Simba Asiyefugika
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 600
- 239
Governors km kuna ambaye hajaridhika wataenda mahamani kwa style ya one on one basis.Mlalamikaji ni odinga kwenye inshu za uraisi na sio magavana, wao wana malalamiko tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kulingana na majibu niliyopata kutona na post namba mbili ya uzi huu, inaonekana Mahakama haikuletewa shitaka linalohusu chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa (Comporomising the IECB tallying system).kuibakiza hiyo tume huru ni sawa na kufanya kazi bure.
mahakama ingetoa neno kuhusiana na hatima ya chanzo cha tatizo lililopelekea uchaguzi kufutwa.
Hii ni kufunika kombe...na kuoneana haya.Root bora iwe ya mseto...ili kupunguza uwezekano wa Wakenya kuchinjana...!
Hatoi maoni tu, kaenda mbali zaidi na kusema atawashughulikia akishakuchaguliwa tena. Ni sahihi?NDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?
Tatizo lako lugha inakugomba. Ungekuwa unaelewa lugha uhuru Kenyatta maelezo yake yapo absolute clear.Demokrasia ina gharama zake hasa kwa nchi za Africa, baada ya Kenyatta kuonesha moyo wa kidemokrasia, leo ametoa yaliyoko moyoni mwake na kuwaambia mahakimu waliohusika na utenguzi wa ushindi wake kuwa baada siku sitini na akichaguliwa kuwa rais lazima awachunguze na kubadilisha mfumo uliopo, hivyo ni ansona ni kama walikula rushwa, pia amesema Again I say, the Court has made its decision and we respect it but we do not agree with it,” said Uhuru who was accompanied by Deputy President William Ruto. Pia aliendelea kusema
Those of governors were transmitted, no one asked questions. Now how do four people and wake up and say there was a technicality in the transmission of the results of the President only? How?” asked Uhuru...source KTN.
Acha uoga wew ..... Ban nan huyo alolamba [emoji23][emoji23][emoji23]Hii inaitwa mbwa kala mbwa.[emoji23] [emoji23]
Ushalamba Ban
Pole mkuu
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Jubilee wameshatoa msimamo wao hakuna nusu mkate.Root bora iwe ya mseto...ili kupunguza uwezekano wa Wakenya kuchinjana...!
Mkuu wapi katoa vitisho? Kauliza swali iweje mfumo huo huo uliofanya Kura Za magavana ziwe halali Ila Za Urais tu zisiwe halali?Kenyatta alisha jijengea heshima sana ulimwenguni kote kwa kukubali uamuzi wa mahakama japo binafsi hakuwa amekubaliana nao! Hizi kauli zake za leo zimedhihirisha kumbe na yeye ni wale wale tu - mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo! Vitisho alivyotoa hadharani vina fedhehesha sana!
Jubilee wameshatoa msimamo wao hakuna nusu mkate.Root bora iwe ya mseto...ili kupunguza uwezekano wa Wakenya kuchinjana...!
Jubilee wameshatoa msimamo wao hakuna nusu mkate.Root bora iwe ya mseto...ili kupunguza uwezekano wa Wakenya kuchinjana...!
Jamaa sidhani kama wamemuelewa Uhuru,mie nimemuona alichoongea yupo sahihi kabisa tena katoa opinion zake yeye kama Uhuru,sasa jamaa wanasema vitisho vitisho ni vipi? Hata Akina Hilary wenyewe kuna mambo hawakukubali ila waliheshimu matakwa ya Sheria ndicho alichofanya Uhuru.Naona Uhuru heshima yake ipo palepaleNDIYO, LAKINI KATIKA DEMOKRASIA INAKUBALIKA; SI ANATOA MAONI YAKE KUHUSU HUKUMU AMBAYO AMEIKUBALI SASA TATIZO NINI HAPO?
Ana majority votes katika nafasi nyingine Za magavana nk unategemea awe Na Kura chache Za Urais?Rejea kiini cha malalamiko-kura za urais na si vinginevyo.
Pia iweje kura za rais ziwe zaidi ktk vituo kuliko za nafasi nyingine?
Kama anaungwa mkono na wakenya vitisho vya nini? Msando's blood is calling!
Weka audio au video clip tusikie usituletee porojo hapa.Hatoi maoni tu, kaenda mbali zaidi na kusema atawashughulikia akishakuchaguliwa tena. Ni sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe uko haiAcha uoga wew ..... Ban nan huyo alolamba [emoji23][emoji23][emoji23]
BANNED
Nadhani hujaelewa maana ya kufuta uchaguzi. Walichosema majaji ni kwamba katika kutuma matokeo ya urais kutoka acount mbalimbali, kwenda katika tume ya uchaguzi kulikuwa na makosa yalifanyika. Na wakasema watatoa ripoti ndani ya siku 21 kwanini wamefikia uamuzi huo. Hivyo kuweni na subira kuhusu ripoti hiyo. Angalizo majaji wanatambua kuwa kurudia uchaguzi ni gharama, lakini katika kutenda haki lazima ufumbe macho.Nasubiri maelezo ya ziadia kutoka kwa washangiliaji wa demokrasia ya Kenya. Hata hivyo nakubaliana na Uhuru, unafutaje kura za urais unaacha za magavana wakati ni system hiyo hiyo ilitumika kukusanya taarifa na kujumlisha kura zote za urais na magavana ?
Huyo jamaa kingereza kimepita kushoto msamehe bure.Aiseeee nilivyomuelewa Uhuru kasema anaheshimu maamuzi ya watu 5-6 lakini hakubaliani nayo.Sasa hapo ulitaka akubaliane Na hukumu inayopinga kuwa hakushinda.Kukubaliana Na hukumu means hakushinda Na uchaguzi ukirudiwa means atafeli.Kaongea kisiasa pale kuwa watu warudi kwenye uchaguzi Na Kura zile zile wampe yeye.Kasema waamuzi ni wapiga Kura sio majaji wale.
Mie namuona yupo sahihi,akiwa Na maana ya kutopoteza Kura zake.
Hata huku TZ sidhani kama Lowassa alikubaliana Na matokeo ya Urais lakini aliheshimu uamuzi wa tume.I think Uhuru yupo Right.Ile speech ni ya kuwashawishi wapiga Kura.
Odinga awe makini Na uchaguzi wa Marudio kama atashindwa kujipanga Kura zake zitapungua.
Sent using Jamii Forums mobile app