Uhuru asema CJ Maraga atamtambua yeye ni nani, asema yeye ni rais


Leo ndio mmejua!? Huo uhuni wa kitoto ulitokea hapo Znz kwa kura za muungano kuwa halali lakini za Znz kuharibika.
 
Kwani magavana ndio walifungua Kesi?usimfuate uhuru hapo alikuwa labda asharanduka
 
NDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?
 
Rejea kiini cha malalamiko-kura za urais na si vinginevyo.

Pia iweje kura za rais ziwe zaidi ktk vituo kuliko za nafasi nyingine?

Kama anaungwa mkono na wakenya vitisho vya nini? Msando's blood is calling!
 
Hapa ndio naona loop hole kubwa katika katiba ya Kenya.Kenyatta was supposed to be banned from ever holding a public office.Hivi Kenyatta kama akishinda,Mungu aepushie mbali,hao majaji walio nullify uchaguzi watakuwa wageni wa nani,si atawanyongelea mbali,because his threats tells it all.

Duh,yangu macho.Ningewashauri wakimbie mapema.Yale yale ya Chris Msando.
 
Mlalamikaji ni odinga kwenye inshu za uraisi na sio magavana, wao wana malalamiko tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Mseto tu hapa hapatakuwa na kitu zaidi ya hicho
 
kuibakiza hiyo tume huru ni sawa na kufanya kazi bure.

mahakama ingetoa neno kuhusiana na hatima ya chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa.
 

Mahakama imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa mezani ambayo ni ya kupinga matokeo ya urais. je, hapo mahakamani kulikuwa na kesi ya magavana pia? au ulitaka wafute bila hata malalamikaji? poor you
 
Kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kufuta matokeo ya urais ilitakiwa waje wagombea wapya kama tunavyofanya hapa kwenye ubunge, hii inaweza saidia kupunguza misuguano
 
Mahakama ilishaamua kilichobaki ni utekelezaji tu hayo maneno maneno ni mbwembwe tu wala hayana athari zozote.
NDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?

Katika semi mbili tata duniani moja ni hii: "Sikukubali ila nakuheshimu tu!" na mwingine: "Nimekusamehe ila sitasahau kamwe!" Hivi kumheshimu mtu si kuwa umemkubali kwa mambo fulani kisha unampa heshima yake? Ukimsamehe mtu si ina maana ya kuwa umesahau yaani umeyasamehe machungu uliopata kwa matendo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…