Na hukumu inayopinga kuwa hakushinda.Kukubaliana Na hukumu means hakushinda Na uchaguzi ukirudiwa means atafeli.Kaongea kisiasa pale kuwa watu warudi kwenye uchaguzi Na Kura zile zile wampe yeye.Kasema waamuzi ni wapiga Kura sio majaji wale.
Mie namuona yupo sahihi,akiwa Na maana ya kutopoteza Kura zake.
Hata huku TZ sidhani kama Lowassa alikubaliana Na matokeo ya Urais lakini aliheshimu uamuzi wa tume.I think Uhuru yupo Right.Ile speech ni ya kuwashawishi wapiga Kura.
Odinga awe makini Na uchaguzi wa Marudio kama atashindwa kujipanga Kura zake zitapungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsikiliza Rais uhuru unaona hata kuruhusu hiyo wenda aliogopa tu kupelekwa alikopelekwa kipindi iliyopita. Uhuru kaachia yake ya moyoni.
Ukimsikiliza Rais uhuru unaona hata kuruhusu hiyo wenda aliogopa tu kupelekwa alikopelekwa kipindi iliyopita. Uhuru kaachia yake ya moyoni.
Duh kama ni leo Jamaa yupo vizuri sana...hachukulii politics kama vita