Aiseeee nilivyomuelewa Uhuru kasema anaheshimu maamuzi ya watu 5-6 lakini hakubaliani nayo.Sasa hapo ulitaka akubaliane Na hukumu inayopinga kuwa hakushinda.Kukubaliana Na hukumu means hakushinda Na uchaguzi ukirudiwa means atafeli.Kaongea kisiasa pale kuwa watu warudi kwenye uchaguzi Na Kura zile zile wampe yeye.Kasema waamuzi ni wapiga Kura sio majaji wale.
Mie namuona yupo sahihi,akiwa Na maana ya kutopoteza Kura zake.
Hata huku TZ sidhani kama Lowassa alikubaliana Na matokeo ya Urais lakini aliheshimu uamuzi wa tume.I think Uhuru yupo Right.Ile speech ni ya kuwashawishi wapiga Kura.
Odinga awe makini Na uchaguzi wa Marudio kama atashindwa kujipanga Kura zake zitapungua.
Sent using
Jamii Forums mobile app