Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Leo ndio mmejua!? Huo uhuni wa kitoto ulitokea hapo Znz kwa kura za muungano kuwa halali lakini za Znz kuharibika.