Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa.

Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi.

Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa.

Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa fyongo.

Kubeza vita na machafuko kwingine wakati waathirika wapo hakukuwa sawa.

Kujinasibu na kina Joe Biden nako ilikuwa ni kituko kingine mbele za wageni wetu.

Funga kazi hili la kushangaana ati kuwa baba zetu ndiyo wasafiri ...

Mbele za wageni wetu?

Hiiiiii bagosha!
 
Mi nilitegemea kuonyesha mambo tuliyoyafanya baada ya uhuru. Nilitegemea viwanda vipite na bidhaa zao, wabunifu wapite na bidhaa n.k. Tunawaiga Korea Kaskazini na China wakati wao wanaonyesha vifaa walivyovitengeneza sisi tunadandia tu kuonyesha vifaa tulivyovinunua. Basi hili liwe funzo na miaka sabini ya uhuru natumaini tutaonyesha vya kwetu
 
Hata jiwe mengi ya jana asingeyaafiki
 
Tatizo siku hizi taifa linaongozwa na akili zilizochakaa, wanajua kuiba kura tu, tena siku hizi wanaiba kishamba zaidi.
Angalia,mimba isije toka kwa chuki
 
Angalia,mimba isije toka kwa chuki

Wenye kuchukizwa na yanayoendelea ni wengi, wenye mimba na wasio na mimba.

Wewe huoni maadui zetu ni wale walio wapishi wa chuki?

Chuki ni matokeo tu mjomba.

Shambulia mzizi.
 
Awamu ile tuliambiwa kulikuwa na viongozi vichaa na bado walipata wafuasi hata viongozi vichaa kama wamepungua ila ukichaa bado upo na wafuasi vichaa ndio hawa.
 
Awamu ile tululiambiwa kulikuwa na viongozi vichaa na bado walipata wafuasi hata viongozi vichaa kama wamepungua ila ukichaa bado upo na wafuasi vichaa ndio hawa.

Moderator ana kesi ya kujibu, labda tu kama ni jitihada za makusudi za kulitikisa lile jumba letu pendwa.
 
Back
Top Bottom