Kabisa.Kujifunza hao mbona heri kenge kusikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Kujifunza hao mbona heri kenge kusikia?
Sisi tulionyesha tulichozalisha ni hao akina masanja na lugha zao zisizo staha eti ulitaka asafiri babako, AIBU kubwa.Mi nilitegemea kuonyesha mambo tuliyoyafanya baada ya uhuru. Nilitegemea viwanda vipite na bidhaa zao, wabunifu wapite na bidhaa n.k. Tunawaiga Korea Kaskazini na China wakati wao wanaonyesha vifaa walivyovitengeneza sisi tunadandia tu kuonyesha vifaa tulivyovinunua. Basi hili liwe funzo na miaka sabini ya uhuru natumaini tutaonyesha vya kwetu
Ilikuwa aibu kubwa sana.. nilkuwepo uwanjani ingekuwa amri ningesepa ndio mambo ya kibarua tu.Asante Mungu jana sijashiriki kabisa kutazama huo ugoro.
Hazikuwa sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, zilikuwa sherehe za mafanikio ya miaka 60 ya Rais wetu mpendwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan na maendeleo ya walinzi wake.Ilikuwa aibu kubwa sana.. nilkuwepo uwanjani ingekuwa amri ningesepa ndio mambo ya kibarua tu.
Hazikuwa sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, zilikuwa sherehe za mafanikio ya miaka 60 ya Rais wetu mpendwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan na maendeleo ya walinzi wake.